Chumvi haihitaji kufanana na viungo vingine, wala haitoi harufu kama viungo vingine, lakini bila hiyo, supu haina ladha.
Watu wenye kujitambua hawawezi kupigania nafasi, umaarufu, au mwonekano.
Matokeo yao huongea kwao, si propaganda zao.
Huhitaji kupaza sauti ili usikike, watu hukaa kimya...