Wewe ni mshindi amka na Tumaini jipya
Umaskini unaweza kukunyima vingi, lakini usikubali kujishushia thamani yako kwa sababu ya umaskini. Usione umechakaa, thamani yako iko palepale.
Fanya kuiboost. Uchakavu wa noti hauondoi thamani yake. Kumbuka maskini ni tajiri asiyekuwa na pesa na utajiri...