wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Research; wanawake wenye big butt ,hujifungua watoto wenye akili zaidi.

  2. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania abroad: watu wenye ushawishi na Nguvu Tanzania

    Watu wenye nguvu na ushawishi kwenye Jamii ya Tanzania 1. Tundu Lissu 2. Father Kitima 3. Anthony Mtaka 4. Askofu Bagonza 5. Heche 6. Ongeza
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini mabosi au Watu wenye hela nyingi hawajengi kwao? Mkienda kuzika mpaka unaona aibu

    Hii n changamoto sana hapa mjini kwa kwelii.....Najiuliza kwa nini mabosi wengi maofisini wana shida kubwa hawajengi makwao wanapotoka??[sio wote] Na sasa hadi wafanyabiashara wakubwa wanajaza majumba Dar wanazikwa kijijinI. Majuzi kati nilienda kumzika bossi mmoja Tanga aisee nilishtuka. Dar...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye Makebo Makubwa wana sehemu yao kwangu

    Moja ya tofauti kubwa kati ya mwanamke na mwanaume ni umbo. Umbile la mwanamke hata kwa nyuma tu unajua hiki kitu.... Mimi ndo maana napendelea sana wanawake wenye MAKEBO MAKUBWA. Yaani Matako au Maumbile ya nyuma makubwa. Kisha laini. Yanaitwa makebo. Halafu uje ukute ana kipapiro mnato...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mambo ambayo yamevumbuliwa au kuanzishwa na watu wenye asili ya kiyahudi

    Makampuni na Teknolojia Google – Sergey Brin, Larry Page Facebook / Meta – Mark Zuckerberg WhatsApp – Jan Koum, Brian Acton Intel – Andy Grove, Robert Noyce Oracle – Larry Ellison Dropbox – Drew Houston Snapchat – Bobby Murphy PayPal – Peter Thiel Palantir Technologies – Alex Karp WeWork –...
  6. JamiiForums Tanzania Dunia mara nyingi huwajaribu watu wenye uadilifu

    Mara nyingi watu wanaojaribu kuishi kwa uadilifu, kanuni na heshima ndio wanaopitia majaribu mengi zaidi. Kisaikolojia, hii sio bahati mbaya. Maisha yana tabia ya kuwajaribu zaidi wale wanaojaribu kusimama imara kwenye misingi yao. Ni kama chuma kinavyopitia moto mkali ndipo huwa imara zaidi...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeleta hii video wenye kujua watupe mwangaza

    Nimepita tiktok nimekutana na hiki kipande cha video kinachohusu kutelekezwa kwa gari la abiria,sasa wengi tulitamani kujua kilicho peleka mpaka gari hii kutelekezwa. Wachangiaji wote nilio fuatilia hakuna hata mmoja alietoa sababu za kutelekezwa gari hili. nimeleta labda tunaweza kupata ABC za...
  8. JamiiForums Tanzania Pesa haitaki shida, inataka watu wenye suluhisho

    PESA HAITAKI WATU WENYE SHIDA, INATAKA WATU WENYE SULUHISHO. Pesa ina njia zake. Ina tabia ya kupita mbali na mtu anayelalamika, anayetafuta msaada kila wakati, au anayeomba omba na kulialia shida kila mara. Lakini ina tabia ya kumtembelea kwa ukaribu mtu anayetoa thamani, anayeleta...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa vijana wenye Elimu Ndogo Pesa Nyingi Tanzania ni mkubwa sana; wanaongea ujinga na kuweka mbele kujionyesha na kujisifia mafanikio yao

    Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wenye magari ya kusomba madini Manispaa ya Iringa tunalipishwa ushuru mara 2

    Sisi ni Wamiliki wa Tipa za kusomba madini ujenzi Manispaa ya Iringa tuna kero yetu, kwa kawaida Ofisi ya Madini Mkoa huchukua shilingi 8,000 kwa kila ‘trip’ moja. Wakati huohuo Ofisi ya Mkurugenzi huchukua shilingi 300,000 kwa mwaka wakisema ni ushuru pia. Aidha, Ofisi ya Mkurugenzi huchukua...
  11. JamiiForums Tanzania Siri ya watu wenye high frequency(aura) na maajabu yake katika maisha

    High frequency(aura) ni energy au uwezo ambao mtu anakuwa nao kutoka kwa Mungu( God) au presence of God within. Kwa nini watu hawa wana high frequency ni sababu ya pure heart(upendo) sehemu yoyote yenye upendo uwa ina high frequency au aura, Mungu ili uwepo ndani yako lazima moyo wako uwe na...
  12. JamiiForums Tanzania Chawa Philosopy: Serikali Awamu ya 6 inaweza kutoa tamko la kupiga marufuku kuwashangilia au kuwaenzi wastaafu wenye utumishi uliotukuka!

    Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii. Sitaingia katika sababu za kufikia hapo. Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda. Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
  13. JamiiForums Tanzania 50% ya senta za kurusha makombola zimeharibiwa, meli vita 11 zote zimezamishwa, uongozi wa wenye mamlaka makuu umesambaratishwa, iran waombe pooh tu.

    Hapo bado nchi za guba hazijaanza kurudisha mashambulizi. Ni wakati saahihi sasa waajemi waangushe mamlaka ya kigaidi.
  14. JamiiForums Tanzania Album ya washkaji wenye vipaji

    Washkaji Wenye Vipaji (2002, Cassette) ✍🏾washkaji Wenye Vipaji ni jina la kutaja albamu ya muziki wa kizazi kipya yenye nyimbo mchanganyiko kutoka kwa wasanii mbalimbali wa Tanzania. Wasanii hao ni pamoja na Da Jo, Bad Spack, Neck Breakerz, Manyema Family, Gangwe Mobb , XPlasterz , Nigger II...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Shemdoe: Marufuku kuhamisha Watumishi wenye changamoto za nidhamu, washughulikwe kinidhamu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri kutowahamisha au kuwaombea uhamisho watumishi wanaobainika kuwa na changamoto za kinidhamu katika Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa, na badala yake...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Makalla: Mgogoro wa wenye maduka stendi ya zamani Arusha unakuzwa na watu wenye maslahi. Viongozi wanakodi kwa 250,000 na kupangisha kwa 1,500,000

  17. JamiiForums Tanzania Ngulangwa: Tuliwaita Polisi baada ya Mkutano wetu wa CUF kuvamiwa na watu wenye matarumbeta na mabango

    Timbwili jipya limeibuka Makao Makuu ya Chama cha Wananchi (CUF), Buguruni jijini Dar es Salaam baada ya wanachama wake kugawanyika katika pande mbili, wapo wanaoutambua uongozi uliopo na wengine wanaoukataa. Chanzo cha mgawanyiko huo ni barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliyobatilisha...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye changamoto za kiuchumi na kukosa wanaume wanione mimi please

    Yes, udugu ni kufanana walisema waswahili. Nimeona niweke hili wazi sababu najua kuna watu wanachangamoto hizo za kiuchumi na pia kukosa mwanaume shababy mwenye uwezo kiuchumi na kimahusiano. Ni rahisi tu. Nione mimi. Wala usihangaike. Hakikisha unaniona mimi. Mimi napatikana nchi mbalimbali...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Watu wenye ushawishi nchini kujitokeza hadharani na kusema wanayoyasema mbele ya media ni sahihi ? Wamewakosa chemba viongozi husika?

    Watu wenye ushawishi wanapoongea hadharani na kutumia maneno yenye kuleta taharuki mara nyingi wanaonekana kuzungumza moja kwa moja kwenye media badala ya njia rasmi. Je, hii ni kwa sababu hawajui njia sahihi za kufikisha malalamiko kwa viongozi husika, au tayari wamejaribu njia hizo na...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa machawa kwa Sasa haupo ,tunaomba Sasa watu wenye kutuambia ukweli maana ndio wakutusaidia ,na nyie wasema ukweli muwe na staha!

    Katika mazingira yoyote ya kazi au jamii, maendeleo ya kweli huanza pale tunapojenga utamaduni wa kuambizana ukweli kwa nia njema na kwa heshima. Ni muhimu kuelewa kwamba uchawa uliopitiliza haujengi, bali hudhoofisha misingi ya uongozi na kuua ubunifu pamoja na uwajibikaji. Pale ambapo watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…