What If, sometimes stylized as What If...?, is a comic book anthology series published by Marvel Comics whose stories explore how the Marvel Universe might have unfolded if key moments in its history had not occurred as they did in mainstream continuity. Since What If debuted in 1977, the comics have been published in 13 series as well as occasional stand-alone issues.
On August 11, 2021, an animated series based on the What If comics and produced by Marvel Studios premiered on the streaming service Disney+.
Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano.
Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali.
CHADEMA wataingia huu mtego?
Kwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio la sep 11 na 70% walisema tukio lilifanyika na serikali yenyewe, kwa lugha nyepesi (INSIDE JOB) kwa...
In short Watatuzi wamegeuka kuwa Matatizo sio Waliopo au Wanaokuja...; Ni kama Mapaka yote yameungana..., ya Mtaani na Nyumbani kufuja mali ya Tajiri na yanafuja kweliweli kuliko hata wale panya walivyokuwa kabla hatujachukua uamuzi wa kuleta hawa Paka....
Ushauri wa Paka, It does not matter...
Wanasema an empty mind is a devil workshop.. hili naliona hapa.. najaribu kuawaza vitu vya hovyo tu hapa.. sasa kuna huyu mdau Zozo bingi... Ananitafakarisha sana.. na anavyoaminika sasa....😂😂😎. Wadau mjue Tanzania ni kubwa sana. Halafu wa tz sisi hatunaga baya....
Let me mind my own...
I have this intuition kwamba Mossad ndio wana lipua mabomu Israel na kuisingizia Iran, huku lengo likiwa ni kupata justification ya kuingia kwenye full scale war with Iran.
My intuition is rooted from my personal understanding of Mossad's ' mode operandi".
Ukisoma vitabu vilivyo andikwa na...
You find an idiot complaining about how its life is broken by the society/government/religion/lack of connection etc while they themself can not even do the least like breathing well for oneself! Anyway I am not here to preach to idiots.
I am no preacher; I am a researcher. But I know the code...
1. Reacher (2022–Till date)
2. Percy Jackson and the Olympians (2023–Till date)
3. What If...? (2021–Till date)
4. Game of Thrones (2011–2019)
5. Monarch: Legacy of Monsters
(2023–Till date)
6. Berlin (2023–Till date)
7. Obliterated (2023)
8. Jujutsu Kaisen (2020–Till date)
9. The Boys...
Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi!
Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na kila kitu Ila Uvulana bado unawatawala sana
Mtu ambaye umeshakuwa unakuwa na Dalili zifuatazo
1...
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hivi vipi mwisho wa siku ikija kujulikana kuna siri ilifichwa
●Yaani shetani tunayemkataa na kumtuhumu kwa kila baya ndio mungu mwenyewe
●Na mungu tunayemuomba ndio shetani
Ila wajanja wa hii dunia walibadili story ili mmoja apewe promotion
N:B sina nia...
Hili sakata la usajili lilivyokosewa kiuzembe kwenye namba 6 na 9 ukilichunguza kwa makini ni uzembe mkubwa sana wa bodi yote ya simba plus Mohamed dewji
Sasa kinachotokea ni nini? PROPAGANDA MFU:
*Vipers wanataka millions 400 mkataba wa miezi miwili
*Mchezaji mwenyewe anatuchanganya tu...
Habari wana g.t.
Siku ya leo nimeona ni muhimu ku-share na great thinkers hiki kitandawili ambacho nimejiuliza kwa miaka mingi bila kupata hitimisho.
Kitandawili hicho ni"what if life is a dream and death Wakes Us all up" hili mjadala uwe mpana zaidi ni bora tukatumia lugha zote hasa hasa...
Kama wewe ni mpenzi wa animation basi hii series ya Marvel ya What If si yakukosa episode ya kwanza mambo yanabadilika Kwenye mashine ya kutengenezea superpower badala aingie steve anaingia agent cartel Kutokana na steve kupigwa Risasi sasa huyu binti ambaye ni partner anakiwasha humu balaa Embu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.