wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nywele za bandia kwa wababa wenye vipara

    Tayari mchina kishafanya yake. Wale wababa na wakaka wenye vipara wasiopenda vipara vyao, sasa mmeletewa nywele za bandia. Kazi kwenu.
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Zanzibar kuna wachezaji wengi wenye vipaji

    Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji. Mechi za KMKM na Mlandege zina vijana wadogo lakini wako aggressive Sana. Kiukweli Zanzibar kungekuwa na udhamini kama Bara, timu zao zingekuwa mbali sana. Akina Yanga na Simba huko Bara ni...
  3. JamiiForums Tanzania Tuendelee kuwajengea nyumba viongozi kisiasa wenye nyumba?

    Tanzania tuna utamaduni wa kuwatunza viongozi wetu wanaostaafu au kumaliza muda wao wa uongozi. Tunafanya hivyo kwa kuwajengea nyumba za kifahari na kuwapa mishahara za posho kadhaa wa kadhaa. Katika taifa ambalo linaishi kwa mikopo kama hili la Tanzania tuendelee kuwajengea nyumba viongozi...
  4. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kitanzania wenye thamani kubwa.

    Katika kwenye transfer website wafuatao ni wachezaji wa kitanzania Africa wenye bei kubwa.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kama Nchi ziliweza kutoa nguvu za Wafalme, iweje sisi wenye Rais

    Ndugai usikubali kufa kindezi (Misemo ya vijana), Wewe ni Kiongozi wa Muhimili wa Bunge na Kikatiba una nguvu za kusikiliza Hoja za kumtoa Rais au hata kuchana speech yake. CCM wachache wanataka nafasi ya Uspika ili na wao wale kama wewe ulivokula, lakini usikubali kuiacha kizembe. Sio Lazima...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Serikali imeruhusu wenye C mbili kusoma A level kama QT?

    .
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nape Tunaomba Kuwajua Wenye CCM

    Nape Nauye na January Makamba inasemekana ndio wajuzi wakubwa wa wale wanaokimiliki chama tawala cha CCM. Kwa unyeyekevu mkubwa, tungependa kuwajua wamiliki wakubwa wa Chama chetu cha CCM. Je chama ni mali ya Wahuni wachache au wananchi. Hili ni swali gumu sana kwetu sisi wananchi wa kawaida
  8. JamiiForums Tanzania Mabaa medi na Makonda ni watu wenye akili sana

    Km kichwa cha hbr kilivo hapo juu. Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeniii... Nimekua nikiwafatilia kwa muda sasa naweza kukiri kwa kinywa changu kabisa... Hawa watu wakiwa kwenye majukumu yao ni watu makini na wanatumia akili nyingi sn... Km unakubaliana na utafiti wangu hebu tueleze kisa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 kaa mbali, wapinge na wadharau watu wote wenye tabia za ki-antsocial

    Watu wenye tabia za ki-antsocial huwa na tabia zifuatazo. 1.Hawajali haki za wengine. 2. Huwa ni wenye hila(Manipulative). Wanafanyafanya ujanja ili wakutake advantage. 3. Waongo. Ni watu waongo waongo ili wafanikishe mambo yao au kucover uovu wao. Uingo wa kujirudiarudia 4. Hawajutii makosa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wenye CCM Wasiogopwe

    Kuna kundi wanajiita wenye CCM. Hawa ni watoto wa wakubwa wastaafu. Wanaojiona kana kwamba chama ni mali yao. Nawasihi sana wote wanaoitakia mema Tanzania wawakemee hawa watu. Hivi karibuni, Nape Nnauyr alisema wqzi kwamba chama kimerudi kwa wenyewe. Hao wenyewe ni wakina nani? Nadhani...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jenga Nchi na Wasogeze wenye Maarifa wakuongezee na wewe umalize salama.

    Habari za jion wanajamii wote. Kwa bashasha kbsa naomba nitoe Rai kwa Rais Samia, Tanzania ina watu wazuri wenye unafiki, makelele na kupoteza maboya watu hasa wasiojiamini na wasionamaarifa mapana kwenye ngazi ya uongozi, kwako Samia kundi la Kikwete na wanamtandao kwa ujumla wao nyakati za...
  12. JamiiForums Tanzania Wenye LINE nyingi za simu mnakera sana..!

    Binafsi nakerwa sana na watu wenye "line" lukuki za simu. Unakuta mtu ana line ya voda, tigo, airtel, zantel nk. Zote izo za kazi gani?? Matokeo yake kila ukimtafuta mtu utasikia mara.. "Nicheki kwenye airtel hiyo Voda haina chaji.." "Nipigie namba ya tiGo, airtel nimeacha nyumbani" "Hela...
  13. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla:Krisimasi ni siku ya kutoa na kukumbuka wenye mahitaji.

  14. JamiiForums Tanzania Tujuane wenye nyumba 2022

    Habari nyingi sana hamjambo wakuu? Mimi bana mipango yangu nataka nianze ujenzi mwakani nina shakuhuku sana ya kukaa kwenye miliki yangu ndio furaha yangu ya badae... Nikimaliza kulipa ADA za watoto tu basi kinachofata ni makazi yangu ya kupita hapa Duniani.Jamani wenye nyumba wanaraha sana...
  15. JamiiForums Tanzania Wameibuka wandishi wa habari wenye masihara sana, ni afya kwa Taifa?

    Uandishi wa habari kwa sasa umekuwa wa ajabu sana. Umegubikwa na masihara, mizaha na kutoa taarifa ambazo ni za uongo. Tukiendelea kulea na kuendekeza masuala haya tutaua nchi yetu. Hakuna mtu anayekemea, viongozi wapo kimya tu. Kwanini haya mambo hayakemewi!?
  16. JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 umefika ukingoni, mbaya zaidi ni watanzania wenye uchungu na taifa lao,ambao wanapinga ubadhilifu walibatizwa jina la Sukuma gang.

    Huu mwaka haukuwa mzuri sana kwa taifa letu maana tumepoteza ndugu na viongozi wetu. Wengine baada ya kuondoka na kuaga dunia yameibuka mambo mengi. Sasa kila mtanzania anayepinga ufisadi na kuenzi mazuri yaliokuwa yanafanywa na hayati JPM lazima atapachikwa jina la Sukuma gang. Kila mtanzania...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu

    Wale mliokataliwa kwanza halfu baadae mkakubaliwa tupeni experience zenu. Unakuta unampenda demu. Ukimtongoza anasema yeye ana mahusiano . what should be next. Uendelee kuinsist ama uchomoe!
  18. B

    JamiiForums Tanzania CCM Njombe Wagomea uamuzi wenye mimba kurudi shule

    Nimeisikia
  19. JamiiForums Tanzania MSAADA KWA NDUGU/JAMAA WENYE MATATIZO YA ULEVI (URAIBU).

    Stay Clean Foundation Tanzania (STCF) ni asasi ya kiraia iliyoanzishwa mwaka 2015 yenye makao yake makuu Arusha, ambayo inajihusisha na kuwasaidia vijana walioathirika na matumizi ya dawa za kulevya (Substance Abuse) kwa kutoa Elimu katika Shule, Vyuo na Taasisi za Umma na binafsi ya namna ya...
  20. JamiiForums Tanzania ANGALIA OMBAOMBA HUYU ANAVYOCHOKONOA WENYE DINI

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…