weusi

  1. M

    Kwa mjibu wetu sisi Wa Iran weusi wa Tandale, Netanyahu tulishamdedisha, huyu anayeomba uungwaji mkono na mataifa anatokea wapi?

    Hii habari ya Kuuwawa kwa Netanyahu, tufute tuanze upya kumsaka Mbona tulishamdedisha? Huyu anayekaa na kuwa na press mbalimbali kujidai atawauwa viongozi wetu wenye Iran yao, anatoka wapi? Nahitaji kufahamishwa, Au tulipigwa na kitu kizito shabaha yetu ililenga mdoli wa Netanyahu na...
  2. Yoda

    Kwanini watu weusi ndio wanaoongoza kubaguliwa zaidi duniani?

    Kwa nini ukienda popote duniani penye ubaguzi wa rangi utakuta wanaoongoza kubaguliwa zaidi ni watu weusi? Iwe blacks huko America au Ulaya, Wahindi weusi India au Waarabu weusi uarabuni Hali ya ubaguzi bado ni hiyo hiyo tu. Yani hata hapa Africa baada ya kupata uhuru kuna namna Wazungu...
  3. S

    Kwanini bara la Afrika hasa kwenye tawala za watu weusi lisigawanye kwenye makoloni ili litawaliwe upya katika phase mpya ya Tatu?

    Kuna kila hali na kila namna bara la afrika kuanzia afrika magharibi,ukanda wa afrika mashariki,hadi ukingo wa afrika mashariki,tukiitoa ethiopia,afrika ya kati,na ukanda wa nchi zilizo kusini mwa afrika,mataifa yote haya yanapaswa kupokonywa sovereignty zao,watawala wa mataifa haya 1: wanatumia...
  4. Chizi Maarifa

    Kwa ubaguzi huu bila Senegal kufanya hivi sisi Wafrika, Sisi Weusi tungepata shida sana. Wametuheshimisha.

    Hawa Morocco huwa wao wapo Kimakosa Afrika. Wanadharau sana na kutuona sisi ndugu zao si wa maana. Jana waliumia sana. Senegal kwa kweli Mungu wetu amewasimamia vyema kabisa. Ile dharau ambayo tungeipata sisi? Mungu tu ndo anajua. Najua sisi Waarabu wa Mchambawimba, Makunduuchi hatujapendezwa...
  5. ELI COHEN

    Mnasemaga tunashobokea wazungu ila ndio wa kwanza kuwapokea katika tabu, jana mmejionea kiasi tu ya mambo waarabu/barberic wanayoweza kuwafanyia

    Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi. Wanaijeria baada ya kuwashinda walgeria, mashabiki wa algeria walianza kuwaambia kuwa watawahasi na kuchukua...
  6. Traxtion

    Watu weusi hatutaacha kudharaulika kamwe

    Hebu fikiria, mtu mweusi akienda Ulaya anabaguliwa, akienda Marekani anabaguliwa, akienda Japan, China, South Korea, India, Australia kila kona anadharauliwa, why? Lakini wao wakija huku tunawaheshimu sana. Ukweli ni kwamba sisi watu weusi hatutakuja kuheshimika kwa kulia lia tu eti watu weupe...
  7. ELI COHEN

    Kuna mwamba aliwahi kuandika uzi humu kuwa alipewa utajiri na majini kutoka uajemi na akasema wahindi wanakitabu cha namna ya kuwatumikisha watu weusi

    Jamaa mjanja sana baada ya huo uzi hajawaahi tena kuonekana na hicho kitabu hakuwahi kukisema, 😂😂 Jf is a mystery sometimes
  8. ELI COHEN

    Ukitaka kuwachanganya watu weusi na waarabu, unganisha kitu chochote na Mungu uone, direction yote inabadilika.

    Wenzenu wanaikimbizia mars, Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta. Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami, Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu. Wenzenu wanajaribu ku-share intelligence na aliens kurahisisha maisha, Nyie bado mnalalimikia ugumu wa maisha ni kutokana na...
  9. ELI COHEN

    Moja ya kitu kinachofichwa katika historia ya sisi watu weusi ni kuwa tulikuwa washirika wakubwa wa kuwauza ndugu zetu utumwani

    Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari hii ya bluu.
  10. G

    Nchi ikishakombolea mkononi mwa wakoloni weusi Kuna Madaktari na Maprofesa wanapaswa kuvuliwa hizo tittle zao akiwemo Kitila Ili kusaidia watoto wetu

    Maprofesa na madaktari ni watu wenye Elimu kubwa baada ya kufanya tafiti mbalimbali. Pili ni watu ambao wanasimamia kile wanachoamini maana wamekifanyia utafiti Tatu ni watu wanaolenga kusaidia jamii Kwa kile wanachoamini na kuifanyia utafiti Maprofesa na madaktari wasiosimamia kile...
  11. Idugunde

    Je, wamegeuka kuwa makaburu weusi badala ya kutumikia Wakulima na wafanyakazi?

    Kaburu Petet Botha na wenzake walikuwa hawataku upinzani wa kila namna. Kila mpinzani aliyekuwa akipinga ukatiri wao alipotezwa kuuwawa au kutiwa kizuizini. Miaka hiyo kituo kikuu cha polisi maarufu John Vorster Square kilitumika kutesa, kuua na hata kuficha watu Hapa Tanzania haya mambo saza...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Hawa kanga weupe, kijivu nk walitoka wapi?

    Nahitaji kujua katika kutembea tembea mapori makubwa yote Hadi nimefika umri huu sijawahi kuona kanga mweupe porini kijivu au kahawia. Mara zote Huwa naona Hawa kanga weusi wenye madoa meupe Hawa kanga wengine wenye rangi tofauti na hiyo walitokea wapi? Mfano sungura Mimi katika maisha yangu...
  13. TheGreatest Of AllTime

    Hivi kweli hakuna trace yoyote kihistoria au katika vitabu vya dini kuonesha sisi watu weusi labda tuna laana fulani maana tunapigika vilivyo

    Hii tabu, mateso, jasho na damu kwa sisi watu weusi sio vya kawaida , nawaambia wakuu sio kawaida. Kila kitu cha hadhi ya duni lazima namba moja iwe afrika, upumbavu, ujinga, kuoneana, magonjwa
  14. Poker

    Tuzungumze Asili ya watu weusi duniani kote

    Kwa mujibu wa sayansi watu wote Duniani wametokana na nyani au sokwe mtu (chimpamzee) hivo maisha au uhai ulianzia afrika kisha kusambaa duniani kote. Ila mazingira ndiyo yalifanya kukawa na wazungu au watu weupe. 1- imekuaje IQ za watu weusi zikawa chini kulinganisha na watu weupe? 2- ni...
  15. ELI COHEN

    Je, Botha alikuwa sahihi kuhusu sisi watu weusi au basi tu alikuwa anacheza "MIND GAMES"?

    Botha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi. Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech" ALISEMA: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki...
  16. Sales man

    Watu wengi ambao wanawapinga mafasadi ni kwamba hawajapata hiyo nafasi ya kufisadi ila sisi waafrica (Watu weusi) kiasili ni wapigaji na wezi .

    Sisi watu weusi, kiasili ni wezi ni vile mtu hajapata nafasi . Kupitia Asili yetu ya tamaa za Mali ,fedha na ngono . Basi wenzetu weupe wamekuwa waki -take Advantage hiyo kutulewesha , kutupa rushwa n.k Wahindi , waarabu na wazungu , wanaujua udhaifu wa mtu mweusi kuwa anaongozwa na tamaa ya...
  17. Lord Denning

    GE2025 Ubora wa hotuba ya Gwajima ya jana ni tofauti yetu Watu weusi na Wazungu katika kuwatumia vizuri watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili. Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
  18. Z

    GE2025 CCM Mbelee kwa mbeleee, kamwe msiwasikilizi wanafiki na wazandiki wenye wivu na chuki ambao vinywa vyao vina sumu mithili ya nyoka weusi.

    Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM. Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
  19. P

    Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

    Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi? Leo watu wamefurahi sana kuchangia na kuchangiwa. Mabilioni ya pesa yamechangishwa kukiunga mkono chama. ILA SISHANGAI Watu ambao kila kukicha wanaomba misaada kwa ajili ya...
Back
Top Bottom