wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baraza la usuluhishi wa migogoro ya watumishi wilaya ya Nyamagana - Mwanza

    Habari zenu wana JF...!! Nahitaji msaada wa kupata Mawasiliano ya mtu anae husika na Baraza hilo tajwa hapo juu, kama nitampata Muhusika moja kwa Moja kutokea hapa nitashukuru pia. Mawasiliano yangu: 0653717447 Ahsante
  2. JamiiForums Tanzania Manispaa ya kahama,Ina stendi nyingi na benki nyingi kuliko wilaya zote zilizopo mikoani ambazo sio majiji

    Leo nipo kikazi hapa ila nimeangalia mji ulivyo hapa kama mjini. Una stendi nyingi za kwenda sehemu nyengine na cha kushangaza ndio yenye benk nyingi na zengine zinakuja.
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi ndio nguvu yenu ya kuwapa mapato ila mnachokifanya mnajinufaisha wenyewe Wilaya ya Kahama

    Leo nipo mkoa wa shinganya wilaya ya kahama kikazi. Hongereni kwa kupewa manispaa sasa. Il nilichogundua kahama ina mchanganyiko wa watu wengi sana na wanachi wamejenga yani majengo unayokutana nayo ukiambiwa hapa ni kahama kwenye picha utabisha. wilaya ya kahama imetanuka sana kwa kahama...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya HALMASHAURI YA CHALINZE hatujapewa pesa ya kujikimu

    Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze. Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa. Kila tukiuliza tunaambiwa tutalipwa tu, wanasema kama sio December 2025, basi April au June 2026.
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani mteule wa CCM Kata ya Shiwinga, amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri

    Aliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lilitokea jana Novemba 26, 2025 na amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mbozi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania kuna dada anaitwa Magdalena Sabaya nasikia anakuwa mkuu wa wilaya samia kwa nini unatuchokoza ?

    mama kichwa cha habari kinavyojieleza nasikia huyu mdada anaandaliwa mkuu wa wilaya wakati ana historia mbaya sana na familia yao wa historia mbaya mno mno ,yeye mwenyewe nasikia mwizi na mkatili mno SAMIA SULUHU HASSAN PUNGUZA KUCHOKOZA WANANCHI NA HISIA ZETU
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Si tu walichoma na Kuzika Maiti za Walouliwa, Maiti nyingi zimehamishwa Wilaya to Wilaya ,Mkoà to Mkoà ,ili Ndugu wasipate Maiti zao

    LENGO ni lilelile Moja, Ndugu waendelee kubakia NJIA PANDA !.
  9. JamiiForums Tanzania Biharamulo Real Estate/Investment inakukaribisha uwekeze wilaya Biharamulo

    BIHARAMULO REAL ESTATE / INVESTMENT Biharamulo ndio wilaya yenye miundombinu imara zaidi katika mkoa wa kagera ,inakuungamisha na Mkoa wa Geita ,Mwanza ,Uganda,Rwanda ,Burundi, Kigoma hadi DRC ndio wilaya yenye idadi kubwa ya watu na makabila mchanganyiko 📞 +255 763 773 192 INAUZA VIWANJA...
  10. JamiiForums Tanzania Najiuliza hivi RC au DC anaongeaje kama Rais wa nchi, hii nchi inaongozwa nani hasa?

    Wakuu... Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani? kuna hawa...
  11. JamiiForums Tanzania Miaka minne na nusu ya Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan: Wilaya ya Mbogwe imepiga hatua gani?

    Leseni 41 za utafiti wa madini zimetolewa Leseni 548 za wachimbaji zimetolewa Leseni 147 za maeneo tengefu Vituo vya afya vimeongezeka mara mbili zaidi kutoka 14 wakati anaingia madarakani na kufikia 28 vilivyopo sasa. Ongezeko la wataalamu wa afya kutoka 181 kufikia 283 Ongezeko la Shule za...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Yas yatoa msaada vifaa tiba Hospitali ya wilaya Chalinze

    KAMPUNI ya mawasiliano hapa nchini, Yas imeonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha ustawi wa jamii kwa kutoa msaada wa vifaa tiba muhimu katika Hospitali ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani. Mpango huo, uliongozwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Pwani Kusini, Fadhila Saidi ambaye alimkabidhi...
  13. JamiiForums Tanzania Katavi: Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika yasema imetoa mikopo kiasi cha Tsh Bilioni 1.1

    Baada ya baadhi ya Wanawake Wajasiliamali wa Tarafa ya Karema, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kutoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao, Serikali imefafanua, Kusoma zaidi kuhusu Wananchi hao bofya hapa ~ Wanawake walia kukosa mikopo Tanganyika...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Geita Vijijini tangu March 2025 mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu

    Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums. Nyingine soma ~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna viashiria vya rushwa mikopo ya 10% kwa Vijana, Wilaya ya Newala Vijijini - Mtwara

    Kumekuwa na viashiria vya rushwa kwenye utoaji wa mikopo ya 10% kwa Vijana katika Wilaya ya Newala Vijijini Mkoani Mtwara. Tuliunda kikundi na kufata taratibu zote lakini mwishoni tunaelezwa tutoe chochote ili waweze kupitisha ombi letu. Maana ya kuomba mkopo ni dhahiri kwamba hatujitoshelezi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
  17. JamiiForums Tanzania Wilaya kwa Wilaya Sasa ilikuwa zamu ya Kilosa

  18. JamiiForums Tanzania Hii nchi tulipofikia:Mahakama ya wilaya watumishi wote wamekwenda ngorongoro kutembea mahakama imefungwa

    Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach. Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha. Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake. Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
  19. JamiiForums Tanzania Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

    CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye! tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI aiianza na kusema...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kagera: Walimu zaidi ya 80 Wilaya ya Ngara tuliohamishwa mwaka jana mwezi Mei hatujapewa hela za kujikimu. Hali ngumu

    HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI. PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA FEDHA ZA KUSAFIRISHA FAMILIA NA MIZIGO YETU.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…