wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Stergomena Tax akabidhi Ukumbi wa CCM Magu kwa uongozi wa Chama Wilaya baada ya ukarabati

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 15 Agosti 2025, ameukabidhi Uongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wilayani Magu Mkoa Mwanza, Ukumbi wa CCM baada ya kukamilisha maboresho na ukarabati mkubwa. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kusema wilaya ya Kigamboni ndio inaongoza kwa mgao wa umeme nchini Tanzania.

    Kwa sasa naweza kusema kuwa wilaya ya kigamboni ndio inaweza kuwa kinara wa kukata umeme nchini au mkoa wa DSM, Kwa wiki umeme kukatika si chini ya mara sita kila baada ya masaa sita kuna tangazo la kukatiwa umeme. Maeneo kama Kisarawe II, KIBADA,Mwasonga nk ni maeneo ambayo TANESCO Kigamboni...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Wilaya Itilima – Simiyu tumekatwa fedha vyama viwili CHAKUHAWATA na CWT

    Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, Walimu tumekatwa makato kwenye vyama viwili vya Wafanyakazi ambavyo ni Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu (CHAKUHAWATA) na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinyume na taratibu za utumishi. Taratibu zinaeleza kuwa Mtumishi atajaza fomu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Njombe: Wanafunzi tena waliovaa sare wanatafuta nini Ofisi za CCM – Wilaya ya Wanging'ombe Jumapili hii?

    Leo tarehe 3 Agosti 2025 nimepita kwenye Ofisi za CCM Wanging'ombe hapa Mkoani Njombe, nimekuta baadhi ya Wanafunzi wakiwa nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wanging'ombe. Sijajua nini hasa ambacho kinaendelea lakini imenishangaza kidogo kuona Wanafunzi wakiwa nje ofisi hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani kata za wilaya ya Uyui Tabora

    Akisoma Majina hayo Agosti 1, 2025 ofisini kwake Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Ndugu Idd Moshi Mambo ameeleza kuwa haya ndio majina ambayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi Ccm kwa ajili ya Wajumbe wa Chama cha mapinduzi ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua mmoja kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Sikonge-Tabora

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Sikonge mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Urambo - Tabora

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Urambo mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Kaliua-Tabora

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Kaliua mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Nzega-Tabora

    wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Nzega mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua mmoja...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya :Viongozi wa Ccm Wilaya ya Rungwe acheni kuwapambani baadhi ya wagombea

    Aliyekuwa Mhe Diwani kata ya Mpombo -na Mwenyekiti WA Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya anayejulikana Kwa Jina la Anyosisye Njobelo ameamua kutumia hongo ili Jina lake lirudi. Baada ya kukatwa Anarudishwa Kwa kutumia mlango Wa nyuma Kwa Kuhonga kisa eti yeye anajinasibu...
  12. JamiiForums Tanzania Nataka mke aliye serious wakuoa mimi ni mtumishi wa private sector nipo wilaya za Dodoma njoo inbox mchumba

    Nataka mke wa kuoa mm ni mwanaume wa miaka 40 nahitaji mwanamke yoyote ambaye yupo tayari na yupo serious kuoana au kuwa MARAFIKI aje inbox awe tayar kupima HIV nipo online karibu sana, nnapoishi kutoka mjini Dodoma mpaka nilipo ni elfu 5 karibu sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya dhahabu ambayo kuna WACHINA yapo wilaya gani mkoa wa Singida na Mbeya?

    wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
  14. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais tunakuomba ufute sheria ya kututeulia wabunge na madiwani. Tayari una nguvu ya kuteua wakuu wa mikoa na wilaya

    Sheria mpya inampa mamlaka Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala kuweza kuweka wabunge wake hata kama hawakupita kura za wajumbe, Tunakoelekea sio kuzuri. Hii ina hatari hasa kwa kuweka wabunge ambao hata hawajakulia katika majimbo
  15. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Wajumbe wa CCM Wilaya ya Kinondoni washiriki Mkutano Mkuu Maalum, Gwajima hajaonekana

    Wakuu, Aliyekua Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima hajaonekana kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM, au ndo kashiriki Mtandaoni?
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkurugenzi wa Mbarali, Steven Katemba azuiwa kuchomekea maneno ya Kisiasa msibani kwa Padre Vitalis Bamuhiga

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Steven Katemba, alipewa heshima ya kutoa salamu za rambirambi wakati wa ibada ya mazishi ya Padre Vitalis Bamuhiga wa Jimbo Katoliki la Kayanga. Hata hivyo, baada ya kutoa salamu, alijaribu kuzungumzia masuala ya kisiasa, kinyume na msimamo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mh. Rais Angalia Unaharibiwa na Mkurugenzi wa Wilaya, Mkoa, Hii Mbaya Sana.

    Moja kwa moja kwenye mada. Zilipotoka ajira za walimu wapya, tayari serikali ilishapiga hesabu na kutoa fungu ambalo lilipelekwa moja kwa moja eneo husika wilaya au mkoa. Baadaye vijana wetu wameitwa kwenye mkoa husika ili wapeleke makaratasi yenye taarifa zao kwa ajili ya uhakiki. Makosa au...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uonevu unaofanywa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Serengeti

    Mganga mkuu wa wilaya anaharibu idara ya afya na kamati ya afya mkoa wanafahamu. Mkurugenzi anafahamu. Anawasimamisha kazi watumishi bila kufuata utaratibu na bila mkurugenzi kujua. Amewasimamisha watumishi wa kituo cha afya Natta bila Mkurugenzi kushirikishwa (ambaye ni mwajiri). Amemchukua...
  19. JamiiForums Tanzania Ni Kweli Makatibu wa CCM Wilaya na Mikoa wengi ni wa dini fulani?

    NIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo ni za kweli au laa. Hebu tuitazame mikoa yetu tuone kama kuna ukweli. 1. Mkoa wa Dar es Salaam...
  20. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Natamani Viongozi wa Wilaya na Mkoa Katavi wangekuwa wanatumia Vyoo vya Stendi ya Mizengo Pinda labda wangevijali

    Leo Julai 16, 2025 nilikuwa nasafiri kutoka Mpanda kuelekea Sumbawanga, nikiwa Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda nilienda msalani, jambo la kushangaza na kutisha nimekuta vyoo upande wa Wanaume sio tu vichafu bali vimejaa maji taka hadi juu. Naziomba mamlaka hususani hasa Mkurugenzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…