wimbi

Wimbi Dira Airways was a scheduled and charter, passenger and cargo airline based in Kinshasa, Democratic Republic of the Congo. It serves the country's main cities. As of May 2014 all of their planes were reported to be in storage.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hongera waziri Katambi wimbi la watukanaji kwenye social media limeanza kupungua

    Mwenendo wa wanaotukana badala ya kujenga hoja kwenye mijadala katika mitandao ya kijamii limeanza kupungua.Naamini waliokuwa wanafanya hivyo wengi wao hawakuwa Raia wa Tanzania na walikuwa na nia ya kuambukiza tabia chafu ya kutokujali kwa watanzania wenye ustaarabu na heshima.
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kuna huu wimbo nime video screen shot anaeujua please

    Nimeweka kavidio kadogo
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi la vijana waliosoma vyuo vya nje ya nchi kupata changamoto ya usajili kwenye mabaraza ya kitaaluma kipindi wanaporudi Tanzania.

    Kwa nyakati tofauti nimeona watanzania wakilalamika kukosa usajili wa mabaraza ya kitaaluma hasa manesi na wafamasia pale wanapohutimu masomo yao ughaibuni na kurudi nchini kwajili ya kufanya kazi je ? Changamoto ni nini? Kwa kupitia nikabaini changamoto chache kwanza kutokua na uelewa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Heche akemea wimbi la utekaji nchini, atoa msimamo wa CHADEMA kwa maridhiano

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekemea vikali wimbi la utekaji na kupotea kwa watu nchini wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa mpakani wa Sirari, wilayani Tarime mkoani Mara. Akihutubia mamia ya wananchi waliofika...
  5. JamiiForums Tanzania Lagos, Nigeria yakabiliwa na wimbi kubwa la ombaomba wa mabavu.

    Wakazi wa Lagos wana malalamiko makubwa baada ya jiji hilo kukabiiliwa na wimbi kubwa la kundi ombaomba wa pesa wanaolazimisha watu kuwapa pesa. Raia mmoja wa Lagos ameandika ushuhuda wake akisema; Lagos siku hizi kunakera sana, maana niambieni kwa nini... Nilikuwa kwenye safari yangu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wimbi la kesi za ugaidi litaathiri taswira ya nchi na sekta ya utalii kwa namna ambayo Serikali haikutarajia

    Watanzania, tukubali tusikubali, Serikali ya CCM haina viongozi wenye uwezo wa kuona mbali. Obviously, the mazafakas cannot see beyond their noses! Katika hali ya kawaida, hakuna kiongozi yeyote mwenye busara ambaye anaweza kuitangazia dunia kwamba nchi yake ina magaidi kila kona wakati ukweli...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwalaghai na kuwalisha Sumu Vijana ili wahujumu Uchumi wa Nchi zao

  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  9. JamiiForums Tanzania Kuna wimbi viakaunti vingi vimejoin may na june vya moto kweli🔥🔥

    Vina post kila ya dakika wanajifanya wapya ila jinsi anavyojibu comment ni kama anakujua vizuri humu ndani😁😁
  10. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa wimbi la wanafunzi kufanya udanganyifu kwenye mitihani vyuoni?

    Habari zenu Wadau wa Jambo Forums Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la wanafunzi nyakati za mitihani kuingia na simu ya mkononi katika chumba cha mtihani Hizo simu zinawasaidia kujibu maswali watakayoulizwa katika mtihani huo Unaweza ukakuta robo ya watahiniwa wameingia na simu chumba cha...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wateja wa CRDB Morogoro Manispaa wanaibiwa fedha zao kwenye akaunti bila wao kujua

    Kuna malalamiko kuhusu matukio ya upotevu wa fedha kwenye akaunti za baadhi ya wateja wa CRDB katika Manispaa ya Morogoro. Miongoni mwa walioathirika ni baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) pamoja na wateja wengine, ambao wamejikuta fedha zikitolewa kwenye akaunti zao...
  12. JamiiForums Tanzania Wimbi la watu kupeleka fedha kwenye kununua Bonds, Hisa, UTT, hatifungani, fixed deposits, je ni kitu kizuri au kibaya?

    Kwa sasa habari ya mjini ni kununua hisa, bonds, mifuko ya uwekezaji n.k, je ni kitu kizuri au ni kibaya? Ni kitu cha kudumu au ni upepo tu? Je hao watu wanatengeneza hela kweli au ni mamotivesheni spika wanawajaza upepo. Binafsi naamini wale waliokuwa na pesa nyingi enzi hizo wakanunua hisa...
  13. JamiiForums Tanzania Wimbi la ‘single mothers’, wa kulaumiwa zaidi ni Wazazi na Serikali

    Siku za hivi karibuni single mothers wamekuwa wakilaumiwa, kukejiliwa na kurushiwa maneno mengi ila ukweli ni kwamba wao ni matokeo tu na sio sahihi kuwananga wao badala ya kuangalia chanzo. Ukweli ni kwamba chanzo kikubwa cha single mothers ni wazazi kushindwa kuwahudumia watoto wao wa kike na...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumhudumia vya kutosha ananikataa; anasema Nina sura ngumu kama wimbi la uji!😠

    Wakati tunaanza na kumpatia uhakika wa huduma alikuwa anatoa ushirikiano nzuri tu kunipatia sifa kedekede za 'uhandsome'. Leo, baada ya kuyafikia malengo yake kwa asilimia kubwa, amenizingua kwa kauli kama hiyo. Nimfanyie uhuni gani. Nje ya mada; hivi miaka 40+ unaweza kumpata bint wa 2005 kuja...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na wimbi kubwa la wasichana kuonesha tupu zao mitandaoni?

    Utakuta huko TikTok wanafunua mapaja na kufunga Kwa haraka Facebook hivyohivyo kwanini?! Ni stress au ndio ajira mpya ya watengeneza content?
  16. JamiiForums Tanzania Wimbi la wanaume Wambea linazidi kuongezeka

    Sijui ni Mitandao ya kijamii ndo imekuwa chanzo....wanaume wanazidi kuwa Wambea kuliko hata wanawake Siku hizi ukienda kwenye misiba ama mikusanyiko huwezi koswa kundi la wanaume sita ama tisa Hivi wanapiga umbea. Miaka ya nyuma ilikuwa haipo Kila kundi utakuta wanacheza karata ama BAO...
  17. JamiiForums Tanzania Wazazi msiweke wazi shida zenu kwa watoto wimbi la kupotea na kujinyonga linaongezeka

    Habarini wapendwa za jioni Nimeona tukumbushane kidogo Hasa kwa wimbi la matukio mbali mbali ya watoto hivi karibun mwanza geita na arusha Hawa watoto watatu Wote waliandika barua ..kwa wazazi wakimwomba mungu atatue shida za wazazi wao ikiwemo pesa za ada shule na pesa za marejesho Kwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Starmer nchini China yaongeza wimbi la washirika wanaoiamini China na kuja kujadili kuimarisha uhusiano wao

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wiki iliyopita alikuja China ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi huyo wa Uingereza ndani ya kipindi cha miaka minane. Kupitia ziara hii Starmer anafanya juhudi za kurekebisha uhusiano wa Uingereza na China, nchi yenye uchumi wa pili kwa ukubwa duniani...
  19. JamiiForums Tanzania Katambi: Tumedhibiti wimbi la wahamiaji haramu, Uhamiaji imedhibiti na kufunga njia za vipenyo 1,777

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema katika kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu wanaoingia nchini. Idara ya Uhamiaji imedhibiti na kufunga jumla ya Vipenyo Elfu Moja Mia Saba Sabini na Saba vilivyopo maeneo mbalimbali nchini, vilivyokua vinatumika kuingia nchini kwa njia...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini wimbi la Single Mothers linazidi kuongezeka?

    Habarini wanajamii Ni ukweli usiopingika kuwa Single mothers wanazidi kuongezeka katika jamii, tatizo ni nini hasa kinasababisha hali hii? -Je ni ugumu wa maisha unaosababisha wanaume kuogopa kuingia kwenye ndoa? -Au kubeba mimba bahati mbaya Tatizo ni nini hasa? Huko mtaani kila kona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…