Wakiwa madarakani wanakuwa na viburi, kejeli, ubabe na dharau kwa wananchi wao.
Ikifika muda wakaondolewa wanaanza kuona kama wanaonewa kwa sheria walizoziweka wao au mambo waliyopelekea kufikia hapo.
Tumeona kwa Marehemu Mugabe, Ali Bongo, Saddam na n.k