wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kiongozi wa Wilaya ya Maswa anayedaiwa Kuhujumu Mafuta ya Magari ya Serikali Afichuliwa

    Madereva wa magari ya serikali katika halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamemlalamikia,Katibu Tawala wa wilaya(DAS)ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa madai ya kuamrishwa kuacha sehemu ya mafuta wanayopewa kwa matumizi ya magari yao, ili kiongozi huyo ayatumie kwa matumizi binafsi. Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nyumba ya kifahari inauzwa mbondole wilaya ya ilala dsm bei ya kutupa

    🏠NYUMBA INAUZWA MILIONI 33 📍ipo MBONDOLE DAR-ES-SALAAM🇹🇿 Ni njia ya Chanika ukitokea MBAGALA rangi 3 kujia CHAMAZI AZAM COMPLEX Pia unaweta kutokea Njia PANDA YA KIVULE AU KUPITIA MOMBASA YA GONGOLAMBOTO NJIA PANDA YA KIVULE ZOTE NI NJIA KUJIA MBONDOLE ✅ ✍🏻Ina Vyumba vitatu ✍🏻SEBULE ✍🏻JIKO...
  3. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) Ndugu Solomon O. Kimilike, Msalaba Mzito kwa Maendeleo ya Halmashauri yetu ya Ngara

    Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Njiapanda, Malampaka wilaya ya Maswa afungwa jela kwa kumbaka mwanafunzi wa miaka 11

    Mkazi wa kijiji cha Njiapanda, Malampaka kilichopo wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.Charles Mwiburi(50)amehukumia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa miaka 11. Hukumu hiyo imetolewa leo,Jumatano Aprili 16,2025 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya wilaya ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Kata CCM Nyalikungu wilaya ya Maswa aache tabia zake za kuwatukana viongozi wenzake wa kike.

    Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi wenzake wa Kata hasa wa jinsi ya kike. Aprili 14,2025 alifikishwa katika kituo cha polisi wilaya ya Maswa...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba Majina ya wilaya kongwe nchini

    Wakuu naombeni mniambie wilaya za zamani zaidi hapa nchini yaani zile kongwe ambazo labda wakoloni walizianzisha mara tu walipofika au labda sisi baada ya kupata uhuru tukazianzisha.
  7. JamiiForums Tanzania Hospitali Teule ya Mugana ya mkoani Kagera yaongoza kitaifa kwa usafi katika Hospitali za Wilaya

    Hospitali Teule ya Mugana iliyopo wilayani Misenyi mkoani Kagera imeibuka mshindi katika mashindano ya Afya na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2024 kwa upande wa hospitali za wilaya. Nafasi ya pili imeshikwa na Hospitali ya Mji wa Njombe (Kibena) huku ya tatu ikikamatwa na Hospitali ya Wilaya...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Standi ya Kisasa Katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya

    SERIKALI KUJENGA STANDI YA KISASA KATIKA HALMASHAURI YA WIRAYA YA RORYA Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imepanga kujenga standi ya Kisasa katika Halmashauri ya wilaya ya Rorya ili kusaidia upatikana wa huduma za usafiri na kuongeza mapato katika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho huduma zinazotolewa hospitali ya wilaya ya Maswa.

    Utoaji wa huduma duni za afya katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu unaweza kuwa na sababu nyingi, na si lazima lawama zote ziwe kwa mganga mkuu wa wilaya,Dk Hadija Zegega moja kwa moja, japokuwa yeye ni mmoja wa wasimamizi wakuu wa huduma za afya kwenye wilaya. Hospitali hiyo ina...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu: hizi pesa zinazotolewa na wakuu wa mikoa na wilaya kwenye mechi za mpira wa miguu ni kodi za wananchi au ni pesa zao kutoka mfukoni?

    Kwa mfano, leo nimemsikia Mkuu wa Mkoa wa Tabora akiahidi Tshs Milioni 60 kwa wachezaji wa Tabora kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga. Huu ni mfano mmoja tu miongoni mwa mingi ya namna hii. Swali langu ni Je, pesa hizi zinatokana na kodi za wananchi au ni pesa zao binafsi au kuna fungu/bajeti...
  11. JamiiForums Tanzania Shinyanga: mkuu Wa mkoa, mkuu Wa Wilaya na Viongozi Wa kata shinyanga mjini,Je mnataka kizazi Cha mabinti wote waingie kwenye biashara ya Ngono?!!

    Natangaza hali ya hatari Maana Viongozi Wa ngazi ya Mkoa, wilaya mpaka kata shinyanga mjini wamelala na wameamua kupuuzia suala la biashara ya Ngono inayoendelea shinyanga mjini mtaa wa JOMU. Pale kuna Dangulo Moja linalofahamika kama Maswa Guest lipo karibu kabisa na ofisi za Serikali ya mtaa...
  12. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (M) Kagera ifanyiwe Ukaguzi wa Ndani wa Dharura ili kudhibiti Upotevu wa Fedha za Umma Unaoonekana Kukithiri hivi sasa

    Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ni Miongoni mwa Halmashauri 8 zinazounda Mkoa wa Kagera ikiwa na Jumla ya Vitongoji 389, Vijiji 75, Mitaa 34, Kata 22 na Tarafa 4. Mapema mwaka huu Halmashauri hii iliwasilisha Rasimu ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti kwa Mwaka 2025/2026 huku wadau wengi wa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wazabuni Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wapaziwe sauti

    Hapa Halmshauri kwetu (Rungwe ) Mkoa wa Mbeya kuna baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wamekuwa wakitoa huduma ya Zabuni ya kulisha Shule za Sekondari za Serikali, Magereza na Chuo cha ufundi kwa muda mrefu, lakini kwa bahati mbaya PESA ZAO hawalipwi kwa wakati ama hawalipwi kabisa Wamekuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Sengerema asema changamoto ya usafiri Kivuko cha Kigongo-Busisi inatokana na Gugumaji jipya, Serikali yachukua hatua za haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania itengeneze world-class golf course pembezoni mwa beach za wilaya ya pangani na kuomba kujiunga na PGA tour

    Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Marry Sule, Afariki Dunia akipatiwa matibabu

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Marry Sule amefariki dunia jana usiku Machi 18, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Huruma. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku huohuo zikieleza kuwa Katibu huyo amefariki...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

    Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
  18. JamiiForums Tanzania Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  19. JamiiForums Tanzania Waganga wafawidhi kusimamia majukumu Yao Wilaya ya Meru

    Mkuu wa idara ya Afya,Lishe na Ustawi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Dkt. Evarist Chiweka ameongoza kikao kazi cha Waganga wafawidhi na waratibu wa Afya ngazi ya Halmashauri kujadili Taarifa ya utekelezaji Robo ya pili ya Mwaka 2024-2025. Aidha Dkt. Chiweka katika kikao hiko amewataka Waganga...
  20. JamiiForums Tanzania Pepo Mkali Yavunja Nyumba na Kujeruhi Watu katika Kijiji cha Lekurumuni, Wilaya ya Siha,Mkoa wa Kilimanjaro

    Jana, kijiji cha Lekurumuni kilikumbwa na upepo mkali ulioleta uharibifu mkubwa, ukiwaacha wananchi wakiwa katika hali ya hofu na wasiwasi. Upepo huo, ambao ulikumba wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, ulisababisha kuanguka kwa shule, makanisa, na nyumba za wananchi, huku watu kadhaa wakijeruhiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…