Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,646
35,981
Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu, Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali.

Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.

Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu.

Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
 
Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu. Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali. Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.
Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma.
Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu. Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Hongera sana kwa uaminifu wako....
 
Hauna cha kujutia bro moyo mzuri uko nao na mshukuru Mungu na wazaz wako, pambana pesa ya halali iko na baraka
 
Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu. Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali. Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.
Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma.
Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu. Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Hongera sana hiyo itakuja kukulipa kabla hujafa
 
Ameshapoteza hiyo sifa ya kuwa "Good People" maana hakupaswa kamwe kujutia tendo la kishujaa kwa imani yake.

Kilichomuongoza siku hiyo na kumfanya asikubali rushwa kupindisha sheria kama kweli kilitoka rohoni kilipaswa kudumu rohoni muda wote na kujivunia.
Shukrani za punda ni mateke....

Kuna kitu kimempa msukumo wa kujutia UZALENDO wake....
 
Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu. Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali. Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.

Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu. Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Hongera sana. Ulifanya vyema. Ishu ingebumburuka ungekuwa jela sasa hivi na 10m isingesaidia.
 
Why ilitakiwa hizo cctv zizimwe?ilitakiwa hizo camera zinazoface eneo la tukio zipindishwe kutoka eneo husika, ndivyo walivyofanya wenzako na sasa wanaishi maisha wewe unalalama,u snooze it .....,maisha bila to take risks ni vilio
Usijaribu hii kitu ndugu yangu, Camera zilizogungwa kiustadi kila kamera ina mlinzi wake so tangu unaisogelea ile ya awali kuipindisha tayari utakua umenaswa. Kuwa mwaminifu daima
 
Back
Top Bottom