wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kuzaga asheherekea Krismasi na watoto wenye Mahitaji Maalum

    Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Desemba 25, 2024 alipotembelea Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga tukatae hawa waamuzi wenye nia ya kutuchafua Kuna kitu wanatengeneza

    Lilianza goal la mkono jamaa alipiga ngumi kabisa. Mwamuzi akatupa lile goal. Jana ile haikuwa penalty kabisa. Kabisa haikuwa penalty tuseme tu ukweli bila ushabiki. Mwamuzi akatupa penalty. Lengo ilikuwa jana tushinde bao 5. Tunapambana kuwafikia mikia. Lakini tucheze na kushinda kwa halali.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa ambae anafahamu Waziri wa Ajira kwa sasa ni nani Ndejembi, Ndalichako au Ridhiwani?

    Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri. Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani? Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tatizo la Lissu ni tishio kwa wenye mirija. Hawataki ikatwe. Na ukweli ni kwamba akishinda itakatwa. Undugu na kujuana mwisho!

    Dadadeki! Wajumbe pambaneni kwa kweli. Kama mnajijua mpo kwa mazoea zoea na kupenda kuendeleana. Au kupeana peana vinafasi hata kama hamna uwezo Basi hakikishenj huyu Lisu hapiti. Mimi sijui mtoto wa Mwenyekiti. Sijui mtoto wa muasisi. Sijui hawara wa kiongozi Fulani nipewe viti maalumu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

    Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam . Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira . Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kazi za BOT zilizopitia utumishi walisema wanataka watu wa Upper Second, First Class tu. Mbona na sisi wenye Lower Second system ilituruhusu kuomba?

    Hali zenu wandugu? Kuna tangazo la kazi za BOT zilitangazwa na Ajira portal,lile tangazo lilisema wanatakiwa kuapply watu wenye upper and first class pekee, ila cha kushangaza mfumo uliruhusu mtu yeyote mwenye degree tajwa aombe. Hivi tunaweza kuitwa kweli kwenye usaili, na imekuaje mpaka...
  7. JamiiForums Tanzania uzi maalum kwa wale wenye shida mbalimbali wanaohitaji msaada au ushauri tunduizi

    nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kusaidia watanzania wenzangu kwa namna moja au nyingine wale wanaopitia changamoto mbalimbali kwenye maisha na kwamba wanahitaji ushauri au msaada wa aina flani ili kuweza kutatua changamoto hizo. Kwa wale ambao wataguswa na changamoto za mtu yoyote pia...
  8. JamiiForums Tanzania Wenye chakula chao, nitajie majina ya mboga saba za kiasili unazozifahamu na kuziona hapo! 10k mfuko wa shati!

  9. G

    JamiiForums Tanzania Wale wenye biashara za familia, hii ndio njia sahihi ya kulinda mali dhidi ya watoto wenye tamaa na majambazi wataoingia kwa njia ya ndoa

    Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea, Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
  10. JamiiForums Tanzania Ujembe huu unawalenga na kuwahusu wale wote wenye akili timamu tu na si vinginevyo

    Ukweli ndo huu wewe kama unajiona unapendwa mwambie wife naomba tuuze hii nyumba au kitu chochote Cha thamani. Akiuliza sababu mwambie nadaiwa nilikuwa nimekuficha Kwa muda mrefu. Kaa na msimamo huo hata wiki Kisha leta wateja wa mchongo waje wazuge zuge kununua Kisha mshindwane bei Utaona...
  11. JamiiForums Tanzania Inasemekana watu wenye akili nyingi ni waaminifu

    Inasemekana watu wenye akili nyingi ni waaminifu. Kwaiyo ukiona una mpenz kiruka njia jua yaliyomo hayamo!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya chadema, Nawashauri wenye busara wamuombe mbowe kwa hekima akinusuru chama asigombee

    Naamini mzee mbowe ni mzee mwenye maono makubwa sana. Kwa busara zake nashauri apate ushauri mwingine kutoka kwa wazee asigombee amuunge mkono Tundu lissu kama baba mlezi wa chama! Chadema ni mtoto aliyezaliwa na mgumba na kutelekezwa matunzo; Mbowe ni mama mzazi wa mtoto na Tundu lissu ni...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 63 ya uhuru wenye ukoloni wa mtu mweusi.

    Kwanza kabisa poleni na pilika za mwisho wa mwaka, mambo yamekuwa mengi ajali, magonjwa na kila aina ya ubaya unaotulenga sisi binadamu. Tuwe na mwisho mwema. Hili suala la uhuru kiukweli mimi sioni kama ni uhuru wenye haki na kufuatwa kwa misingi ya katiba kama inavyoagiza. Kama haitoshi...
  14. JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu takriban 14 wafariki dunia katika ajali ya Lori na Coaster eneo la Mikese

    Inasemekana kuna ajali imetokea Mikese ikihusisha bus dogo Coaster na kuua watu wengi, wenye taarifa zaidi tuambizane --- AJALI MBAYA MOROGORO, WATU 14 WAFARIKI, 7 WAJERUHIWA. Watu 14 wamefariki dunia na wengine 7 kujeruhiwa baada ya gari kubwa la mizigo kugongana uso kwa uso na gari dogo...
  15. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere kusifia wenzie wenye ‘connections’ na Abdul ina maana haoni shida wananchi kupewa stahiki zao kwa milango ya nyuma

    Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema kitu kimoja ambacho wasomaji wengi hawajakigusia. Katika jaribio lake lake la kutaka Lissu asiaminike...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Jitahidi utafute kiwanja maeneo ya wenye connections, huduma muhimu hubanwa mitaa ya wasiojiweza ili kuhudumia wenye sauti

    Jaribu kujenga sehemu iliyojaa watu wenye connections aidha wamejaa waajiriwa wa serikali kuanzia ngazi za kati au wafanyabiashara wa kuanzia vipato vya kati, n.kl., haimaanishi wawe matop sana ila si haba wawe na uwezo flani sauti,kuwa nakaji uwezo hata kwa mbali kanakoweza ku influence...
  17. JamiiForums Tanzania Matibabu ya chemotherapy hupelekea vifo zaid kwa wenye saratani

    Wakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na rain gun

    Nahitaji rain gun yenye radius ya kurusha maji metres kuanzia 40 hadi 60. Inauzwa bei gani
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa ametangaza Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari wamepangiwa Shule za sekondari ambao wataanza Januari 2025. Waziri Mchengerwa ametangaza matokeo hayo mbele...
  20. JamiiForums Tanzania Jarida la Forbes: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jar

    Jarida la Forbes Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jarida la Forbes. Ushawishi wake katika masuala ya Diplomasia na kuwa kinara wa Nishati safi Duniani ni baadhi ya sababu, namna anavyoendesha nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…