wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kuna wimbo mzuri wa mapenzi na mahusiano wa Kiswahili mzuri na wenye ujumbe konki kuliko huu?

    Huu wimbo wa Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala kwenye harusi yangu kanisani nitawambia wanipigie huu,hata kama wataurudia mara 1000 ni sawa tu. Huu wimbo ukipata binti ambaye mmpendana kama Romeo na Juliet-unaweza ukadhani hamna kifo.
  2. JamiiForums Tanzania Wataalamu 132 wa HDU Muhimbili wapatiwa mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa

    Wataalamu 132 wamepatiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji mkubwa (Highly Dependent patients) yaliyotolewa na wauguzi bobezi wa wagonjwa mahututi (Critical care nurse specialist) na Madaktari bobezi wa mahututi. Katika hatua nyingine madaktari na wauguzi 40 wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa PCM Bwiru Boys; Je, ni shule nzuri?

    Mimi naishi Mwanza, na ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level (Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM. Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri...
  4. JamiiForums Tanzania NAOMBENI MSAADA NDUGU ZANGU KWA WENYE UZOEFU NA UELEWA JUU YA HILI.

    #mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level( Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM. Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri itakayo nisaidia hapo...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Waasi wa ADF wavamia shule na kuua watu 40 Uganda

    Wanamgambo Waasi wa Allied Democratic Forces (#ADF), wanadaiwa kushambulia Shule ya Sekondari #Lhubirina katika mji wa #Mpondwe, na kusababisha vifo 40, huku idadi isiyojulikana ya watu wakitekwa nyara Meya wa Mpondwe, Selevest Mapoze, amesema wengi wa waliouawa ni Wanafunzi, huku kukiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

    Baada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali. Lakini wengine ni lile kundi ambalo lina danganya nyaraka mfano mtu kaingiza kontena 100 akidai kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania 41% ya wenye VVU jijini Dar wamepata mimba zisizotarajiwa

    Taasisi ya Afya ya Ifakara imebaini kuwa asilimia 41 ya wanawake wanaoishi na virusi vya UKIMWI (VVU) Mkoa wa Dar es Salaam wamepata mimba zisizotarajiwa. Hali hiyo imeelezwa kutokea kutokana na asilimia 60 ya wanawake wanaoishi na virusi hivyo, kutotumia njia za uzazi wa mpango. Hayo...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu mwema sana ila amezungukwa na watu waroho na wenye roho mbaya

    Kwanza kabisa huyu mama ni mchamungu na nadhani nyie wenyewe ni mashahidi, hajawahi kuingia msikitini na camera. Mama amekuwa ni mtu wa kutoa sadaka kwa wingi hasa kwa watu wenye uhitaji na hata wale anaowapa misaada huwa hatuoni wakimulikwa na camera kama alivyokuwa anafanya mwendazake. Suala...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

    Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya. Hiki...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wenye maono ya Magufuli wamenyimwa nafasi kuchangia muswada wa Bandari au Wamepuuza udalali wa rasilimali za nchi?

    Mle bungeni kuna wabunge ambao hawakubaliani na ugawaji holela wa uendeshaji wa bandari yetu. Wabunge hao wamejikuta wanatengwa na Spika kwa kuwanyima fursa ya kuchangia muswada wa bandari ili kutoa nafasi kwa wabunge wenye kuweka mbele masilahi yao binafsi ndani ya chama kuchangia. Leo hii...
  11. JamiiForums Tanzania Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

    Binafsi nilijiunga Twitter 2009, kipindi hicho ni mwendo wa internet cafe tu. Kati ya social media platform zilizoanzishwa miaka hiyo basi Twitter ilikuwa tulivu na ilitumiwa mostly with proffecionals, jonals na baadhi ya watu tunaojielewa kiufupi ilikuwa na hoja nyingi za msingi kama ilivyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wawili wenye nguvu wanavyouza Uhuru wa nchi kwa Kasi

    Upande mmoja kuna Rais, Upande wa pili kuna Spika. Hawa ni watu wenye nguvu nyingi sana katika nchi yetu. Kifupi wameshikilia mihimili mikuu miwili ya hatma ya nchi yetu. Mwanzo tulidhani kwa kuwa tumepata viongozi wanawake, watakuwa ni watu cool, wasio na ego , wenye huruma na kuweka masilahi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu haijapungukiwa akiba ya Dollar tu, mpaka wazee wenye hekima haina!

    Ni jambo la hatari kama nchi kukosa wazee washauri na wenye hekima! Kama jambo hili la kubinafisishwa Bandari zetu za Bara lilipita mikononi mwa wazee kwa ajili ya kushauri na wakaona vema kwamba inafaa kwa DP word kupewa mkataba usio na kikomo! Doh!! Kama Taifa, tunahasara kubwa kiasi cha...
  14. JamiiForums Tanzania USIWE KONDOO MWENYE KIBURI: Kukomoana Huzaa Msiba

    Kondoo wawili walikuwa wakitokea tofauti za mto. Mmoja akitokea mashariki na mwingine magharibi. Walipoufikia ule mto, kila mmoja kwa upande wake alihitaji kuvuka. Kwa bahati mbaya, mto ule haukuwa na daraja pana zaidi ya gogo lililokuwa limelazwa kwa kuvukia. Basi, walipolifikia lile gogo...
  15. JamiiForums Tanzania CCM na kauli 'watatufanya nini sisi ni wenye dola' siku si nyingi itawageuka!

    Wana CCM hawana uoga na kitu chochote wanacho amua kufanya, wanaamini kushika kwako dola ndo kila kitu kwao. Wapo wanaoamini wao na familia zao watatawala milele. Lakini naamini hakuna marefu yasio na ncha. Moshi mweupe umeanza kufuka, watanzania wa sasa sio wajinga kama miaka iliyopita. Mwisho...
  16. JamiiForums Tanzania Mzazi usimroge mtoto wako, mbariki

    Tafadhali, kama haujatajwa, kaa mbali na huu uzi! Huu uzi ni mahsusi kwa ajili ya watajwa tu, Wababa wenye Akili na Wamama wenye akili. Kuna mambo makuu mawili kwa walengwa: onyo na ushauri Onyo: USIMLOGE MWANAO. Ushauri: MBARIKI MTOTO WAKO. Kwenye mojawapo ya vitabu vya Robert Schuller...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Feisal umemalizana na uongozi bado ujamalizana na mashabiki na wanachama wa yanga wenye hasira kali juu yako

    Mara zote mchezaji anapoondoka yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi uwa mwisho wake ni mbaya sana, Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, na wengine kilichowakuta wanakijua mpaka sasa wamepotea kwenye ramani ya soka. Kwa maana iyo waombe msamaha wanachama...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 KONDOO WENYE JEURI: Kukomoana Huzaa Msiba

    Kondoo wawili walikuwa wakitokea pande tofauti za mto. Mmoja akitokea kusini na mwingine kaskazini, na kila mmoja alihitaji kuvuka ili kuelekea upande wa pili. Walipoufikia ule mto, kwa bahati mbaya, mto ule haukuwa na daraja pana, zaidi ya gogo lililokuwa limelazwa kwa kuvukia. Cha...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wenye ndoto kubwa hutokea familia maskini

    Kama kichwa cha Uzi huu kinavoeleza hapo juuu. Vijana wengi wenye ndoto KUBWA za kimaisha kwa asilimia KUBWA wanatokea familia ambazo zina kipato cha Hali ya chini Ninze na mimi mwenyewe ndoto YANGU ILIKUWA kuja kuwa daktari lakini ilipotea tu pale nilipofika kidato cha nne je sababu ILIKUWA...
  20. JamiiForums Tanzania Ikiwa wao wanataka handsome na wenye Pesa Kwa nini wewe iwe kosa ukiwa na vigezo?

    Kwema Wakuu! Vijana, ikiwa usipokuwa na Pesa wanakudharau, wanakunyali, hawakutaki, na Wakati mwingine wanakutukana. Au ukimuoa siku ukafilisika wanakukimbia. Kwa nini kwako iwe kosa ukijiwekea vigezo? Mfano, Kwa nini iwe kosa ukisema kamwe hautaoa single mothers? Wakati Muda huohuo wao ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…