wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawafanyi shughuli za uzalishaji, wanaishi kijanja tu

    Shughuli ya uzalishaji ni shughuli ambayo inazalisha bidhaa au huduma Nchi nyingi kama China, Russia, South Korea, Angola, Nigeria n.k zimeendelea Kwa kuwa asilimia kubwa ya wananchi wanashiriki katika uzalishaji kama viwandani, kilimo, ufugaji, madini, huduma n.k Hapa kwetu vijana wengi wapo...
  2. JamiiForums Tanzania Je ni kweli kua mazoezi yanakula mwili?

    Je ni kweli kua mazoezi yanakula mwili?? Mwili ndio mwili Yaan unaisha
  3. JamiiForums Tanzania "Wake Wengi Katika Uislamu: Hekima, Masharti na Ukweli Usiojulikana!"

    Katika mjadala wa ndoa ya wake wengi, Waislamu mara nyingi hujadili aya ya Qur’an: "Na mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu kwa mayatima; basi oeni waliokupendezeni katika wanawake wengine; wawili au watatu au wanne. Lakini mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu, basi mmoja tu."...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa sasa kwenye mahusiano wako kibiashara (wana selfish motives), wanaume tuache ku-fantasize romantic cinderella stories

    Habarini Nliingia kwenye insta story ya niffer, aliuliza wadada ni kitu gani kinafanya wawaheshimu zaidi wanaume walio nao, almost 95% of them walijibu maokoto, na their replies zilikua na umimi mwingi , me, me me, me, & me ananifanyia hiki. Wadada wachache walisifu "utu wema k.v loyalty...
  5. JamiiForums Tanzania Wakristo na Waisilamu wengi hawaujui Uisilamu. Hapa utaufahamu vizuri ili nawe upate kitu. Sikiliza kwa Utulivu

    Hapa nataka watu wajifunze Uisilamu. Wanausikia sikia tu. Ila hawaufahamu. Sasa ni muda wa kuufahamu. Nasisitiza. Hatutaki matusi na kashfa kwa uzi huu. Ni uzi wa kutoa Elimu naomba moderators msiingie kwenye mtego. Mimi niliyeuanzisha sina Dini. Ila nlikuwa Muisilamu na si mbaya nikiwaambia...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wameolewa na wanaume ambao sio chaguo lao

    Almost 80% ya wanawake wanaishi na waume ambao sio chaguo lao halisi. Yaani they just " settled" with their current husbands baada ya kushindwa kupata wanaume WA ndoto Zao. Kwa utafiti uliofanywa, wanawake 7 Kati ya kumi walikiri wanaishi na mwanaume ambaye hakuwa chaguo lake kwa asilimia 💯...
  7. JamiiForums Tanzania Watuamiaji wengi hapa bongo wa viagra wanadhani kuwa itawasaidia kuchelewa kumwaga na kuimarisha munkali lakini inaboresha uwezo wa mtalimbo kusimama

    Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda. Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa maana ya kuchelewesha kumwaga au kuongeza muda wa kujamiiana. Kazi yake ya msingi ni kuwasaidia...
  8. JamiiForums Tanzania MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:

    MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI: Katika Mambo haya Hakuna yametofautiana kutokana na Aina ya maisha mnayoishi na mumeo lakini wanaume wengi wapo hivi. 1__.MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA: 2__ MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA: 3__ MWANAMUME ANAHITAJI MUDA WA...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waliofanya Uandikishaji Vitambulisho vya NIDA, Nsololo - Uyui hawajakamilisha kazi, bado watu wengi hawajakamilisha mchakato

    Zoezi la uandikishaji Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambalo limefanyika kwa siku mbili katika Wilaya ya Uyui hapa Tabora lilipokelewa vizuri na Wananchi na inawezekana mwitikio umekuwa mkubwa kuliko walivyotegemea. Watu walikuwa wengi kiasi cha kusababisha changamoto kadhaa ikiwa ni pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania Fursa/ kazi watu wanapiga pesa ndefu na hazijastukiwa na wengi

    Binafsi me ni msomi na Kwa Sasa nimejiajiri katika kilimo. Kama kawaida kilimo Kuna kipindi tunapata Kuna kipindi hali inakuwa mbaya mno Kuna fursa au taaluma zinalipa Kwa vijana, Ile kijana kusomea kupasua miamba, sijui doctor wa ubongo, sijui ualimu wa physics umalize ukose kazi au ulipwe...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wetu elimu haijatusaidia, hadi suala hili linapoibuka kuleta ufahamu kwa wasomi

    Wasomi wengi nchi hii elimu haijawasaidia, wapo baadhi na mimi binafsi wanyooshea mikono. Makundi mawili elimu imewasaidia, 1. Walioamua kukaa pembeni na kufanya siasa. Ni katika kundi hilihili wanaharakati mbalimbali hawa Allah ataweka mbali na moto inshaalah. Hapa hawamo watu kama au jamii...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Ukristo unakataza kuoa wake wengi?

    Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie...
  13. JamiiForums Tanzania Wakatoliki wenzangu hivi ni kwanini Mapapa wengi huwa tunawachagua wakiwa ni Wazee na huja Kugundulika na matatizo ya Kiafya baadae

    Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya...
  14. JamiiForums Tanzania Mnaacha Kuwaombea Watanzania wengi wenye Shida mbalimbali 'Mnajipendekeza' Kumuombea Mtu ambaye ni Tajiri hadi Umauti wake

    Watumishi wa Mungu Tanzania wakiongozwa na Mtume @mtume_boniface_mwamposa wameandaa kongamano maalumu kwa ajili ya kumuombea Dua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @samia_suluhu_hassan na kuliombea Dua Taifa la Tanzania liepukane na migogoro ya kisiasa, vita na kila aina ya baya...
  15. JamiiForums Tanzania Mabinti wa haya makabila wengi wao haupati upinzani mkubwa ukirusha kamba

    Wajaluo Wairaq Wanyaturu Wajita Wazaramo Wadigo Wamakonde Wahaya.
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wengi wa taasisi hawana busara ya kuongoza watumishi wa Umma

    Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali. Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao wa taasisi wanavyowafanyia yanafanana karibu kila taasisi. Viongozi wanafanyia kazi habari za...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kujihisi kuchelewa imefanya wengi wachague bila utulivu na hatimaye kujichelewesha zaidi

    Kuchelewa sio nadharia bali kupo ila inatakiwa udhibiti hisia za kuchelewa ili usijipoteze zaidi Zipo sababu nyingi zinafanya watu wachelewe ila bila kujali kuwa ulicheleweshwa au ulijichelesha ni muhimu kuwa na utulivu zaidi hasa pale unapojiona kuchelewa. Kushindwa kudhibiti hisia za...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ninayeliona hili kwa Haji Manara na Mkewe Zaylisa ni Mimi peke yangu tu hapa JamiiForums au tuko wengi?

    Kila nikiangalia Picha za Matukio mbalimbali ya Haji Manara na Mkewe Zaylisa naona ni kama vile Haji Manara ni Mtumwa Tukuka, analazimisha Kupendwa na Mkewe Zaylisa halafu ananyenyekea kiasi kwamba huenda hata huwa anampigia Magoti Mkewe Zaylisa ili asimuache. Na hata nikimuangalia Mkewe...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Si kila kitabu kwenye Biblia ni kwa ajili ya wakristo wote

    Amani iwe kwenu wapendwa! Siku ya mwaka mpya nilikutana na Baba yangu mdogo ambaye alisomea upadre hadi level ya ushemasi na kwakweli alibakiza muda mfupi sana kupewa daraja la upadre, isivyo bahati aliacha kuendelea na wito wa upadre na hivyo aliamua kuwa mlei (mwanandoa). Sasa juzi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…