weusi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, je waafrika weusi hatunyanyaswi nchi za bara la Asia?

    Nimeshuhudia sehemu maandamano makubwa sana kipindi hiki cha hivi karibuni baada ya mtu mweusi kuuwawa na polisi weupe huko Marekani, bwana Floyd. Baada ya hicho kifo watu wameandamana nchi nyingi za bara la Amerika na Ulaya. Nimeona tshirts, posters na matangazo kibao ya black lives matter...
  2. JamiiForums Tanzania Wamarekani weusi wa Zanzibar

  3. T

    JamiiForums Tanzania Texas Marekani wazungu wawapigia magoti weusi na kuwaomba radhi ya ubaguzi waliowafanyia miaka mingi

    Hulo Texas Marekani wazungu wafanya maombi ya toba na msamaha kwa Mungu na watu weusi wasamehewe kwa ubaguzi wa rangi, chuki na unyanyasaji waliowafanyia kwa miaka mingi.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Vijana wa familia maskini tuungane kupambana na hawa wakoloni weusi wa CCM

    Wakuu. Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu napenda kuwakumbusha vijana wa nchi hii, hasa wale wanaotoka familia masikini mijini na vijijini kuwa imewapasa kuelewa kuwa nchi hii inapelekeshwa na hawa wakoloni weusi wa CCM kwa sababu wao wana advantage moja ya kuwa na urahisi wa kuitafuna keki ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

    Kipindi hiki ambacho niko kwenye zuio la kutoka nje liliowekwa na mamlaka ya jiji nililomo nimeamua kuwa nashare hapa baadhi ya mambo ya nchi nilizowahi kukaa ili ziwe na manufaa kwa wenye malengo ya kutafuta maisha nje ya Africa mashariki. Juzi nilileta andiko linahusu nchi ya Uswisi baadhi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wamarekani weusi waathirika zaidi na virusi vya Covid19 tofauti na wenye rangi nyeupe

    Raia weusi wa mji wa Chicago ni nusu ya visa vyote vya ugonjwa wa virusi vya corona katika mji huo Takwimu kutoka maafisa wa afya mjini Chicago zimeonesha athari kubwa ya virusi vya corona katika Wamarekani weusi. Raia weusi wa mji wa Chicago ni nusu ya visa vyote vya ugonjwa wa virusi vya...
  7. JamiiForums Tanzania 89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

    Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wachina waonja shubiri ya ubaguzi wao dhidi ya watu weusi

    Mwandishi wa hii makala anaitwa Clare C, ni mtu aliyesoma China, anaelezea alivyokuwa akibaguliwa na wachina kwa mfano alikuwa akikaa kwenye seat kwenye chombo cha usafiri wachina wananyanyuka, wanadai eti waafrika tuna HIV na Ebola. Alikuwa akipita njiani wanamchukua video, wanamkodolea macho...
  9. JamiiForums Tanzania Waafrika weusi wana vinasaba maalum vya usugu dhidi ya Corona?

    Nimejaribu kufuatilia pattern ya kusambaa kwa huu ugonjwa wa Corona, nimebaini japo huwa unapenda sehemu za baridi, lakini pia umekuwa ukiwapitia mbali watu weusi wenye asili ya Afrika Hata huko China Waafrika weusi wapo, lakini naona kama wanaogelea bwawani bila kulowa, ugonjwa unawakwepa...
  10. JamiiForums Tanzania TAFITI: Wanawake weusi wana uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya matiti kutokana na kutumia madawa ya nywele

    Wanasayansi wamegundua mahusiano ya kutatanisha kati ya saratani ya matiti na madawa ya nywele na kemikali ambazo hujulikana kama relaxers. Utafiti mpya unaonesha kuwa wanawake ambao walitumia bidhaa hizi walikuwa na uwezekano wa kupata saratani ya matiti kuliko wanawake wengine ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…