wekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Scared

    Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
  2. Scared

    Wakuu naomba kuelekezwa jinsi compound interest ya M wekeza inavyofanya kazi

    Nimewekeza kwenye kampuni ya sanlam ambayo imeungana na Vodacom Na kuita jina M Wekeza Sasa nilitaka kujua pale kwenye hii huduma nikichukua asilimia na pesa zangu ninazoweka Kwa mwaka wananimetea kiasi Fulani ambacho nataka kujua he hicho kiasi ndio kimejumuishwa na compound interest au ni...
  3. M

    Usipojua unachokitafuta utaendelea kusema siku yako bado kumbe ilikuja lakini hukuijua mkapishana

    Nguvu nyingi wekeza kwenye kujua unataka nini ili usiendelee kusumbuka na kila chaguo linalopita mbele yako kwa sababu unaweza kusema hujaona chaguo lako kumbe tayari lilikuja ukapishana nalo kwa kutolijua. Wengi tunawekeza nguvu nyingi kwenye kutafuta lakini hatujui tunachokitafuta kikoje ndio...
  4. Scared

    Hivi mtu na akili zako timamu unawekezaje milion 10 Ili ikuletee faida ya elfu 99 m wekeza huu ni ukichaa

    Yaani mtu unaweka milion 10 Ili ikuletee elfu 99 Kwa mwezi hivi watu wa aina hii Kuna rafiki yangu anamiaka 30 anafanya huu ujinga hivi Hawa watu waga wamerogwa maana hii pesa ukiifanyia biashara unavuna mpunga wa maana sana Kila mwezi aisee embu vijana changamsheni akili acheni kuzubaa
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wekeza sasa kwenye soko la nyumba (Real Estate)

    SOKO LA NYUMBA NCHINI TANZANIA; (RESIDENTIAL MARKET) Soko la Nyumba nchini Tanzania limetawaliwa na Wamiliki binafsi (Wananchi) wa Tanzania na Mashirika ya Umma(NHC, NSSF na TBA). WAHUSIKA WAKUU:- 1.Wamiliki wa Nyumba zisizo na Upimaji ( Individual Unsurveyed Dwellings )=70.00% Mfano Nyumba za...
  6. Genius Man

    Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya

    Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya. Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa sasa na haki hakuna tena, kuwekeza Tanzania alafu ni raia ni sawa na kujiwekea kitanzi au mnasemaje...
  7. Dalali_wa_kimataifa

    YARD &GODOWNS FO SALE

    Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni, Ukubwa wa eneo ni 2 Acres Bei 2.5bill tsh Document: Available Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #plot #sale #realestate #housforsale #plotsforsale #godowns
  8. stabilityman

    Wekeza weka akiba ili uishi vizuri kesho

    Unataka kufikia uhuru wa kifedha? Ni lazima upitie hizi hatua sita.. Na ili ufike hatua ya sita ni lazima upitie hatua y Akiba kisha uwekezaji 1. Tengeneza Bajeti ya Kila Mwezi Tambua kipato chako na angalia matumizi yako yote. Lenga kutumia chini ya unachopata. Tenga asilimia kwa kila...
  9. Scared

    M wekeza Raha sana aisee nasubiri mpunga tu nikiwa na Taulo kibarazani nikinywa maziwa wife akiandaa vinono

    Habari za kuhangaika barabarani Sasa hivi kwisha hela yangu ndio inaniletea pesa mwaka huu watu mtaani watajiuliza nafanya kazi Gani ni mwendo wa kugegeda watoto wakali hahaha
  10. Scared

    M wekeza ni bonge la uwekezaji kutoka Vodacom kwa watu wenye mpunga wa maana

    Wakuu hii huduma ya Vodacom m wekeza ni bonge la uwekezaji aisee yaani nimetia pesa huko Sasa hivi nafanya kazi ya kuamka na Taulo huku nikinywa maziwa pesa yangu ikiniletea faida halafu uzuri wanaweka pesa. Tarehe 3 tu mwanzoni mwa mwezi mungu anipe nini mimi
  11. Imani rubaba

    Wazo la kibiashara: Wekeza 280,000 kwa mwezi katika ng’ombe wa maziwa, upate hadi 930,000!

    Hivi karibuni tulitoa andiko kwamba ukifuga ng'ombe wa maziwa mmoja tu, unaweza kupata kati ya TSh 600,000 hadi 900,000 kwa mwezi. Pia, tulieleza jinsi hii ilivyo fursa kubwa kwa watu wengi, hasa wale wanaoishi mijini. Leo hii nakuletea mchanganuo wa gharama, mapato na faida, ili uone mwenyewe...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Benki ya Dunia Kuwapa Mitaji Vijana watakao wekeza kwenye nishati

    Benki ya Dunia imesema ipo tayari kutoa mitaji, dhamana na usaidizi wowote ili kuhakikisha Sekta binafsi inakuwa kipaumbele hususani katika kuwasaidia Vijana wa Afrika kufikia ndoto zao na maono yao kwa kuwekeza kwenye Sekta ya nishati. Akiongea wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...
  13. Hammer11

    Brooo wekeza kwenye maisha yako sio wanawake

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  14. Mshamba wa kusini

    Kama unataka kupata ajira wekeza muda mwingi katika utafutaji ajira epuka biashara itakayokula muda wako

    Habari Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa. Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
  15. Tman900

    Wekeza katika maisha yako, usiwekeze katika mapenzi

    Sio Vizuri kumsema mtu ila inatakiwa Kujifunza kupitia Wengine. Kuna Rafiki yangu alikua na Maduka Matatu Leo hii Hana Duka hata Moja. Jamaa alikua na Familia yake ambayo alitoka nayo kijijini Kuja mjini, walianza na Duka Moja, msingi ukakua na wakapata maduka Matatu, baada ya mda mshikaji...
  16. greater than

    Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa, faida yake na mtu unawezaje kushiriki

    Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa,,,,Hisa ni nini,faida yake ni ipi na mtu unawezaje kushiriki.... Karibuni katika Darasa hili by Mwalimu Architect Kabla ya kwenda moja kwa moja kwenye Hisa,hebu tujuzane juu ya Kampuni. 1. KAMPUNI : Ni biashara iliyo sajiliwa kisheria kwa ajili ya kutoa...
  17. B

    Wekeza Milioni 7 upate Milioni 20 ndani ya miezi 6

    Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake gunia la debe sita la mpunga ni 30000. Na gunia la mahindi la debe sita linasoma 42,000. Kama una...
  18. youngkato

    Wenye miaka zaidi ya 30, kitu gani unajutia kufanya/kutofanya kabla ya kufikisha miaka 30?

    Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings. Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja. Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote imekufa. Ongezea tujifunze
  19. F

    Kijana ambaye upo chini ya miaka 25 , wekeza kwenye kujenga brand ya jina lako. Ajira zipo ukiwa na jina kubwa

    Habari kijana under 25. Kama bado upo Chuoni jitahidi usome kwa bidii uwe nondo kwenye proffessional unayosomea. Ila pia uwe na extra callicular ya kukufanya ujulikane na kukujengea jina kubwa . Hakikisha mpaka unafika 30. Uwe maarufu kwa ujuzi fulani. Mimi nakushauri kama unatoka ukoo ambao...
  20. M

    Rais Samia acha kushughulika na Simba na Yanga kisiasa. Wekeza kwenye maendeleo ya Watanzania

    Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasa
Back
Top Bottom