wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DC Johari Samizi: Dampo lililokuwa katika makazi ya watu Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi limeondolewa

    Baada ya hoja iliyotolewa na Mwanakijiji cha Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza kuwa kuna dampo kwenye makazi ya watu ambapo pia wanachoma taka na kuleta moshi unaosababisha Wananchi wavute hewa chafu usiku kucha, hatimaye hatua zimechukuliwa. Mdau alidai Wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Nafikri Geita na Tarime ndio wilaya zenye ardhi yenye dhahabu ya kutosha ila nashangaa Tarime ukuaji upo slow. Kimbieni kule muwekeze vita hakuna tena

    Naelewa mlikimbilia mwanza, rudini, tarime pamekucha. Njoo uwekeze ustaafu kwa raha na sio kupishana na kuku huko mashambani😁
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Julius Ntatiro mkuu wa wilaya huko Shinyanga kuvamia nyumbani kwa mwananchi akiwa na polisi saa tano usiku sio cha kiungwana

    Mkuu huyo wa wilaya huko Shinyanga ameonekana kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbilu usiku huu akiwa ameambatana na polisi. Julius Ntatiro mkuu wa wilaya ameonekana akiwa nyumbani hapo na kumpigia simu baba wa nyumba ambaye hakuwepo kwa lengo la kumuuliza kwanini anataka kumuoza binti yake...
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto zinazoendelea kwenye hospitali ya Wilaya ya Ubungo, zinazohitaji kuchunguzwa na kutatuliwa

    Kuna changamoto kadhaa zinazoendelea katika hospitali hii ambazo zinahitaji kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua: 1. Ucheleweshaji wa malipo ya wafanyakazi Wafanyakazi hawajalipwa malipo ya muda wa ziada (overtime) tangu mwezi Novemba hadi sasa. Wanapouliza uongozi, wamekuwa wakielezwa kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nkasi DC: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande hawakai chini, hata hivyo tutanunua meza na viti 900 kugawa Shule za Sekondari

    Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu wa S/M Kimandafu ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru amfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 siku 2 mfululizo

    Shule ya msingi Kimandafu iko Halmashauri ya wilaya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha. Mwalimu moja wa shule hiyo aitwaye Stella Gunda jana asubuhi mida ya saa 2 alimfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 aitwaye Angel Frank Mbise kwa kumwambia "ondoka sikutaki ktk kipindi changu"...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watoto chini ya miaka mitano na Wajawazito wamekuwa wakitozwa pesa katika Kituo cha Afya Mundindi

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi wanapopata huduma za afya katika Kituo cha Afya Mundindi. Kuna madai kwamba watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na wanawake wajawazito wamekuwa wakitozwa fedha za matibabu, licha ya utaratibu wa Serikali kutoa huduma...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini mkoa Mtwara, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu tukiuliza tunaambiwa jambo lipo kwenye mchakato.
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya na Polisi wilaya ya Ukerewe wameshindwa kukomesha wizi na vibaka

    Moja kwa moja kwenye mada. Wilayani Ukerewe kumekuwepo na wimbi kubwa na wizi wa kuvunja maduka na vibaka mitaani hasa usiku. Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la watu kuvunja maduka na kuingia kuiba pesa. Wezi hao wanapitia kwenye paa, wanakata nyaya za cctv kamera na kuiba pesa. Pia...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna malalamiko kuwa Mtendaji Sengerema anataka Wanafunzi wanaotaka kujisajili NaPA walipe fedha

    Naomba mamlaka husika kuchunguza malalamiko kuhusu utaratibu wa usajili kwenye mfumo wa NaPA kwa waombaji wa mikopo ya elimu ya juu katika Wilaya ya Sengerema, Mwanza. Kuna malalamiko kwamba mtendaji mmoja wa wilaya anawataka wanafunzi wanaohitaji kusajiliwa kwenye mfumo wa NaPA kutoa fedha kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi amvaa John Heche asema haogopi kufukuzwa

    Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama. ========== Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi haturidhishwi na utendaji wa Afisa Kilimo Wilaya ya Magu, Kata ya Lubugu

    Kuna Afisa Kilimo Wilaya ya Magu, Kata ya Lubugu haturidhiki na utendaji wake, ashafungua duka la kilimo na mifugo muda mwingi anautumia kukaa dukan kwake. Bidhaa anazotuuzia mara nying zile za ruzuku kwa mfano mbolea nyingi anatuuzia za ruzuku kwa bei ya juu na hata mbegu za mahindi ukikwangua...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO KILIO CHA WANANCHI: Huduma za Vyeti Mtandaoni Tandahimba Hazifanyi ipasavyo

    Naomba mamlaka husika zichunguze huduma za vyeti mtandaoni katika Wilaya ya Tandahimba. Niliomba cheti cha kifo tarehe 11 Juni 2026, lakini hadi leo 8 Julai 2026 sijakipata, na status ya maombi haibadiliki hadi mwombaji aende ofisini. Pia, kuna taarifa kutoka kwa wananchi kwamba kwa sasa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya tunalazimishwa kuchangia pesa ya Mwenge, Halmashauri ya Wilaya Buhigwe - Kigoma

  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe uchunguze Idara ya Afya

    Kumekuwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi kwa uongozi uliopo, watumishi kunyanyaswa na kukosa haki zao za kiutumishi na kupelekea utendaji kazi kudhoofika kwa baadhi ya watumishi na hali hii imesababisha kutokuelewana katika kutimiza majukumu ya kazi ya kila siku na kufanya utendaji kazi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosekana Maji Nandagala Siku 3

    Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji Malipo ya Mishahara - Watumishi wa MSF Chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

    Kwa unyenyekevu mkubwa tunapenda kutoa kero yetu sisi watumishi wa MSF - Medecins Sans Frontieres tunaofanya kazi chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi 1. Hali ilivyo sasa Hadi leo tarehe 5/04/2026 mishahara yetu bado haijapatikana. Ucheleweshaji huu umetufikisha...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Zahanati ya Kata ya Itundu, Wilaya ya Urambo - Tabora, Mganga Mfawidhi anaenda kazini anapojisikia

    Zahanati ya Kata ya Itundu, Wilaya ya Urambo katika Mkoa wa Tabora, Mganga Mfawidhi anakuja kazini anapojisikia ni kama Mganga Mkuu wa Wilaya ameshindwa cha kufanya. Kwa wiki anaweza kuna mara moja au hasije kabisa hali hii ibasababisha wananchi wasipate huduma stahiki. Kwa utaratibu anatakiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hajjat Messos: Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama ilitoa mikopo ya 10% yenye thamani ya Sh 500,598,000

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Hajjat Asia Juma Messos TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: MWAKA MMOJA WA MAFANIKIO YA SERIKALI WILAYANI MKALAMA (2025/26) Ndugu waandishi wa habari, wageni waalikwa, mabibi na mabwana, Awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nilihofia kumpoteza Mgonjwa katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba (Rubya Hospitali) sababu nilitakiwa nilipe kabla ya huduma

    Ninaomba kufikisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa huduma katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba yaani Rubya Hospital ambao kwa maoni yangu unaweza kuhatarisha maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma za dharura. Nilifika hospitalini hapo nikiwa na mgonjwa aliyekuwa anahitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…