wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Kufungua Uwezo wa Kidigitali: Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira kwa Wahitimu na wenye ujuzi Tanzania Kupitia Fursa za Mtandaoni

    Utangulizi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa. Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo watu wenye bahati duniani

    Hii ndo list ya watu wenye bahati dunia: 1) Mtu aliyepata ajira mara tu baada ya kumaliza chuo/masomo 2) Mtu aliyezaliwa kwenye familia tajiri 3) Mtu aliyepata mpenzi/ mke/ mume sahihi kwenye mahusiano yake ya kwanza tu 4) Mtu ambae yupo carefree 5)... ongezea
  3. JamiiForums Tanzania Mabinti wenye umri kati ya miaka 18 -22 ni tiba Mujarab kabisa ya tatizo la msongo wa mawazo kwa wanaume

    Kama wewe ni mwanaume wa age 30+ umeoa au umezaa na mwanamke/wanawake na wanakupa stress za mapenzi kama vile unahisi wana flirt na michepuko au mmeachana na ex wako ame move on, etc, halafu kwa sababu hiyo eti umepatwa na msongo wa mawazo basi Mimi NINAKUTUKANIZIA MAMA AKO MZAZI. Kosa lako...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Wenye elimu ya msingi wasigombee nafasi za Ubunge

    Dibaji. Maisha ya Tanzania kwa miaka 30 nyuma hayalingani hata kidogo na maisha ya sasa katika kila eneo, iwe kimazingira, kiuchumi, kielimu, kiteknolojia, mitindo ya maisha na kilakitu.Na hii ni kwa dunia nzima, ndio maana kuna kitu kinaitwa historia, tafsiri yake ni kwamba maisha hubadilika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema Warumi ni watu wenye akili sana!

    Warumi! Warumi! Warumi! Ni watu waerevu, wajanja na wenye akili sana. Dunia yote ipo mikononi mwa Roma. Barabara zote duniani zinaelekea Roma. Wana siri nyingi na nzito kweli kweli. Wanapigwa vita na makanisa ya kiprotestanti kupitia kanisa lao Katoliki ila huwakuti kujitetea wala kujibu...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji vijana wawili wenye uhitaji wa kujifunza Car Diagnosis, repairs na umeme wa magari kiujumla.

    Sifa Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia). Muaminifu na mchapakazi Garage iko Iko Makuburi, Ubungo. Hakuna malipo. Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
  7. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mtazamo chanya kwa watu wenye ulemavu

    Jamii inatakiwa kubadili mtazamo dhidi ya watu wenye ulemavu. Kwani baadhi ya watu kwenye jamii zetu wanawachukulia watu wenye ulemavu kama kiumbe dhaifu.watu wenye ulemavu kwenye jamii wanoonekana kuwa hawawezi chochote kwenye jamii kitu ambacho sio sahihi Watu wenye ulemavu sio kwamba...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya ni watu wenye roho nzuri sana

    Ingawa wakati mwingine Watanzania na Wakenya hushambuliana kwenye mitandao ya kijamii, haimaanishi kuwa ni maadui. Utani wao ni kama ugomvi wa watoto wanaofuatana kuzaliwa. Linapokuja suala la shida au changamoto, uhalisia wa mahusiano yao hujithihirisha. Husaidiana. Ingawa Watanzania na...
  9. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Raia wenye afya bora ndio nguvu kazi wa taifa la kesho

    Watu husema afya ni mtaji kwaio ili shughuli binafsi na taifa kwa ujumla zifanyike ipasavyo yahitaji raia wenye nguvu na afya njema.Katika Sekta ya afya changamoto zimekua nyingi ambazo tungetamani zifanyiwe utatuzi ili kupunguza athari kubwa kwa miaka 5-25 ijayo. Changamoto hizo ni kama...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuwa mwanaume na mwanamke wenye damu zenye chaji tofauti +ve na -ve hawawezi kupata mtoto?

    Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya. Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
  11. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vyombo vya Habari hasa Televisheni, TV za mitandaoni tumieni Teknolojia ya kubadili sauti kuwa maneno ili msiache nyuma watu wenye ulemavu wa kusikia

    UTANGULIZI: Navipongeza vyombo vyote vya Habari ambavyo vinaendelea kuwa wabunifu katika kurusha matangazo/maudhui mbalimbali ili kuhabarisha jamii kwa kujumuisha mtindo wa tafsiri kwa ALAMA ili iwe rahisi kueleweka kwa watu wasio sikia vizuri au wasiosikia kabisa. KIELELEZO: TBC wakiendesha...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati afrika inawaza kupeleka mbele Afcon 2025 naiona Euro inayoongozwa na watu wenye msimamo iking'ra sana

    Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani. Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na ushindani mkubwa na mvuto usiomithirika kiasi kwamba watu hata hawaongelei Copa America. Namshauri...
  13. JamiiForums Tanzania Wenye Simba SC yao na Wazee kama hawa Waliojitolea Jasho na damu walalamike halafu utegemee Kufanikiwa? Thubutu yako. Utalaanika tu

    “Lazima mabadiliko yapatikane sio kuivunja tu Bodi ya Wakurugenzi, bali hata wachezaji kwa sasa hivi hawako watu wanaoweza kuiendeleza ile klabu, klabu imekuwa na mambo na kiubinafsi, hawathamini watu sio mimi tu tupo wengi ambao tulipoteza ujana wetu kuitumikia Simba” Abdallah Kibadeni Maarufu...
  14. JamiiForums Tanzania Magaidi wachinja maskini wanavijiji 38 DRC

    yaani mwendo wa kuchinja tu, tena wanachinja maskini walalahoi wasiokuwa na mbele wala nyuma, huwa najiuliza siku mkija kugundua huyo "mungu" wenu sie na kwamba muda wote mumeua watu ili kumkosha mungu asiye, mtaficha wapi aibu. _________ Suspected Islamist rebels killed at least 38 people in...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake na wanaume wenye tania hizi mje hapa.

    Wanaume wenzangu mnafeli wapi jamani.Tabia ya kutotowa mahitaji ya familia kwa wakati si kwamba huna ila uzembe tu eti kwakuwa unaishi na mkeo yupo ndani,fikiria unawatoto halo Lakini hujali unaenda kupeleka mahitaji kwa mchepuko tena kwa haraka.mkeo anaumwa hadi anazidiwa ndiyo unampeleka...
  16. JamiiForums Tanzania Huduma za Uvushaji wa MV Kigamboni zasitishwa

    KUSITISHA UTOAJI HUDUMA YA UVUSHAJI KWA KIVUKO MV. KIGAMBONI Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko Magogoni Kigamboni na wananchi kwa ujumla kuwa, Kivuko MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo, kitasimama kutoa huduma kuanzia alfajiri ya siku ya Ijumaa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tunayoitaka: Dira ya Wakati Ujao Wenye Kustawi

    Tanzania iko kwenye kilele cha zama za mabadiliko. Ulimwengu unabadilika kwa kasi isiyo na kifani, na ili kuhakikisha taifa letu linastawi, ni lazima tukuze maono yenye mwelekeo wa siku za usoni kwa ajili ya elimu, kukuza uvumbuzi wa kisayansi, na kujenga uchumi imara. Dira hii, “Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Tuwe Wakweli Bar za Arusha zina wahudumu wenye matrakoo ni noma

    Shalom, Daah nimepita jumapili na jumatatu pale Arusha Kila mwenye Bar anafanya ubunifu wa kuweka Wahudumu Wenye Matako mazuri na makubwa ni full shangwe. Sijui hii tabia ya Arusha na matako kwa Wahudumu wa bar chanzo chake ni nini, naona na jamaa wa bar hapa Dodoma wanapita njia hio hio. Ee...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wanene na wenye shepu za kuvutia huwanenepesha waume zao

    Huyu mrembo wangu ananihudumia kila siku kwa tendo, na ananiachia nijipigie magoli idadi ninayotaka mpaka pale nitakapo choka mimi mwenyewe; nimejikuta ndani ya wiki mbili nimekuwa na kitambi, mwili umenawili hatari; kweli nimeamini wanawake vibonge na wenye chura za kuvutia, huwanenepesha waume...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji watatu wenye uwezo wa kumdhibiti Aziz Ki uwanjani bila wasiwasi

    Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana lakini akipata watu haonekani, ni mchezaji ambaye ukimwekea watu wenye kazi ya kukaba, humuoni, atabaki kulalamika tu kuwa anachezewa rafu. Wachezaji watatu niliowashuhudia wakihangaika na Aziz Ki na akashindwa kabisa kufurukuta kwao ni kama ifuatavyo. 1. Kevin...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…