wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uko sahihi Lusinde makosa mengine ni yetu Wenyewe halafu tunamtupia Lawama Rais Samia na CCM yake, tubadilike tafadhali bado hatujachelewa

    Kuna jamaa namfahamu ni Mlinzi na anapokea Mshahara wa Shilingi Laki Moja na Elfu Themanini za Kitanzania ila ana Watoto Sita na Mahawara Watatu halafu Kutwa tu ukikutana nae Kijiweni ndiyo Mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Rais Samia na Kukilaani Chama Cha Mapinduzi (CCM) utadhani Samia na CCM...
  2. JamiiForums Tanzania Naiona CCM imerudi kwa wenyewe chama, yale malaplap yaliohamia yakihisi yataendelea na vyeo ni kilio

    Hahaaa wajumberee sio watu wazuriii kabisaaa Nimechekaaaa sanasanaaa Hahahaaa KAZI iendeleee Wale mabwana waliohama vyama vyao wakakimbilia ccm wakahisi na dis tym watapata vyeoooo Naonaaaa Ki Chi Njioooooooooo Kimewakataaa bilaaa hurumaaa POLENI sanaaa tuungane kuinarishaaa chama...
  3. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC Wanajikaanga Wenyewe Kama Mkia wa Kondoo kwenye sufuria la moto

    Katika hali ya kushangaza lakini ya kweli, mashabiki wa Simba SC wamekuwa kama mkia wa kondoo wanajikaanga wenyewe bila hata ya kuhitaji moto wa nje. Timu yao imekuwa ikipitia misimu ya maumivu: kushindwa kwa mipango ya usajili, kukosekana kwa mwelekeo wa kiufundi, na viongozi wanaozunguka...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa nyama ya kuku inabidi tuanze kufuga wenyewe

    Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
  5. JamiiForums Tanzania China yaandika historia kwa mchuwano wa kwanza wa soka wa Roboti wanaojiendesha wenyewe

    Kwa mara ya kwanza, China imeandaa mechi ya soka inayochezwa na roboti wa umbo la binadamu (humanoid robots) wanaojiendesha kikamilifu kwa kutumia akili bandia (AI), bila msaada wa binadamu wakati wa mchezo. Kwa mujibu wa shirika la habari la Associated Press (AP), mechi hiyo ilifanyika...
  6. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tunavyojimaliza wenyewe ndani kwa ndani!

    Nimefanya utafiti kwa mikoa sita haraka haraka kwa kusafiri mwenyewe na mikoa mingine 15 kwa kufanya mawasiliano ya simu. Jumla nimejitahidi kuwafikia na kuwasiliana na wadau takribani katika wilaya 57 ya mikoa hiyo na kugundua jambo moja baya sana kwa CCM. Uwezekano mkubwa asilimia zaidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa hili ni bora Wanawake wenyewe mjadiliane kisha mtupe majibu ya Kueleweka sisi Wanaume ni kwanini kwa sasa huwa mnatufanyia sana Faraghani?

    Na kibaya zaidi sasa 75% ya Wanawake wanaopenda hii Dhambi huwezi amini ni Wasomi wazuri tu na Walokole hasa wale ambao Wanaabudu kwa Matapeli Wawili maarufu wa Kawe na Kimara Temboni. Sasa kazi yangu ni kusoma tu Comments zenu. Kudadadeki....!!!!!!!
  8. JamiiForums Tanzania Gen-Z wa Kenya wanataka kujinasua wa kwetu wenyewe ni Chawa wa Mama!

    Wakati vijana wa Kenya wakipambana kujinasua na makucha ta wanasiasa vijana wa kwetu wakiongozwa na Lucas Mwashambwa wao wamegeuka kuwa chawa wa mama! Hii ni aibu kwa vijana wetu! Unafika mahali unajiuliza ni wapi tulipokosea?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Hujapitia msoto wa kweli kama hujawahi kuishi nyumba ambayo unajua hawakutaki nyumbani kwao ila tu hauna namna nyingine

    Kama umeishi kwenu au ulikuwa na kwenu penye familia yenu hadi ukaondoka kwenda kuanza maisha yako shukuru sana, watu wengi sana huwa mnachukulia poa kuwa na kwenu lakini ni utajiri mkubwa sana. kuishi nje ya kwenu "YATAKA MOYO" ni bahati kwenda sehemu isiyo kwenu na ukaishi vizuri. Unakaa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri Tanzania ingilieni hili, Wahariri wanadharirisha Waandishi wa Habari, watia nia wanawapuuza

    Huu ni udharirishaji mkubwa, watu ambao wanasababisha Waandishi wa Habari waishi maisha magumu ni baadhi ya Wahariri. Leo CCM wamefungua dirisha la kuchukua fomu kwa Wagombea wao, Ubunge, Udiwani na Rais. Cha ajabu Waandishi wa Habari tumeshinda kwenye Ofisi za CCM Wilaya na mikoa kwa ajili ya...
  11. JamiiForums Tanzania Utopolo msijisifu saana, wenyewe Simba tunaojua mambo ya ndani tunajua haikutaka kushinda derby ya jana

    Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji. Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba...
  12. JamiiForums Tanzania Niliwaambia acheni hizo tabia za kumsifu binadamu kama Mungu sasa mmejionea wenyewe !

    Kiko wapi. Hakuna kwenda nje Hakuna favor Utalii umeshuka Sana Mialiko imekuwa adimu sana Na mwisho unaelekea kukabidhi kijiti Kama utani .
  13. JamiiForums Tanzania Hawa na wenyewe wanasema wanataka ubunge ni zaidi ya vichekesho!

    Msukuma Babu Tale Harmonize Baba Levo Kishimba Steve Nyerere. Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchakato wa kura za maoni za CCM ndiyo uchaguzi wenyewe

    SIjui mchakato huu inafanyika lini ila sisi kama WATANGANYIKA inatubidi tuufatilie kwa makini sana Hakutakuwa na uchaguzi baada ya mchakato huu Bali kutafanyika viini macho vitakavyosimamiwa na tume kwa maelekezo maalumu ya serikali wateule wote wa CCM watateuliwa kuwa wabunge rasmi...
  15. JamiiForums Tanzania Kila unachokijua sasa ni uongo,ulidanganywa... Ukweli wenyewe ulifichwa na sasa upo kwenye njozi nzito za usiku wa manane

    MIAKA 500 ZA UDANGANYIFU Miongo Mitano ya Udanganyifu: Mabadiliko ya Ramani na Biblia Kama Silaha ya Wokovu Katika historia ya wanadamu, kuna matukio mengi ambayo yameathiri kwa kiasi kikubwa jinsi tunavyojua dunia na sisi wenyewe. Moja ya matukio hayo ni mabadiliko ya ramani na majina ya...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini uhuru na haki ya kikatiba ya kuandamana kenya inawaangamiza gen z wenyewe?

    Ni kwasababu hawajui wanachotaka, hawamjui aduai yao au hawaelewi namna bora ya kudai mabadiliko wanayohitaji na badala yake wanajikita kwenye uharibifu wa samani za umma ambazo baadae zitakarabatiwa kwa kodi zao wenyewe? Wasipojitahimini kwa kina na kutumia hekima na busara kuwasilisha na...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 SINGIDA: Ujio wa COVID-19 waigawa CCM vipande vipande. Baadhi ya makada wasema wasubiri 2030, hii 2025 ni ya wenyewe. Ona hii Video

    Mimi sitii neno lolote https://youtu.be/O7SGS4mwTvg?si=hRC-aL9ZSLlf_sub
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran na Ukraine haziachwi zijiamulie mambo yao wenyewe kwa maslahi yao kama mataifa huru?

    Kwa nini Ukraine na Iran haziachawi zijiamulia mambo yake wenyewe kama kumiliki silaha za nyuklia na kujiunga na jumuiya zinazoona zina maslahi kwao kama mataifa huru?
  19. JamiiForums Tanzania Siku hizi tumeamua kukinunua kifo kwa gharama zetu wenyewe

    Katika jamii zetu kumekuwa na visa vya mara kwa mara vya ajali za moto na watu kupoteza maisha hatuwezi kupingana na husemi husemao kuwa hakuna ajuaye siku ya kifo chake yawezekana ikawa ni baadae kidogo au ata kesho Lakini je hivi vifo vingine vinavyotokea katika jamii haviwezi kudhibitiwa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msigwa: Uchaguzi wa Tanzania utafadhiliwa kwa fedha zetu wenyewe

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 utafadhiliwa kwa fedha za ndani, amesema hayo leo Juni 11, 2025.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…