wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Marijan Rajab alivyojichukulia ujiko kwa wimbo wa Geogina wakati hakuutunga yeye

    Mpaka anafariki Jumanne Khalfani Uvuruge kilikuwa kinamuuma kuona wimbo alioutunga yeye lakini dunia nzima ilidhani umetungwa na Marijan Rajab Marijan alikuwa mtoto wa mjini sema alizaliwa kipindi muziki haulipi,ingekuwa sasa angekufa tajiri kwa huo wimbo. Wanamuziki wa zamani waliambulia...
  2. JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani kwa sasa unaweza kuusikiliza kwa masaa hata 7 non-stop

    Kuna pindi Tu inatokea wimbo Fulani ukaupenda Sana yaani unaweza Ku repeat hata mara 100 na usione shida hasa kwenye safari mfano kwenye bus umevaa zako earphones Mimi kwa sasa.. nitaamini -israel Mbonyi toka mchana mpaka alfajiri nitausikiliza.
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya huu wimbo kwa muktadha wa siasa za Bongo

    https://youtu.be/mpNrmB_Qe6U?si=mbUaIlbrDNWvaiyY
  4. JamiiForums Tanzania Huu wimbo umfikie Raisi Samia sikiliza hadi mwisho Kuna watu walimwona Kabla.

    GT Sanaa ilikuwa zamani siyo sasa wanashindana kutingisha makalio tu hawana ubunivu wowote. Kwa wimbo huu nadhani Prof J alimwona Samia ndotoni anakuja yanayotendeka sasa ni yaleyale 100% kwenye wimbo huu. Kiufupi watawala kuanzia awamu ya tano hadi sasa wana dhambi nyingi sana japo...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua jina la huu wimbo

    https://www.instagram.com/reel/DKXY9NGtTdT/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Samahani wakuu, Kwa anayejua lina la huu wimbo naomba anisaidie ili nikaupakue. Natanguliza shukrani
  6. JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikitafuta wimbo wenye lyrics hii naomba mwenye kuujua

    Ni miaka sasa natafuta huu wimbo sijui bali huu mlio ndio nautambua naomba sana anayejua Ninaamini mtanisaidia. Ni kumbukumb yangu kubwa sana.
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu v2 wa wimbo :nasonga mbele"

    https://youtu.be/dmc-xxRof60?si=AQyC2o1xsr_iCO7m Bro hebu kaa chini tusimuliane hii ishu ya zamani lakini bado inabamba hadi leo. Kama uliishi enzi za Bongo Flava halisi, lazima utakumbuka ule wimbo mkali wa “Nasonga Mbele” kutoka kwa V2 – mrembo mwenye sauti ya dhahabu aliyewatoa machozi...
  8. JamiiForums Tanzania Huo wimbo mnaouimba ni wa kipumbavu

    Mi pia kipindi nikiwa muhuni tu mtaani nilikua nikiwa ndani ya basi natoka mkoani nilikuwa natamani gari ipate ajali ili nipate mali za abiria watakaokuwa wamekufa🤕🤕🤕 bila kujua kuwa wenda kwenye hiyo ajali na mimi nitakuwa miongoni mwa marehemu au watakao kwenye hali mbaya,. Funzo: Kipindi...
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 22 iliopita JD alitoa wimbo wa wanaume kama mabinti, wimbo ulikuwa controversial kidogo, lakini kumbe alicheza na muda na leo umekuwa relevant.

    ⚠️Vijana wa kiume wanatengeneza group chats kuwasema na kusengenya wanaume wenzao ⚠️Vijana wa kiume wana ng'anga'nia kujumuika na wanawake katika party zilizo undwa kwa ajili ya wanawake pekee. ⚠️Zamani ilikuwa unasikia sikia tu fununu kwamba flani ni shoga ila leo unawahesabu kwa maana...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kwenye hii translation ya wimbo wa vice versa (Madilu system)

  11. JamiiForums Tanzania Kwa miaka karibu 30 nasikiliza wimbo Nadina wa Mbilia Beli ila sielewi kiswahili chake

    Finyanga udongo Choma majani Pepo naudongo Samaki,nyama,mboga majani ohoo ndegeee Simba wa binadamu Jua maji Mwezi nyota Tumsifuu Mungu baba Hata mara mojaa kwa jumaa Hata ni wa shetani jua hii nalijua Sijui nini sijui niini Nadina hoo nadina ohioo
  12. JamiiForums Tanzania Céline Dion alikataa kuimba Wimbo wa ‘My Heart Will Go On’

    Wimbo wa 'My Heart Will Go On' ni kati ya nyimbo zilizompa umaarufu mkubwa na kumuongezea utajiri Celine Dion, kupitia wimbo huo aliouimba akiwa na umri wa Miaka 29 wakati huo ulikuwa ‘soundtrack’ ya Filamu ya Titanic ambayo ilitoka Mwaka 1997. Msanii huyo aliwahi kuhojiwa na kusema “Sikuona...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaimba nonsense lakini napenda kusikiliza,huu wimbo wameimba kina nani?.nawezaje kuupata full?.

    Mara kadhaa nimekutana nao ila ukiwa vipande vipande kupitia TBC.Baadhi ya mashahiri ambayo hata sielewi wanamaanisha nini,wanaimba"jiwe jiwe jiwe lanichoma choma...nikimkumbuka Mama jiwe lanichoma choma" Mengine "Amazulu.amazulu amazulu".na sijawahi kubahatika kuusikia mwanzo mpaka mwisho.
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kushare wimbo wangu mpya wa "No Reforms, No Election"!

    Kama mchango wangu mdogo katika hizi juhudi za kila Mtanzania mpenda nchi yake ya kuijenga Tanzania mpya yenye siasa safi, uchaguzi huru na wa haki, uongozi na utawala bora nimetengeneza wimbo huu wa kuhimiza, kuhamasisha na kuunga mkono kampeni za "No Reforms, No Election". Ni ruhusa kuutumia...
  15. JamiiForums Tanzania Kama upo kwenye mapenzi na huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, ndugu achana na huyo tapeli!

    Huu wimbo unakamata wazee na vijana!, haujalishi ni mtoto wa alfu mbili ama alfu tatu!. Milindimo yake haichoshi, sauti za waimbaji wake wameitenda ile kazi ya fasihi!. Sasa kama huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, we endelea kuishi tu na hilo gaidi litakuchinja sikumoja!...😂
  16. JamiiForums Tanzania Ukienda kwenye mchiriku ukiusikia wimbo huu umeanza kuimbwa kimbia!

    ---Nimesha tenda wema nimeumaliza, Kilicho baki sasa ni ubaya....... ( Saa nane usiku hiyo!) Bange, pombe zinawekwa kando, kila muhuni anamtupia jicho mnyonge wake, balaa tu.
  17. JamiiForums Tanzania Wimbo wa “We are the World” watimiza miaka 40 tangu ulipoachiwa

    March 7 mwaka 1985 baadhi ya wasanii waliounda kundi la “USA for Africa” walitoa kibao cha We are the World. Lengo kuu la wimbo "We Are the World" lilikuwa ni kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia waathirika wa njaa na umaskini uliokuwa ukiathiri sana nchi za Afrika, hasa Ethiopia, katika miaka...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya wimbo wa Kala Jeremiah

    Naomba kala Jeremiah asikilize huu wimbo wake tena kisha aje atuambie ulikua unahusu nini? Ndipo asifie serikali ya awamu hii inaupiga mwingi maana huu wimbo ni kama alitabiri yatakayo tokea awamu hii na ndo anayo yasifia UBETI WA 1 Rest in peace Kawawa Karume Baba Nyerere Mlipanda mahindi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukisikia yaliyomo kwenye ilani ya mpya ya CCM 2025 to 2030 ni kama wimbo wa profesa Jay ndio mzee

    1. Dar es salaam kujengwa tren ya chini ya aridhi kupunguza foreni hii ni sawa na mabomba kutoa maziwa nchi nzima, kwani mwendo kasi tu tunaona unavyopumulia pua je hiyo treni. 2. Kujengwa viwanda kila mkoa na kila mtaa haaa haaa hii sawa na ile wanafunzi wa vyuo vikuu kufanya practical...
  20. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Q Chief, Wiper Ulifanywa na producer Gani?

    Nilikuwa na sikiliza kazi moja ya miaka hiyo kutoka kwa q chief, Wiper nataka kujua Beat Ilifanywa na nani! TZ Vipaji ni vingi sana!! Daah!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…