wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Biblia Mwanzo 4: Kwa nini Kaini baada ya kumuua Abel, aliogopa watu wengine watamuua, hao watu ni kina nani?

    Msingi wa dini uko kuanzia mwanzo 1 inayoelezea uumbaji wa Mungu wa binadamu wa Kwanza. Baada ya Adamu kuubwa, alipewa mke wake akamuita Eva, wakazaa watoto 2, mmoja Abeli mwingine Kaini. Hao watoto mmoja akawa mkulima (Kaini) na mwingine Abel mfungaji. Mmoja, Abel akapata kibali machoni pake...
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

    Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wengine pamoja na Kujipendekeza kwetu Kwao ila bado hawatuthamini na hawatupi Heshima kama hii aliyopewa Ruto, Kenya na Wakenya

    Washington : Rais wa Marekani Joe Biden amemkaribisha mwenzake wa Kenya William Ruto katika ikulu ya White House kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku tatu na kuipa nchi hiyo ya Afrika Mashariki hadhi ya mshirika mkuu wa Marekani ambaye sio mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO. Chanzo: DW...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnaojiua kila siku nani aliyewaambieni kuwa sisi wengine hatukupitia changamoto kubwa za kimaisha kuwazidi?

    Nyie Watanzania wenzangu ambao kutwa napata taarifa za kujiua kwenu kwa kukata Tamaa ya Maisha au mnataka sasa na sisi (hasa mimi GENTAMYCINE) niwapeni Historia yangu kubwa ya mapito makubwa niliyoyapitia ya miaka saba mfululizo lakini nilijikaza na kuvumilia yote halafu hata wazo la kujiua...
  5. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hizi hapo title za kufanyia utafiti/ research kwa ajili ya wanazuoni na wadau wengine, title ambazo hazijafanyiwa kazi mpaka Sasa kwa sector zote

    Habari za Leo tena, karibu katika jamvi la story of change, jukwaa linaloibua mawazo mapya. Leo katika Uzi wangu huu, nataka wadau wote kutoka katika sector zote, tusaidie wadau na wanazuoni wanaotafuta titles za kufanyia research ambazo bado hazijawahi kufanyiwa kazi kabisa, naomba tuwe...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Na wengine tunaadhibiwa lini na Serikali ipi / zipi duniani?

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Iran, Mohammad Kazem Movahhed Azad, ameagiza watu wote wanaomtukana kwenye mitandao ya kijamii, aliyekuwa Rais wa nchi nchi hiyo Ebrahim Raisi aliyefariki katika ajali ya helikopta, wachukuliwe hatua kali. . Azad ametoa wito huo baada ya baadhi ya watu kuanza...
  7. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Tambua kuna watu basi tu wana bahati nzuri na wengine wana bahati mbaya

    Some people are just lucky sio kwamba eti wametoka kwenye familia tajiri au yenye kusapotiana au nchi iliondelea au labda ni juhudi zao, hapana au ni wezo mkubwa wa kiakili, ni basi tu kila wanacho fanya hawakitolei machozi, jasho na damu kama wewe. Wanaokuambia eti Hardwork beats Luck ni njia...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mwendesha mashtaka wa ICC: Niliambiwa hii Mahakama ni kwa ajili ya Afrika na wahuni wengine kama Putin.

    Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimatiafa Bwana Khan kwenye kipindi cha CNN anasena alionywa mwanzoni kabisa kwamba mahakama ya ICC ni kwa ajili ya Afrika na wahuni wengine kina Putin. Hivyo mahakama ya ICC hairuhusiwi kuwashtaki watu wa ulaya. Msikilize hapa...
  9. Mjina Mrefu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa ila natamani sana wanawake wengine

    Wakuu kwema? Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto. Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu...
  10. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Wadau mbona kama mitandao ya simu kuna mgao wa Internet ila hawasemi,vipi wengine mmegundua hili jambo

    Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania 14 wafariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kuanguka India

    Takriban watu 14 wameaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kubwa kuanguka wakati wa dhoruba ya ghafla katika mji wa Mumbai nchini India. Bango hilo, lenye ukubwa wa mita 70 kwa 50 kwa mujibu wa polisi, lilianguka kwenye nyumba na kituo cha petroli jijini siku ya Jumatatu...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia amepunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI - Waziri Ummy

    Katika Hotuba yake Bungeni, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake, amezungumza mambo mengi mazuri sana na ya kueleweka. Isipokuwa mimi labda kutokana na uchovu wa mwili , sijaelewa kwenye jambo hili , naomba Aliyeelewa anieleweshe Natanguliza Shukrani
  13. G

    JamiiForums Tanzania Family business: Mke wa kamshika masikio kaka, anazidi kuingiza ndugu zake, ndio mwanzo wa hostile takeover ??

    kuna family business ya close relatives naona inakoelekea sio kuzuri and i am so concerned, Binafsi nimepewa huu mkasa na moja wanafamilia ila nikaona mawazo yangu pekee yanaweza yasitoshe. OK ipo hivi.... Inatokea mna family business mliachiwa na wazazi muisimamie. Kaka mwenye nafasi kubwa...
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Huyu Dr sulle na wengine muwe mnawatafakari wanacho kiongea kama na wenyewe sijui kama wanaelewa wanayo sema

    Sipendi sana kuingia kwenye hizi online Tv sababu nyingi zina watangazaji njaa na taaluma zao. Tuje kwenye mada Dr sulle huyu anaojiwa na kudai Quruan ndio imeleta kila kitu ambayo sehemu kubwa agano la kale limetoka kwenye quruan,Hapo hapo nikakata kuangalia. sijiu kama anafahamu dini ambazo...
  15. John_Anthony

    JamiiForums Tanzania Sababu ya watu kuogopa kutoa ushahidi kwenye baadhi ya matukio aliyo shuhudia live na wengine baadhi hukimbia kabisa

    Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi huu kutokana na mambo yanayo fanyika kwenye jamii zetu haya mambo yanaumiza sana😭 mitaani kumekuwa na...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa

    Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ulaya na Marekani wanapata wapi vibali vya kuwakemea wengine?

    Marekani wakitumia nguvu kuzima maandamo ya wanafunzi wa kupinga nchi yao kuwasaidia Isreal. Kwanini sasa Marekani wanapofanya nchi nyengine wanakuwa wakali sana? Sababu wanazotoa Marekani kuzima maandamnao haya ni nyepesi kuliko nchi nyingine wanaotoa sababu za kuzuia maandamano kama haya.
  18. R

    JamiiForums Tanzania PSSSF imeshindwa kulipa pensheni za wastaafu. Wengine sasa ni zaidi ya mwaka hawajalipwa

    Kila wakienda wanapigwa danadana bila maelezo ya kueleweka. mwaka mzima, wengine miezi 4, 5, 6 etc etc. Waziri mwenye dhamana ni nani? Nina uhakika anajua hilo, na habari za ndani ni kuwa wamefilisika hawezi lipa mafao ya wastaafu kama lumpsum, na malimbikizo ya kila mwezi kwa ambao tangu...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania TMA wakitoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa shule zifungwe kwa kipindi hicho, tusisubiri wengine wazame tena

    Wakuu, salama huko ulipo? Wataalam wa hali ya hewa wakitoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha shule zifungwe kufuatia matangazo hayo, kama tangazo hili lililotolewa juzi. Wote tunajua ni hatari kipindi hiki, kwanini shule hazichukui iniative kuongeza usalama kwa watoto. Halafu cha kushangaza...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Samahani nauliza tu je, na Helikopta za Wengine nazo ziko salama kwani Israeli sasa kabadili Formula ananyakua Juu kwa Juu tu

    Kuna moja sijui kama bado ipo pale EAC Block kila ikiruka ni lazima ikate Kwanza Kiuno kidogo na Kupinda ili ipate Mwelekeo. Na hata ikiwa inatua ni lazima Boza la Maji liwe Jirani ili Kuipoza. Na nasikia kuna wakati huwa inatumiwa sana na Baba, Mama, Mpaka Supa Blaki na Sura Ngumu Funga Buti...
Back
Top Bottom