wizara ya afya

  1. JanguKamaJangu

    Wizara ya Afya: Asilimia 76.5 ya Watu Wazima Tanzania wameoza meno, Watoto ni Asilimia 31

    Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Afya ya Kinywa na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dk. Baraka Nzobo amesema kuwa, kulingana na tafiti zilizofanyika, inaonesha kuwa kati ya Watanzania watu wazima, zaidi ya asilimia 76 wanakabiliwa na matatizo ya meno, huku watoto wakikabiliwa na tatizo hilo kwa...
  2. S

    DOKEZO Udanganyifu wa mitihani Paradigms

    Chuo cha Paradigms institute kilichopo kimara Dar es salaam pale wanaandaa waiting wa hovyo kwenye sector ya afya hasa course ya clinical medicine. Yani wanafunzi wanatajiwa majibu ya mitihani tena mitihani ya afya procedure book zinafojiwa mitihani ya cats ya wodini hawafanyi yani hakuna chuo...
  3. N

    Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la magonjwa ya mlipuko yakiwemo mafua makali ya Influenza, UVIKO-19, Dengue na Kipindupindu

    Wizara ya Afya imetoa tahadhari kwa wananchi kuhusu ongezeko la magonjwa ya mlipuko yakiwemo mafua makali ya Influenza, UVIKO-19, homa ya Dengue na Kipindupindu na kutoa wito kwa jamii kuzingatia kikamilifu hatua za kinga ili kudhibiti maambukizi. Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 25,2026 na...
  4. Roving Journalist

    Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la Mafua makali ya influenza na UVIKO 19 nchini Tanzania

    Pia soma Visa vya UVIKO-19 vyaongezeka nchini, Dar es Salaam ikiwa kinara
  5. A

    KERO Ahadi hewa ya Utekelezaji wa Muundo wa Utumishi kwa Sekta ya Afya (Kada ya Uuguzi na Ukunga) kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025? Habari, Kwa masikitiko makubwa napenda...
  6. A

    KERO Wizara ya Afya Zanzibar haijatulipa Wanafunzi wa 'Postgraduate', mwaka wa mwisho, posho za kujikimu na za utafiti

    Nina kero kuhusu Wizara ya Afya Zanzibar: -Haijawapa wanafunzi wa Postgraduate posho za kujikimu na za Research kwa wale Wanafunzi wa Mwaka wa mwisho kwa mpaka muda huu. -Licha ya semester kuwa inaenda kumalizika wengine hata hiyo tuition fee pia bado haijalipwa. -Majibu ya Wizara pesa...
  7. A

    KERO Serikali itusaidie, wakazi wa Kipunguni (Dar) tunateswa na kelele za muziki

    Wakazi wa Kipunguni A na Kipunguni Mashariki(Dar es salaam) tunasumbuliwa na kelele za sauti kubwa ya mziki unaopigwa na JAKICHA MOTEL. Tulishapeleka malalamiko yetu katika vikao vya serikali ya mtaa lakini wamekuwa wakitoa majibu yasioridhisha. Tangu 2022 mpaka leo, wanaothirika ni majirani...
  8. mwehu ndama

    Kwa hiyo Mchengerwa kaja na Wizara ya Afya kufuta ushahidi wa idadi ya vifo wakati wa uchaguzi?

    Nafikiri ndio sababu ya msingi ya mbavu nene akili kisoda kupelekwa wizara ya afya. Amebeba ajenda muhimu moja tu, nayo nikupoteza ushahidi wa idadi za vifo na miili ya wahanga wa Mo29!!
  9. Genius Man

    #D9 Naomba baadhi ya vijana tuelekee kwenye ofisi za wizara ya afya kwa unyama waliotufanyia wenzetu yani kama tulivyopita vituo vya uchaguzi

    #D9 Naomba baadhi ya vijana tuelekee kwenye ofisi za wizara ya afya kwa unyama waliotufanyia wenzetu yani kama tulivyopita vituo vya uchaguzi. Ili ushenzi wote uishe lazima tukakinukishe kwenye ofisi zao hatuwezi kukubali unyama huu uachwe kwenye nchi yetu. Kuna watu mpaka hivi sasa hawajapata...
  10. M

    PostGE2025 Wizara ya Afya warudisha hewani chapisho la Video za maiti Mwananyamala huku wakiwa wamefunga "Comment"

    Waambieni hao wazee na vijana wajinga huko ofisini Dunia ilikofika si kwa kuficha ukweli kwa kuweka uongo unaoweza kuthibitishwa na watu hata bila kutumia nyenzo za uthibitishaji wa video halali au iliyohaririwa au kutengenezwa na AI. Halafu kufunga "comment" siyo njia ya kufanya watu waamini...
  11. A

    PostGE2025 Wizara ya Afya imefuta post ya kukanusha video ya Mwananyamala

    Habari wakuu Jana usiku baada ya Mange Kimambi kutuma video ikionesha maiti za waandamanaji zikiwa zimerundikwa kama mikungu ya ndizi hapo Mortuary ya Mwananyamala hospital, Wizara ya Afya kupitia page zao WALIKANUSHA eti ni FEKI. Kitu ambacho kiliibua hasira kali na watu kuanza kushambulia...
  12. Lord Denning

    PostGE2025 Wizara ya Afya yazidi kuuthibitishia ulimwengu kuhusu Serikali ya Samia kuficha ukweli wa Mauaji ya kutisha yaliyofanywa kipindi cha Uchaguzi

    Anguko Kuu la CCM na Serikali yake halitotokana na jambo lingine lolote lile zaidi ya kukosa akili. Kukosa kwao akili ndo kumesababisha wawapuuze Wananchi na madai yao ya ukweli kisha kukimbilia kuwateka, kuwaua na kuwapoteza hali iliyopelekea hasira za Wananchi kupanda na kufikia kikomo na...
  13. S

    Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  14. A

    KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

    1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo. 2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na...
  15. Carlos The Jackal

    Tujikumbushe aliyekuwa Waziri wa Afya, Dr Gwajima akiwabana watumishi wazembe

    Dr Gwajima, huenda ndio Waziri pekee anayefikika na Mwananchi wa Chini kabisa , Hachagui, Habagui, utamkuta Mtaani, Mitandaoni yote Kwa yote kuhakikisha Wananchi wanamfikia !!. Inawezekana kabisa, Kazi yake Inakua nyepesi kwakua anapata Ushirikiano Mkubwa na Wananchi. Kinachonimaliza zaidi...
  16. Stephano Mgendanyi

    Prof. Sospeter Muhongo, Leo bungeni Dodoma (Bajeti ya Wizara ya Afya)

    Prof. Sospeter Muhongo, LEO BUNGENI DODOMA (Bajeti ya Wizara ya Afya) Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa mchango wake Bungeni akielezea mengi yakiwemo: Musoma Vijijini wameamua kujenga zahanati moja kila kijiji. Jumla ya vijiji ni 68 Taifa lisomeshe vijana...
  17. S

    Kanda ya Ziwa tatizo la Saratani ni kubwa, Wizara ya Afya itoke hadharani iweke takwimu halisi na chanzo

    .
  18. JanguKamaJangu

    Hospitali Teule ya Mugana ya mkoani Kagera yaongoza kitaifa kwa usafi katika Hospitali za Wilaya

    Hospitali Teule ya Mugana iliyopo wilayani Misenyi mkoani Kagera imeibuka mshindi katika mashindano ya Afya na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2024 kwa upande wa hospitali za wilaya. Nafasi ya pili imeshikwa na Hospitali ya Mji wa Njombe (Kibena) huku ya tatu ikikamatwa na Hospitali ya Wilaya...
  19. Cute Wife

    Red Eyes imeingia tena nchini? Wizara ya Afya semeni neno tuchukue tahadhari

    Wakuu, Nimekutana na mtu mmoja leo akiwa amevimba macho na yapo mekundu, dalili kabisa za Red Eyes, inavyoonekana ndio ipo kwenye hatua za mwanzo. Tayari ugonjwa ushaingia? Mmekutana na wengine huko mtaani mwenye nao? Tupate taarifa sahihi ili tuchukue tahadhari, hasa kwa watoto, maana huwa...
  20. Carlos The Jackal

    Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
Back
Top Bottom