wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Wenye akili waliobaki Tanzania ni wasiyojihusisha na siasa au dini

    Wooote wanaojihusisha na siasa au dini ni wajinga waliobaki nchini humu kwani wanachanganywa na kugeuzwa na viongozi wa siasa na dini wanavyotaka kama maroboti kila siku kuliwa tu.
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ina watu wengi magenius sana wenye IQ kubwa hususani vyuoni lakini serikali halijui jinsi ya kuwatumia

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema ni wanafunzi wa Kichina, kumbe ni wa hapahapa Bongo. Kwa mtu anayejua chuo cha MUST nadhani...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Wasabato tu na wenye Fikra Huru

    Wapenda katika bwana salam kwa jina la bwana wetu yesu kristo!! Ukihisi hujakua kihisia, au huwezi kushkilia Mihemko, au re avaluate mapokeo yako Logically tafadhali pita nimelileta kwenu kwasababu binafsi limenishinda!! Nimekuwa na mwanafunzi wa Bible kwa muda sasa karibu miaka mitano au...
  4. JamiiForums Tanzania Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu!

    Wakuu! Niongezee sautii ama? Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu ndugu mheshimu
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hela ni mwiba mkubwa sana kwa maisha ya wanaume

    1: Utawakuta wengi wao wanapenda shughuli shughuli na katika shughuli zao lazima wawashirikishe mchicha mwiba kutia shamsham na kuwapa sapoti mapapai ili na wao wajione watu wa maana 2: Utawakuta watoto wao wa kiume ni mayai mayai na mapapai ya baadae hakuna wanachoelewa kuhusu uanaume kutokana...
  6. JamiiForums Tanzania Dunia imejaa Smart People wenye Mashaka na Wapumbavu wenye Confidence.

    Kuna usemi "Dunia imejaa Werevu wenye Mashaka na Wapumbavu wenye kujiamini sana" Uzoefu unaonyesha kwamba watu wenye akili nyingi mara nyingi wana shaka, wakati wasio na maarifa mengi huwa na imani kubwa na uthubutu. Maarufu kama "Dunning-Kruger Effect," ambapo wapumbavu huamini sana bila...
  7. JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story tu?

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  8. JamiiForums Tanzania Tafiti isiyo rasmi inaonesha kwamba wanawake wenye nyusi nyingi juu ya jicho wanapenda kufanya mapenzi sana (high sex drive a.k.a libido)

    Copy code; Photo by: AI
  9. H

    JamiiForums Tanzania Wajinga wachache wanaoongoza wajinga wengi hawana makosa/dhambi bali wajinga wengi wanaoongozwa na wajinga wachache ndiyo wenye makosa/dhambi

    Hapa Tanzania. TAFAKARINI!!
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wenye elimu/wasomi ni wajinga mno katika nchi hii ya Tanzania

    Tatizo hawa waTanzania hawasimamii ukweli iweje usome hadi Phd ktk elimu ya miamba,maji,utabibu,uchumi,nk halafu usiifanyie kazi taaluma yako ukimbilie siasa/ubunge usio fani yako upige na magoti kuomba kura kwa wasio wasomi kama siyo ujinga ni nini?? Nani mjinga hapo asiyesoma ambaye...
  11. JamiiForums Tanzania Kupenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa Kunasababishwa na Njaa

    Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu...
  12. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenye Akili tunauliza je, hizi Jezi zetu mpya tunazotamba nazo kama Wendawazimu zimetengenewa na Kampuni gani ya Kimataifa?

    Na sisi wana Yanga SC tutashukuru sana tu kama tukitajiwa hiyo Kampuni ili tujiridhishe nayo kama kweli ni ya Kimataifa.
  13. JamiiForums Tanzania Wenye NIDA tukutane Uwanja wa Mkapa - Uapisho (November 2025)

    Wenye kitambulisho cha NIDA tuna furaha zaidi hivyo basi tukutane kwenye uapisho Uwanja wa Mkapa
  14. JamiiForums Tanzania Anahitajika muwekezaji au mnunuzi wa mgodi wenye riport zote za exploration upo Geita

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji muwekezaji au mnunuzi WA mgodi, mgodi huu umefanyiwa drilling hivyo sample na majibu ya sample vyote vipo. Alie na connection anitafute DM
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Sisi Wenye Familia ni Vitu Gani Muhimu Tunapaswa Tuwe Navyo Ndani ya Nyumba Zetu?

    Kwa haraka haraka ninavyovijua mimi ni 1. First AID Kit 2. Asali 3. Mzani 4……………
  16. JamiiForums Tanzania Online dating ni kwa ajili ya wenye muonekano mzuri na stylish life.

    Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu. Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga. Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal...
  17. JamiiForums Tanzania Wenye viwanja Safari City arusha kuna jambo

    Wenye viwanja Safari City arusha kuna jambo tunahitaji kuongea, embu tujuane kwanza, ishu muhimu sana
  18. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna nchi Afrika inaizidi Afrika ya kusini kwa wadada wenye makalio makubwa.

    https://youtube.com/shorts/ZE6JoCrTnxA?si=909EeGhifyHrywRl
  19. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wachinja wanavijiji 52 kule DRC

    Magaidi wa uislamu wameingia kwenye vijiji na kuendesha shughuli za kuchinja tu, yaani maskini wanavijiji ambao hata msosi kwa siku ni shida, wanakutwa na kutiwa mapanga na watu wa dini ya muarabu.... Islamic State-backed rebels armed with machetes and hoes have killed at least 52 civilians in...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Novena maana yake mgomo. Wakatoliki tuko kwenye mgomo. Mungu asihusishwe kabisa mana hasikii sala za wenye hasira (unafiki)

    Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never. Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…