A wilayah (Arabic: ولاية, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.
Umofia kwenu
Nisiwachukulie muda, tazama na sikiliza hii video
Tulishawasanua awali kuwa matukio yote ya utekaji, utesaji, ufiraji na mauaji huratibiwa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya na Mikoa
Moja ya ushahidi ndo huo hapo juu
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
hela
kakonko
mpya
nyingi
pesa
pesa nyingi
sana
wilaya
MKOA WA MOROGORO, WILAYA YA KILOMBERO, TARAFA YA MANG'ULA: WANANCHI WAOMBEA MSAADA KUHUSU TATIZO LA TEMBO
Vijiji vingi vilivyopo katika Tarafa ya Mang'ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro, vinapakana na Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa. Kwa ushirikiano kati ya TANAPA, Serikali na...
Wakazi wa Cheka, Manispaa ya Kigamboni, tunatumia Daraja la Amani Gomvu ambalo limekuwa na changamoto kubwa kutokana na ubovu wake. Ukarabati wa daraja na barabara hiyo ulianza mwaka jana, kipindi ambacho uchaguzi ulikuwa ukikaribia, lakini hadi sasa kazi hiyo haijakamilika na mkandarasi...
Nimeona bora suala hili lifike kwenye mikono ya umma, kwani kuendelea kubaki kimya inamaanisha hali itakuwa ngumu na mazingira magumu ya kazi kwetu.
Watumishi wengi wa umma Moshi tunafanya kazi kwa kujituma lakini linapokuja suala la kupata stahiki zetu za kisheria kama posho, malipo ya muda wa...
Anonymous
Thread
halmashauri
mazingira
moshi
stahiki
upendeleo
watumishi
wengi
wilaya
Wananchi mazao yao yameharibiwa na mwekezaji na kuna mgogoro ila yeye anasema Ijumaa?? Kweli wananchi ndio mabosi wako unasema Ijumaa?
Who are you?
Maulidi Dotto?
Sipendi kuona mwananchi wa wakawaida wakionewa basi tuu
Halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora haijatulipa fedha za kujikimu walimu wa ajira mpya 2026 badala yake imewalipa watumishi wa afya pekee, hii sio haki kwa watumishi wengine Kwani wote tuna haki ya kulipwa fedha hizo, mkurugenzi amekaa kimya na hakuna majibu ya kueleweka kuhusu jambo hili.
Katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, watumishi wa Idara ya Elimu Sekondari tunahamishwa kwenda vituo vipya bila kupewa stahiki zetu, huku tukilazimishwa kuripoti katika maeneo mapya.
Wakati huohuo, watumishi wa Idara ya Elimu Msingi wanaonekana kupata malipo ya stahiki zao kwa wakati. Hali...
Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1.
Mimi ni mmoja wao, nimeamua kueleza changamoto tunazopitia kwa sababu hali iliyopo imekuwa ngumu kwetu watumishi na inaweza...
Anonymous
Thread
afya
kituo
kituo cha afya
kufanya
mwanza
ukaguzi
ukaguzi kituo cha afya
utendaji
viongozi
waje
wilaya
Zahanati ya Kijiji Cha Ndomondo, Kata ya Ndomoni, Wilaya ya Nachingwea tunateseka na huduma za afya kwa Watumiaji wa Bima (NHIF), Mganga Mkuu anawatoza ‘cash’ wagonjwa wenye Bima ili wapate huduma na ikitokea mgonjwa hana fedha basi anafukuzwa na kuambiwa aende kwenye kituo kingine kwa madai...
Anonymous
Thread
bima
hawataki
kijiji
nachingwea
nhif
wilaya
zahanati
Kumekuwa na malalamiko na changamoto mbalimbali zinazohusishwa na uongozi wa Ofisi ya Uthibiti wa Ubora wa Elimu Wilaya ya Bagamoyo. Baadhi ya wadau wa elimu, hususan kutoka Idara ya Elimu Sekondari, wameeleza kutoridhishwa na baadhi ya mwenendo unaodaiwa kuathiri ufanisi wa utendaji kazi...
Anonymous
Thread
bagamoyo
elimu
ofisi
ubora
wilayawilaya ya bagamoyo
wizara
wizara ya elimu
Malalamiko kuhusu utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba
Wananchi tunalalamikia hali ya utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba, kwa kuwepo kwa vitendo vinavyoashiria udanganyifu, hususan kwa akina mama wajawazito na watoto wenye umri wa...
Anonymous
Thread
dawa
halmashauri
hospital
hospitali
huduma
malalamiko
tandahimba
wilaya
Walimu wapya Wilaya ya Bukombe fedha za kujikimu tulitakiwa kulipwa kiasi cha takribani shilingi 950,000 lakini hadi sasa tumelipwa shilingi 280,000 tu. Hatujapewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kupunguzwa au kucheleweshwa kwa sehemu iliyobaki ya fedha hizo.
Kinachotushangaza zaidi ni kwamba...
Anonymous
Thread
bukombe
fedha
fedha za kujikimu
kati
kujikimu
walimu
wilaya
Habari,
Naomba kutumia nafasi hii kuwasilisha kero kuhusu adha wanayopitia wakazi wa Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama.
Kwa muda sasa, wakazi tumekuwa tukivamiwa na kusimamishwa mara kwa mara barabarani na baadhi ya walinzi wa eneo hili. Badala ya kubaki katika maeneo yao ya kazi na...
Anonymous (11a1)
Thread
kampuni
kero
kuhusu
mpwapwa
mwezi
pesa
walinzi
wilaya
Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita.
Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa rasmi kuhusu lini tutalipwa.
Tunaomba mamlaka husika zitolee ufafanuzi na kutatua changamoto hii...
Anonymous (7abb)
Thread
babati
babati vijijini
fedha
fedha za kujikimu
kujikimu
mpwapwa
mwezi
pesa
vijijini
wilaya
Baada ya hoja iliyotolewa na Mwanakijiji cha Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza kuwa kuna dampo kwenye makazi ya watu ambapo pia wanachoma taka na kuleta moshi unaosababisha Wananchi wavute hewa chafu usiku kucha, hatimaye hatua zimechukuliwa.
Mdau alidai Wananchi...
Mkuu huyo wa wilaya huko Shinyanga ameonekana kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbilu usiku huu akiwa ameambatana na polisi. Julius Ntatiro mkuu wa wilaya ameonekana akiwa nyumbani hapo na kumpigia simu baba wa nyumba ambaye hakuwepo kwa lengo la kumuuliza kwanini anataka kumuoza binti yake...
Kuna changamoto kadhaa zinazoendelea katika hospitali hii ambazo zinahitaji kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua:
1. Ucheleweshaji wa malipo ya wafanyakazi
Wafanyakazi hawajalipwa malipo ya muda wa ziada (overtime) tangu mwezi Novemba hadi sasa. Wanapouliza uongozi, wamekuwa wakielezwa kuwa...