wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Upande wenye siasa kali unashinda ndani ya vyama vya siasa

    Tanzania tujiandae na vuguvugu kubwa sana miaka 3 ijayo. CCM Mama Samia kaamua kuwafuata wenye siasa kali na wanao amini wizi wa kura na matumizi ya Polisi kwenye chaguzi. Upinzani wale wanaopenda maridhiano wanashidwa na upande wenye misimano mikali mfano Mbowe upande wake unapungua nguvu na...
  2. JamiiForums Tanzania Does my husband really love me?

    Kwa wenye mnajua ngeli twende kazi. Mr magical power, post and hide id. I want you guys to tell me if my husband really loves me. Immediately I was married my hubby and his mother brought me two young kids of theirs to stay with us.. I got pregnant and went to the village to give birth and...
  3. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka zijitahidi kuzuia wananchi wasigeuke kuwa "Wananchi wenye hasira Kali"

    Salaam, Shalom!! Mahusiano ya Dola na wananchi yanatakiwa kuwa sawa na mahusiano ya kipofu na Mwizi anayekula Kwa kificho na kipofu, Si vyema kukosea na kumshika mkono akastuka. Watu wanapotea na kutekwa hadharani viongozi kimya, unyanyasaji Kwa wasio HAKI sasa haujifichi, wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kuwa na Life Insurance(bima ya uhai) kwa wenye familia kupunguza majonzi ya kufa

    Kama una familia ni muhimu sana kuwa na life insurance (bima ya uhai) ili kupunguza machungu kwa unaowaacha duniani pale unapofariki. Kiwango cha majonzi katika misiba kinachangiwa pia jinsi wafiwa wanaachajwe na marehemu. Tujitatahidi kubadilika na kwenda wakati, ni ushamba kuwa na duka...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kariakoo ukiondoa Wakinga, Wachaga na wenye asili ya nchi za nje, panabaki patupu

    Ukitaka kupunguza tatizo la msongamano Kariakoo ondoa wakinga, wachaga na watanzania wenye asili za kihindi, kiarabu, kisomali, kichina, n.k.. hawa ni almost asilimia 70 ya biashara za Kariakoo Wanaobaki kwa mbali labda ni waha na wapemba kwa makadirikio ni asilimia 20 wanaobaki asilimia 10...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kweli wanawake wenye jinsia mbili wapo?

    Hizo story huwaga ni kweli au ni uzushi tu? Kuna story zimezagaa huku Sinza kuna mdada anaitwa Mina wanasema ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi. Je jambo hili linawezekana kisayansi?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Gharama nafuu sio unafuu wa maisha, heri mji wenye gharama kubwa utazoweza kumudu kuliko mji wenye gharama nafuu utazosota kumudu

    Kigezo cha kusema kwamba sehemu ina maisha nafuu kwasababu vitu vyake ni gharama nafuu ni dhaifu with a few exceptions. Kila mkoa / nchi ina system yake kwenye matumizi na kipato, ni jambo la kuzingatia sana hasa kwa wale wanaojitafuta. Unaweza kuwa sehemu kama Mbeya, ni mkoa unaosifika kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wenye kuzijua hizi "Turntable Speakers" naombeni ushauri.

    Kuna mahali nimepita nikakutana na hii "Multifunctional Turntable Bluetooth Record Player with Vinyl to MP3 Converter, CD, Cassette Player, and FM Radio", bei yake 250,000/=, je is it worth it ama iko overpriced? Hizi dude nazionaga sana kwenye movies ila sijawahi kutana nayo physically...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kwa migogoro inayoibuka baada ya vifo vya wenye hela, nadiriki kusema "kuwa na pesa nyingi ni kukaribisha balaa kwa familia"

    Tuliyaona kwa Dr. Mengi. Tukayaona kwa Mrema. Tukayaona kwa bilionea Msuya. Tukayaona kwa Dr. Likwelile. Tumeyasikia kwa Hans Pope. Na sasa yameibuka kwa Dr. Mwele. Ndipo hapa naona hakuna maana ya watu kutafuta pesa kwa ajili ya watoto wao. Usije na wimbo wa kwamba "watu waandike wosia...
  10. JamiiForums Tanzania Vita vya Syria vina mchanganyiko sana, ila dikteta Assad ni uovu wenye afadhali (lesser evil) kuliko waasi Wanajihadi

    Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria zitakuwa njema chini ya utawala wao mpya, makundi yanayompinga Assad ukiondoa Wakurdi nusu yake ni...
  11. JamiiForums Tanzania Nyimbo Za zamani zilikuwa na ujumbe wenye kuelimisha,zitumike kufundishia hawa vijana,mfano hii hapa INACHOMA ya 20%.

    Oh na na naaaaa! Eyaaaah INACHOMA 1. Nimeajiriwa kwenye Ajira niliyojiajiriii, Na ninasifiwa utendaji Wangu wa kazi ni nzuri, Navumilia huenda nitapata kivuli, Nitapata kivuli imeshakata miaka miwiliii, Ndimu na ugali,maisha Makali,elimu iko mbaliii, Lile jasho la halali,mpaka kabaliiii, Bosi...
  12. JamiiForums Tanzania Unga wa mkunazi, kibiriti na mafuta ya mzeituni dawa nyingine kwa wenye gundu

    huwa napenda kufanya uchunguzi hasa wa tiba za asili, miaka ya nyuma brother Mshana Jr alinipa funzo katika matumizi ya chumvi ya mawe niliitumia tiba hii kwa muda wa mwaka mzima japo kidogo nilikuwa nikikosea kwenye matumizi. Ili kujitakasa kwa kutumia chumvi inatakiwa uogee sehemu isiyokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tigo (Yas) jana mmetoa hizo gb 2 kwa watumiaji, Je wafanyabiashara wote wenye Lipa namba zenu walioshindwa kupokea malipo mnawafidia vipi?

    Eti ndugu zanguni YAS? Mnatufidia vipi sisi wafanyabiashara wenye Lipa namba zenu ambao tumeshindwa kupokea malipo kwa wateja wetu wa mikoani na online? Fanyeni utaratibu aisee, this is crazy.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wimbo kwa ajili ya Rais Samia, wenye tittle ya "In her hands"

    Wakuu habarini za wakati huu, nakuja mbele zenu muda huu kuwasilisha wimbo wangu ambao nimetengeneza mahususi kwa ajili ya Rais wetu, mama mpendwa tena kipenzi cha watanzania, unaoenda kwa kichwa cha "In her hands". Huu wimbo nimeuandika kwa lugha ya Kiingereza. nimekuja humu kutoa taarifa...
  15. JamiiForums Tanzania Uhuru Park Nairobi, Kenya nchi yenye uhaba mkubwa wa Ardhi, Vipi sisi Tanzania wenye ardhi tele na miji imejaaa Frame tupu?

    Miji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga. Nenda Arusha ni full majengo yalio jaa frame, eti Geniva ya Africa, Ardhi zilizo kuwa za wazi kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Usiumize watu wenye mioyo halisi ya upendo

    USIUMIZE WATU WENYE MIOYO HALISI YA UPENDO : Unapowaumiza watu wenye mioyo halisi na ya upendo wa dhati Kwanza hautagundua matokeo yake mapema kwa yale maumivu unayo watia🥵🧐🥺 : Hawatanyanyua sauti zao juu kukupazia,Bali machozi na huzuni vitazuka ndani yao🤮🤫 Wala hawazusha kesi,wala kuleta...
  17. JamiiForums Tanzania Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

    Tafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
  18. JamiiForums Tanzania Wadada wenye hizi Rangi wawekewe Ulinzi

    Wadada wenye hizi Rangi wawekewe Ulinzi
  19. JamiiForums Tanzania Kwako Ridhiwani Kikwete Waziri wa Vijana, Ajira na wenye Ulemavu

    Kwanza nianze kukupongeza Mheshimiwa waziri kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya kwenye wizara unayoiongoza..Hongera sana Mheshimiwa waziri niende moja kwa moja kwenye dukuduku langu lilonisukuma kupandisha hili wazo langu hapa kwenye jukwaa letu pendwa la JF. Mheshimiwa waziri ninajua fika...
  20. JamiiForums Tanzania Watu Wenye Uzoefu Pekee Watakwambia Haya

    Kuepuka kuumia wakubali watu kama walivyo na sio kwa vile unavyotaka wao wawe. Kwasababu hawawezi kuwa kama unavyotaka Tafuta amani kwa kufanya mambo yako na sio kufuatilia maisha au mambo ya watu wengine Jiangalie na kujithamini wewe mwenyewe kwasababu lolote likikupata watu wanaendelea na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…