Nchi zilizotajwa ni pamoja na Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Liberia, Niger, Sierra Leone na Uganda ambazo zitaungana na Ghana, Kenya na Malawi zilizoanza kupokea Chanjo hiyo.
Taarifa ya Shirika la Afya Duniani imesema jumla ya Chanjo Milioni 18...