wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. Yupo wapi Omary Mangochie, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita?

    Ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wa hovyo kuwahi kutokea. Jamaa.alikuwa account airport baada ya kikwete na kundi lake kuingia akateuliwa nilifanikiwa kufanya nae Kazi akiwa mkuu wa wilaya mahali fulan. Huyu alikuwq DC Mpumbavu kuliko, aligombania mpaka wanawake bar, akiulizwa anajificha kwenye...
  2. Mbunge Furaha Matondo akabidhi viti mwendo 70 Wilaya zote Mkoa wa Mwanza

    MBUNGE MHE. FURAHA N. MATONDO AKABIDHI VITI MWENDO 70 KWA WALEMAVU KWA WILAYA ZOTE, MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Mwanza Mhe. Furaha N. Matondo katika ziara yake aliyoifanya Wilaya zote za Mkoa wa Mwanza amekabidhi Viti Mwendo 70 kwa watu wenye ulemavu Mkoa wa Mwanza. Hafla ya...
  3. DOKEZO RPC Mara,OCD Wilaya ya Bunda tupieni jicho askari hawa,wanaharibu taswira ya jeshi la polisi...

    Wasaalam wanajamvi naendelea na namna maskari Eli eli, afande zawadi na mgambo ajulikanae kwa jina Samwel wanavyoharibu sifa nzuri ya jeshi la polisi wilayani Bunda. Huyu mgambo ambaye vijana wa mjini wanamuita "Mundu" wa afande li eli kapewa mamlaka ya kutembea na pingu ambazo amekuwa...
  4. Mkuu wa Wilaya na Wakuu wa Shule za Sekondari Wanena Kuhusu Umuhimu wa Mfuko wa Jimbo

    MKUU WA WILAYA (DC) NA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WANENA KUHUSU UMUHIMU WA MFUKO WA JIMBO Jana, Ijumaa, 24.3.2023, Wakuu wa Shule za Sekondari za Musoma Vijjini, na Bodi zao, walianza kuchukua vifaa vya ujenzi vilivyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo. *Manunuzi yalifanywa na...
  5. DC Victoria Mwanziva: Miaka Miwili ya Rais Samia imekuwa ya Neema na Baraka tele kwa Wana-Ludewa

    DC VICTORIA MWANZIVA - MIAKA MIWILI YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NDANI YA WILAYA YA LUDEWA Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amesema; kwa hakika Miaka Miwili imekuwa ya Neema na Baraka tele kwa Wana-Ludewa, kwani Rais Samia amekuwa akiitazama Wilaya kwa jicho la upekee sana...
  6. Mkandarasi haongei lakini anachukizwa, Serikali wilaya ya Temeke ijitathmini

    Mkandarasi anayejenga Barabara ya mabus ya mwendokasi MBAGALA na hakika anachukizwa mno na adha anazokutana nazo SITE, haswa kipande cha ZAKHEIM - RANGI TATU. Serikali wilaya ya Temeke imebaki inaangalia tu. Ni kweli WANANCHI wa MBAGALA wanajipatia riziki katika mihangaiko yao ya kila siku pale...
  7. Harakati za vyama vya upinzani Tanzania ni kupewa Ukuu wa Wilaya tu

    Toka CCM waligundue Hilo hawana presha kabisa na upinzani. Utaratubu huu alianza nao mkapa. Issue sasa ninl kuwahonga madaraka ili wakae kimya kwani nao ni chumia tumbo. Hata ukiwahoji watakuuliza kwani wewe unalisha familia zetu? Enzi hizo bwana Cheo Yupo moto kwelikweli mkapa aliivuruga...
  8. M

    Hospitaiili ya wilaya Lushoto wakataa kumpa kitanda mgonjwa aliyevunjika mguu

    Yupo mgonjwa aliyepata ajali ya kugongwa na pikipiki na amevunjika nmguu. Tangu mapema saasita mchana hadi saa kumi na nusu hawataki kumpatia mama huyo kitanda wamemuweka mapokezi eti wanadai anatakiwa kupelekwa hospitali ya Bombo. Mama huyo familia yake wamechelewa kupata taarifa na...
  9. R

    Huduma za afya vituo vya Serikali inakatisha Tamaa, viongozi wa mikoa na Wilaya hata kusimamia huduma zitolewe mnasubiri Rais?

    Nani amewahi kwenda kupata huduma kituo cha Afya kipya kilichopo Kimara? Jaribuni kwenda pale kituoni mkae morning to evining mtajionea Hali ya utoaji huduma ilivyo mbovu. Nina rafiki yangu anaishi jirani, nikifika huwa napenda Sana kufanya tathimini ya Afya Tanzania. Ningekuwa Mimi ndiye...
  10. Idara ya afya Wilaya ya Rombo imegeuka Kikosi kazi cha kumwaga Chanjo za UVIKO-19, kupika majina ya watu kuwa wamechanja

    This is Tanzania. Yaliyoendelea, yanayoendelea yanasikitisha. Umeona takwimu za chanjo ya UVIKO-19 kuwa 86% ya Watanzania Wamechanja 😅 Kwa sample ndogo ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kazi iliyokuwa inafanyika inasikitisha. Vials za chanjo za UVIKO-19 zimemwagwa sana kwa kushirikiana na...
  11. Naomba kujua zilipo Ofisi za Posta katika Mkoa wa Pwani wilaya ya Kibaha

    Habari ndugu zangu, mwenye kujua zilipo Ofisi za Posta katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha (Posta wanapotoa huduma wa kupokea na kutuma barua, na documnet zingine). Msaada tafadhali ndugu zangu.
  12. HOJA: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya

    Hoja: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya. Katika Katiba Mpya, Nafikiri kuna umuhimu kufanya mageuzi ya muundo wa utawala na uongozi wa kisiasa nchini. Mbunge wa kuchaguliwa, awe ni Mkuu wa serikali katika Wilaya, aongoze kuanzia baraza la Usalama Wilaya, (Kamati ya ulinzi na Usalama)...
  13. Fatma Rembo achangia Milioni 2 UWT Mufindi, aahidi kutoa pikipiki Wilaya zote za Iringa

    MHANDISI FATMA REMBO ACHANGIA MILIONI 2 UWT MUFINDI NA KUAHIDI KUTOA PIKIPIKI KWA UWT WILAYA ZOTE MKOA IRINGA. Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa Ndugu Fatma Rembo mnamo tarehe 11 Machi, 2023 amefanya Ziara Wilaya ya Mufindi ambako aliambatana na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa ndugu Zainab...
  14. Maelekezo haya kwa Walimu wa Manispaa ya Ilemela yapo nchi nzima?

    Niende kwenye hoja! Yamekuja maelekezo ya kusainisha waalimu mkataba ambao unamtaka kila mwalimu kufaulisha somo lake kwa asilimia 100. Hakuna mwanafunzi kufeli mtihani wa somo lake! Na kufeli kwao inaanzia B na sio F kama baraza la mitihani linavyo elekeza! Je, Sikuhiz mwalimu ana sign...
  15. Wizi wa CCM Muleba wadhoofisha miundombinu ya wilaya

    Chama ambacho kinashindwa kulinda rasilimali za nchi hakifai kuchukua dola. Wakati Chadema tunasema People's Power tunamaanisha nguvu ya umma. Anayeiua Muleba ni CCM hatupaswi kumlaumu yeyote. Hiki chama kimechooka ni chama ambacho kinashindwa kuisimamia serikali na kujisimamia chenyewe. Kuna...
  16. J

    Wakuu wa Wilaya kipindi cha Samia hawachapi kazi kabisaHawachapi kazi kama awamu ya 5

    Kipindi kirefu sana sasa sijasikia DC amemsweka mtu ndani kwa saa 24 au 48 Kipindi cha Magufuli ilikuwa ni kawaida kusikia DC kamsweka mtu ndani sababu kadhaa DC inakuita anakuhoji akiona umemzidi kwa hoja basi anaagiza uwekwe ndani..😂😂😂 Ilikuwa wafanyabishara, wanasiasa, viongozi wa dini...
  17. L

    UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

    UTEUZI: SIXTUS MAPUNDA ATEULIWA UKUU WA WILAYA SUMBAWANGA === TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Sixtus Mapunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga. Bw. Mapunda anachukua nafasi ya Bi. Jane Nyamsenda ambaye uteuzi wake...
  18. INAUZWA Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi

    Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.mawasilano +255 769 088 152
  19. Mkuu wa Wilaya ya Rungwe awakabidhi Maafisa Ugani pikipiki 61 kusaidia Sekta ya Kilimo

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amekabidhi jumla ya pikipiki 61 kwa Maafisa Ugani katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha na kuongeza tija katika sekta ya kilimo. Akikabidhi pikipiki hizo, leo Machi 7, 2023, Haniu amewagiza wataalamu hao wa kilimo kwenda...
  20. Mbunge Amina Mzee ameshiriki maadhimisho ya wiki ya Chipukizi Wilaya ya Micheweni

    MBUNGE MHE. AMINA MZEE AMESHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA CHIPUKIZI WILAYA YA MICHEWENI Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Amina Ali Mzee ameshiriki Maadhimisho ya wiki ya Chipukizi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba "Ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwanza kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…