wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Muuaji wa Charlie Kirk Marekani agundulika ni kutoka miongoni mwao wenyewe wahafidhina(Conservatives/right wingers)

    Katika hali isiyotarajiwa baada ya Rais wao Trump, MAGA wakina Elon Musk na Conservatives wengi wa Marekani waropokaji kusambaza uzushi kwamba muuaji ni Democrat/leftist hatimaye aliyepatikana imegundulika ni kijana kutoka miongoni mwao mpenda bunduki!
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tunataka maendeleo yaletwe na watu wenyewe

    "Maendeleo tunayoyataka ni maendeleo ya watu, yaletwe na watu wenyewe, yaendelezwe na watu wenyewe, yawafuate watu kule walipo. Hii ndiyo maana halisi ya uchumi jumuishi." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Tabora Mjini
  3. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe ungeacha watu wamuone wenyewe Doumbia, Atakamiwa na kuumizwa.

    Kumsifu sana mchezaji hakuongezi wala kupunguza uwezo wake bali kuhamasisha wachezaji wenzake wamkamie. Ilikuwa hivyo kwa Makudubela sasa umeanza kwa Doumbia. Usiwaletee shida wachezaji, tutafute namna mpya ya kuvutia watu kuja viwanjani badala ya hii ya kizembe kwa wachezaji. Kama Doumbia...
  4. JamiiForums Tanzania Miaka 10 ijayo, Wapakistani watakuwa wengi nchini Denmark kushinda Wadenmark wenyewe

    Hiyo yote inasababishwa na Wapakistani kuzaa watoto wengi zaidi kushinda Wadenmark wazawa. Wakati Wadenmark wanazaa mtoto 1 au 2, Wapakistani wao wanafyatua kuanzia 5 na kuendelea. "We have 5 children while you have 1 or 2. In 10 years, there will be more Pakistanis than Danes here. There...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi wakuu huu ukata ni mimi nausikilizia pekee yangu au hata nyie mnameza mate yenu wenyewe?

    Yani hata sina cha kuandika wakuu. Najuta kuzaliwa kuja kusaidiana na mateso. ☹️ Aiseee
  6. JamiiForums Tanzania Tunangoja nani aje kutuokoa kama sisi wenyewe tumeamua kukaa kimya na kuishi na Majizi na Mafisadi?

    Je, Watanzania tumeridhia kudhalilishwa kila miaka mitano kwa kuwekewa viongozi bila kuchagua? Vyombo vya habari vipo, lakini kwa nini havina meno ya kuuliza maswali ya msingi kuhusu uhalali wa uchaguzi na wizi wa kura? Ni hofu au ni kununuliwa? Kama Raisi mwenyewe alikiri kura zinaibiwa na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania ACT wameyataka wenyewe. No reform no Election

    Tulishasema kwenda kwenye uchaguzi bila reform ni ujinga sasa CCM A inazuia hata CCM B🤦🏾‍♂️
  8. JamiiForums Tanzania Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe

    Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe. Jamaa ameharibu sana. Sasa tusikurupuke tu tunazidi kujidhalilisha. Tunaonekana vilaza. Simu zinapigwa kuwaomba watu wa IT wajaribu kutupa maelekezo ya kulifukia hili. Ninyi vilaza...
  9. JamiiForums Tanzania Kama wapalestina wenyewe wanasema hivi wewe Mwarabu-koko unapata wapi ujasiri wa kutetea Magaidi wauaji?

    Mpwa wa gaidi wa Kipalestina azungumza na kumaliza mabishano ya Wapalestina.
  10. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah waitishia Lebanon kwa Vita vya wenyewe kwa wenyewe!!!

    Kiongozi wa Magaidi wa Hezbollah Sheikh Naim Qassem aliitishia serikali ya Lebanon kwamba kundi hilo litahifadhi silaha zake na kutishia kama serikali inataka kuwanyang’anya silaha zao basi wataanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe “Karbala" na kuifanya serikali kuwajibika kwa migogoro yoyote ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kesi uhaini wa Tundu Lissu: Mashahidi wa siri/kificho waanza kujishitukia wenyewe na kujitetea hata kabla. Mmoja ni huyu hapa👇🏻

    "......Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni uongo….ana agenda yake aliyoitafuta kwa muda mrefu. Amekuwa akinishambulia tangu 2015 lakini nimekuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi wa kimila asema Wamasai wote ni CCM, Wamasai wenyewe wampinga vikali, mmoja asema 'Mimi ni Tundu Lissu damudamu'

    Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Uteuzi wa Wagombea CCM ndio Uchaguzi Mkuu wenyewe!

    Kama ulikua hujui kwenye uchaguzi wa Wagombea CCM ndio Uchaguzi wenyewe sasa. Mengine NI kukamilisha ratiba. Asanteni. Lucas Mwashambwa
  15. JamiiForums Tanzania Hamas wakionesha Utaalamu wa hali ya juu katika nyanja hizi. Gaza wanateswa na wao wenyewe.

    Hamas wanaiba chakula na kwenda uza na kingine kutumia kwa majidai makubwa kabisa bila kujali wenzao.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hongereni CHADEMA kwa kujimaliza wenyewe. Sasa mmefutika rasmi

    Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu. Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji. Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you Nchi za maharibu...
  17. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanzania 2025: Upinzani Tanzania unajimaliza wenyewe?

    Katika taifa linalohitaji mabadiliko yoyote, vyama vya siasa vikiwepo vya upinzani huwa na nafasi ya kipekee. Nchini Tanzania vyama vya upinzani ambavyo vilitarajiwa kuwa chachu ya mageuzi sasa vinaonekana kugawanyika kuliko wakati wowote ule. Badala ya mijadala ya sera na hoja mbadala dhidi ya...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kudhurumiana wenyewe hawataki lakini kudhurumu wengine ni furaha

    Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu !!! Ccm kuwatapeli vyama vingine huwa wanaona raha lkn Samia kawatapeli sasa wanahaha mpaka wanatamani kutoana roho. Haya machungu ya kina Polepole wanadhani wapinzani huwa wanatania!!? Kila mara kuiba kura ,kuwaua na kuwazuia kufanya siasa na wakiongea...
  19. JamiiForums Tanzania Simba haijali mashabiki zake na inawatapeli,Simba day ijayo wanastahili waende wenyewe uwanjani

    Simba haijali mashabiki zake na inawatapeli na kuwaingizia hasara,wakati mwingine kelele anazofanya Ahmed Ally ni kama unafki tu. * Simba ilileta mchango kwa ajili ya uzio wa uwanja wa Bunju,mashabiki wamechanga baadaye Magungu anasema imeenda kwenye matumizi mengine,na hakuweka bayana ni...
  20. JamiiForums Tanzania Fun fact: Ubishi wa wafanyakazi wa Huawei kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe Libya

    Wakati vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini Libya inaanza, kampuni ya mitambo ya simu ya Huawei haikutaka kuachia biashara hata kidogo. Walichofanya ni wafanyakazi wa Huawei nchini Libya kujigawa makundi mawili. Moja likihakikisha upande huu wa vita mawasiliano yanaendelea na lingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…