Hapa chini tuangalie uchambuzi wa wimbo ambao wengi wetu tunaujua kama 'Bandeko Ya Basi', lakini jina lake halisi la usajili ni "12,600 Lettres" (Barua 12,600). Huu ni moja kati ya kazi bora na mahiri zaidi za mwanamuziki mashuhuri wa Kongo, Franco Luambo Makiadi akishirikiana na bendi yake ya...
Wimbo wa "Libala" ulirekodiwa na bendi maarufu ya Viva La Musica ikiongozwa na nguli wa muziki Papa Wemba. Msanii Reddy Amisi alikuwa mmoja wa waimbaji wakuu na nguzo muhimu katika bendi hiyo kabla ya kuanza kufanya kazi kama msanii wa kujitegemea...
Hili kundi lina hit na classic songs kama celebration, cherish na fresh
Lakini ukiusikiliza wimbo wa Cherish utakubaliana nami ni aina ya wimbo ambao unaweza kusikilizwa na mtu wa miaka ya 80, mzazi wa leo, au kijana wa sasa na bado ukahisi uzuri wake
Ilikuwa mwaka 1985 Kool & The Gang...
Vita vya Leo Ushindi wa Kesho ni wimbo wa kutia moyo unaobeba ujumbe wenye nguvu kutoka Waamuzi 3:1–2. Katika kifungu hiki, Mungu aliwaacha baadhi ya mataifa ili kuwafundisha Waisraeli namna ya kupigana vita—hasa wale ambao hawakuwa wamepitia vita hapo awali. Hii inaonyesha kuwa wakati mwingine...
Watu makini wa JF, kwa heshima kubwa napenda kuleta kwenu wimbo tuilioupatia jina "Sauti ya Yesu".
Wimbo huu ni matokeo ya matumizi ya teknolojia ya akili unde (AI generated song). Hii ikijumuisha audio pamoja na video zote zimetengenezwa kwa kutumia akili unde.
Yesu Anajibu Songs tunaamini...
Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA".
This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen.
Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
Mwaka 1969, Zager and Evans walitoa wimbo uitwao In the Year 2525 ambao uligeuka kuwa hit kubwa duniani.
Melody yake ya kutisha pamoja na lyrics zake za kinabii kuhusu mustakabali wa mwanadamu ziliwavutia wengi kiasi cha kushika namba moja Marekani na Uingereza, huku ukuuza zaidi ya nakala...
Habari za muda huu Wana-JF wenzangu, natumai mko salama.
Leo kwenye jukwaa la burudani na kumbukumbu (Zilipendwa), natamani tuutazame kwa ukaribu wimbo mmoja maarufu sana uliorekodiwa miaka ya 1980 na bendi nguli ya Orchestra Bima Lee. Huu si mwingine bali ni wimbo wa "Mwamvua", ambao wengi...
Masafa Marefu- Tancut
Leo nimeona nilete mbele yenu moja ya kazi bora kabisa zilizowahi kutokea katika tasnia ya muziki wa dansi hapa nchini Tanzania. Huu ni wimbo wa "Masafa Marefu" uliorekodiwa mnamo mwaka 1988 na bendi mashuhuri ya Tancut Almasi Orchestra kutoka Iringa.
Wimbo huu ni mfano...
Wakuu samahani
Kuna wimbo WA Rhumba wa "Franco Luomba unaitwa Eli Kazho"
Mwenye audio au video yake au anayeweza kunisaidia jinsi ya kuupata naomba msaada tafadhali
maana nimetafuta sehemu nyingi nimeukosa
Wakuu
Baada ya kuangalia perfomance ya The Mother na Malkia wa Majukwaa ya Kombe la Dunia 'Shakira', The African Giant 'Burna Boy', Tyla kwenye ufunguzi wa michuano hiyo mikubwa ulimwenguni, unadhani ni Msanii gani wa Tanzania anapaswa kupewa Mkataba wa wimbo wa FIFA World Cup ijao?
Nimekuwa nikisikia watu wengi wakisema Uhakika ya Ibrah ndiyo wimbo bora wa mwaka 2026.
Sawa, nakubali unafanya vizuri sana. Wimbo unachezwa kila mahali: bodaboda, kwenye mabajaji, mitandaoni, kwenye sherehe na hata WhatsApp status. Hilo halina ubishi.
Lakini nina swali moja:
Je, umaarufu wa...
Mwenye kujua jina la huu mwimbo na jina la mwimbaji tafadhali nijulishe?
Huu upo kwenye background wa hilo Tangazo.
https://www.instagram.com/reel/DY5FyGRMbVY/?igsh=MWJlb214MWtxejZjbg==