wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeomba kazi Polisi pamoja na Kampuni binafsi. Kwa wenye uzoefu, ni wapi niende?

    Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
  2. JamiiForums Tanzania Siioni Simba SC ikishika nafasi ya Pili japo jitihada za Airtel Money na Magumashi zinafanyika mno

    “Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.” “Tangu nimekuwa msemaji wa timu yenu timu haijawahi kuja Arusha hivyo nikaona hii ni nafasi nzuri ya kuja tuonane. Nimefurahi kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya mshahara kutoka watu wenye harusi wameanza simu

    Daaah, Inakata stimu kwa kweli. Yaani hata mama sijamrushia muamala. Yaani hata kuhemea bado napotezea ili mshahara upoe kwanza. Yaani hata hela haijampumzika kwenye akaunti. Yaani hata mwenyewe sijajipa pole na tulizo la nafsi. Wenye maharusi tupumzisheni jamani, wekeni bajeti kulingana na...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Wataalamu wa TEHAMA nchii, wabuni Apps na simu zitakazotumiwa na makundi yote ya jamii ikiwemo watu wenye mahitaji maalumu kama vile vipofu na viziwi

    Habari za uzima watu wote? Nimekuja tena kuleta wazo litakaloweza kuibua au kuchochea maendeleo katika jamii zetu bila kuacha kundi lolote kwenye jamii zetu. Bila shaka utakubaliana nami kwamba, mpaka Sasa, wataalamu wa TEHAMA wameshindwa kabisa kutuletea vifaa na programs zenye uwezo wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna Wanaume wenye huu 'Utoto' na 'Ushamba' ndani ya Ndoa na Mahusiano?

    ''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke...
  6. JamiiForums Tanzania Ajira za polisi kwa wenye fani hivi salary scale zao zinaendaje?

    Naomba kujua wadau, hivi mtu anayefanya kazi na jeshi la polisi kwa kitengo cha laboratory technician mwenye degree, mshahara unaanzia shingapi?
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye Tabia hii mbaya na inayoharibu Mahusiano yenu na inayowakera 99% ya Wanawake badilikeni tafadhali

    Yaani kabisa Mwanamke wako ( Mtoto wa Watu ) umempenda Mwenyewe na kuamua kuwa nae lakini cha Kushangaza uko nae Kwako Dar es Salaam ila Maelekezo yote ya Kuishi na Mkeo au Mpenzi wako ( Mchumba ) yanatoka Kijijini ( Mkoani ) aliko Mama yako Mzazi au Mlezi wako. Huu ni Ujinga wa Kiwango cha...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Wadudu protein(Edble insects) wanaweza tusaidia kupunguza kiwango cha utapia mlo kwa Watoto Tanzania

    Utapia mloa ni changamoto kubwa sana Tanzania, na utapia mloa ni ukosefu wa virutubiaho muhimu mwilini hasa sana Protein. Utapia Mlo ni ugonjwa wa Aibu kubwa sana hivyo ni lazima tuchukue hatua sasa. MWaka 2023 Wakati Raisi Samia akizima Mwenge kule Babati Manyara alikili kwamba Pamoja na na...
  9. JamiiForums Tanzania Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

    Tunaosoma kundalini tunaweza kumuelewa kuwa trik za dunia zipo nyingi kuhusu dini.
  10. JamiiForums Tanzania Historia fupi ya jamii ya watu wenye vichwa virefu (Mangbetu)

    Hapo zamani nchini Kongo kulikua na jamii iliyoamini kwamba wanawake wenye vichwa virefu Wanavutia (WAZURI) zaidi na wanaume wenye vichwa virefu wanakua na NGUVU zaidi na AKILI sana. Hivyo basi watoto wakizaliwa walilazimika kifungwa nganganga na kitambaa kichwani (LIMPOPO) ili kutengeneza...
  11. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mikopo ya halmashauri kwa wanawake ,vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi

    Jambo la utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo ambao wengi wao ni wanawake vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi kwa kiasi kikubwa. Ili kupata Tanzania bora tunayohitaji lazima serikali iangalie kwa kiasi kikubwa juu ya kutafuta njia mbadala ya kuweza kuwawezesha watu wengi zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania Wenye CAF CL tittle 5 wamekuja kujifunza. Unahisi hawaijui historia ya mkufunzi?

    Maisha yana njia tofauti kutufunza kuwa wapole na subira hasa pale tunapojiona tumefanikiwa. Watu wanashinda kujisifu robo fainali 5 hana cha kujifunza kwa mwenye robo fainali moja. Haya mwenye makombe yake matano cha CAF CL amekuja kujifunza namna ya kuendesha timu ya mpira kwa ambaye hana...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Biblia imesisitiza zaidi kwenye kusaidia zaidi wenye uhitaji na sio kumtajirisha mmiliki/mchungaji au nabii wa kanisa kwa kigezo cha zaka na sadaka.

    Kwenye nyakati tulizopo kumekuwa na utapeli mkubwa miongoni mwetu wakristo kuhusu mambo ya zaka na sadaka. Kuna viongozi baadhi hutumia biblia vibaya kuwatisha waumini wao kwamba inatakiwa sadaka (pesa) zote zipelekwe kanisani. Wengine wameenda mbali zaidi kuwa hata kile kidogo ulicho nacho...
  14. JamiiForums Tanzania FCS yasaini makubaliano ya kuboresha Wanawake, Vijana na Wenye Ulemavu katika uendeshaji wa biashara

    Foundation for Civil Society (FCS) na TradeMark Africa wamesaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kuboresha mazingira wezeshi na jumuishi ya kibiashara kuhakikisha Wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wanajumuishwa kikamilifu katika uendeshaji wa biashara, kukabiliana na changamoto kubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kama unahangaika kuwapata watu wenye uhitaji ili upate baraka/twawabu basi fika vyuoni hasa vyuo vikuu vya serikali

    Naandika haya nikiwa jikoni kabisa.Nimelia sana kwa maneno ya wabunge wanaokula posho za bure kwa kugonga meza na kudharau wanazuoni. Jamani kuna kundi kubwa sana la wanafunzi wa vyuo ndoto zao zinaisha njiani na kufa kabisa kwa sababu za ada,watu wanakosa malazi,watu wanapitia msoto mkali...
  16. JamiiForums Tanzania Napenda wanawake wafupi wenye miili midogo wapewe maua yao

    Shalom, Nitoe taarifa na niombe ushirikiano kwa wale ambae tunapenda hao viumbe wa size hizo taarifa fupi ya uzoefu ni kwamba ni watamu sana na wanajua kuisikilizia vizuri na ukiwa fundi wa mdalasini, mchaichai, pipi kifua na asali basi hutojutia. Tuwape maua wanawake wafupi wenye vishepu na...
  17. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa kiislamu wachinja watu kwenye kituo cha afya DRC

    Huyu 'mungu' wao anapenda damu sana.... At least eight civilians died on Thursday in an attack on a health centre in eastern Democratic Republic of Congo, according to media reports that cited locals. The attack was carried out in DRC's North Kivu Province. Locals said the attack was carried...
  18. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wazidi kushambulia Msumbiji

    Yote hii kwa ajili ya kumtukuza 'mungu' wao.... Mozambique's army is fighting Islamist insurgents who launched a major attack on the northern town of Macomia on Friday morning, President Filipe Nyusi said in a televised address. The town is in Cabo Delgado, a gas-rich northern province where...
  19. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Usalama wa Wanahabari na Watu wenye Ushawishi

    Waandishi wa Habari wa kike na Watu Wenye Ushawishi wameshiriki warsha ya Siku moja iliyohusu kujengewa Uelewa wa Usalama wao katika masuala ya Mtandao, ilifanyika Mei 7, 2024 ikiandaliwa na Taasisi zisizo za Kiserikali, JamiiForums kwa kushirikiana na CIPESA. Warsha hiyo ililenga kuangalia...
  20. JamiiForums Tanzania Lengo la Lissu ni kuua ndege wawili kwa wakati mmoja. Wenye akili tumemuelewa, ila wasio na akili hawajamuelewa

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili kwa wakati mmoja ili aweze kufanikiwa lengo lake la muda mrefu, japo inaonekana wazi kuwa kwa aina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…