wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Pengo la Capt. John Komba halijazibika, tayari wimbo ungekuwa hewani muda huu

    Captain John Komba alikuwa na kipaji chake Cha ajabu kabisa. Alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo mzuri sana, wenye ujumbe mzuri na wenye hekima za Hali ya juu Ndani ya dakika chache. Kwa Mara ya kwanza nilimsikia mwaka 1984 alipofariki Hayati Edward Moringe Sokoine. Ndani ya muda mfupi alitunga...
  2. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa: Mfahamu Enock Sontonga

    Mtunzi wa melody ya wimbo wa Taifa letu; Mungu Ibariki Afrika ni mwafrika anaitwa Enock Mankayi Sontonga (Enoch Sontonga - Wikipedia )ambaye aliutunga kama Nkosi Sikelei iAfrika mwaka 1897 huko Afika Kusini. Mwanzoni wimbo huu uliimbwa kama wa dini ili kupata baraka za Mungu, lakini baadaye...
  3. JamiiForums Tanzania Wimbo wa "Congratulation" katika Albam ya Antibioticcs ya Don Nalimison umetoka rasmi leo

    Karibu kutazama video ya wimbo wangu mpya uitwao Congratulations Bila Kusahau Like, Comment, Share & Subscribe 🙏
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anayepiga ngoma kwenye wimbo wa Lucky Dube, Back To My Roots, ni hatari

    Anayemjua please atujulishe ni nani hyu mwamba anayecharaza bati kwenye huu wimbo wa hayati Lucky Dube Back To My Roots. Yani ni sheeda; anapiga ngoma vibaya sana. Huyu ni nouma dah yani sheeedah
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwl. Samson Kibaso, mtunzi wa wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Afariki Dunia

    Ni nani mtunzi wa wimbo wa EAC? PICHANI: Mwl. Samson Kibaso enzi za uhai wake. Kuanzia 1999 hadi 2010 EAC ilikua ikitafuta wimbo rasmi wa Jumuiya hiyo. Aliyekua Katibu mkuu, Balozi Juma Mwapachu alikiita kipindi hicho "a decade-long search for a song that East Africans would call their own"...
  6. JamiiForums Tanzania Kama unataka kuburudika kwa wimbo uliotulia. utafute huu

    Kama unataka kuskiliza wimbo utakaokutoa stress either za kutemwa na pisi yako au kudaiwa kodi, ama ada ya shule ya mtoto tarehe 29 .. Basi tafuta huu wimbo. Ibrahnation -naamini. Thank me later ni wa kitambo kidogo
  7. JamiiForums Tanzania Tukasikia haya mashairi ya huu wimbo pamoja

    Verse 1: wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts, twiga wanapanda pipa hata bila ya passports, mikoa mingi bado haina hata airports, zaidi ya migodini madini kuya export, bila ya wazawa kufaidika, ndo mana wazanzibara wamechoka kutanga na nyika, big up Mandela leo South sio Africa...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Harmonize akicheza wimbo wa Jeje wa Diamond Platnumz

    Huenda kuna kitu Kati ya hawa watu, tuwe na akiba ya maneno
  9. JamiiForums Tanzania Mwenye huu wimbo naomba jamani naupenda sana

    Mwenye huu wimbo naomba anitumie naupenda Sana, hapa nimefanya kuunga vipande tu ili niupate wimbo kamili. Vipande vyenyewe nilirecodi kwenyeTBC siku ya muungano mwaka 2014 na 2015 walipiga vipande tu ndio nikavirekodi. Mwenye nao full nisaidie.
  10. JamiiForums Tanzania Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

    Humu wameizungumzia Corona, huu ndo tunaita ubunifu. Siyo Habari za bunyero bunyero inama nipachike rungu MASHAIRI Rostam - Kaka Tuchati Lyrics | Afrika Lyrics (Tongwe Records) Oooii naona mtandao unakatika Upo kimya sana mkato au kunde imevunjika Na mtanyooka roundi hii Na hivi huwezi...
  11. JamiiForums Tanzania Riwaya: Wimbo wa Gaidi

  12. JamiiForums Tanzania Nautafuta wimbo wa reggae unaoitwa Money Money pesa ulioimbwa na mbongo miaka ya 90

    Wakuu kwema? Kuna msanii wa reggae mbongo jina limenitoka Aliimba nyimbo nyingi ila ninayoikumbuka sana ni ile ya Money Money Pesa Nyimbo hii iliimbwa miaka ya tisini Kwa anayemjua msanii na mwenye wimbo auweke hapa Natanguliza shukrani
  13. JamiiForums Tanzania Wimbo wa akanana kaile Kona

    Ndugu zangu wahaya. WIMBO huu unapendwa sana na WATANZANIA ulikuwa maarufu enzi hizo na mpaka sasa ni maarufu. 1. Naomba history yake. 2.Naomba mashairi yake. 3.Naomba tafsiri yake. 4. Naomba video au audio yake. Mbarikiwe.... Akanana akanana kaile kooona Akaileee akailee...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Kikao cha Bunge chaanza, wimbo wa Taifa waimbwa na kwaya maalum

    Karibuni. UPDATES: Spika anawakaribisha wabunge na kuwapa salamu za Rais Magufuli na kwamba wasishangae endapo mh Rais atawatembelea hapo bungeni wakati wowote kabla ya 30/6/2020. Kadhalika Spika amesema Waziri mkuu yuko Dar akiratibu shughuli za kudhibiti Corona ila kesho atakuwepo Bungeni.
  15. JamiiForums Tanzania Wimbo gani ulikuvusha au kukupitisha ulipokuwa kwenye majira fulani magumu?

    I hope everyone is fine.. Ngoja niende mmoja kwa mmoja kwenye mada. Kuna wakati unakuwa katika hali fulani ngumu. Pengine katika maisha, mahusiano au situation zingine tu, halafu kwenye nyakati hizo unajikuta huna mtu wa kuku-comfort, huna msaada, yaani at the lowest point of your life.😥...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Diamond aachia kionjo Cha wimbo wake

    Msanii wa Kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz a.k.a baba lao wakati akiwa insta live akiwasiliana na mashabiki wake wa nchi tofauti tofauti ikiwemo kujibu maswali ya mashabiki wake akaamua kutoa kionjo Cha Baadhi ya mashairi ya moja ya wimbo wake ambao upo kwenye stoo ya nyimbo zake...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anae fahamu kujirecord video na kuiwekea wimbo wowote kwenye background

    JAmani wanajamvi nilikua na utata, kama kuna mtu anaweza utundu wa kuweka muziki kwenye video ya kujirecord anielekeze, au hata kama kuna app basi tuambizane.
  18. JamiiForums Tanzania Lucky Dube na wimbo wake wa "Remember Me" ni wimbo mzuri wa karne

    Kwa karne hii ya 20/21 wimbo huu wa Lucky Dube umefunika. Mwanangu P akikua na kuniambia anataka kuwa Rastafarian nitamsapoti, hii dini imejaa watu wasio na unafiki. These people are very clever.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Burna Boy ''On the Low" wafika mauzo ya kiwango cha Gold nchini Ufaransa

    Msanii wa Kimataifa kutoka Nigeria Burna Boy wimbo wake wa "On the Low" wafikisha mauzo ya kiwango cha Gold, yaani umenunuliwa na watu 500000 nchini Ufaransa. Msanii huyo mwaka huu na mwaka jana ameweza kupata mafanikio makubwa kuliko msanii yoyote wa Nigeria. Big up to him. Nini umejifunza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…