waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    PostGE2025 Jumaa Aweso asalia kuwa waziri wa idara ya Maji, Naibu waziri Kundo Andrew Mathew

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 17, 2025 ametaja Majina ya Baraza la Mawaziri ambapo katika Idara ya maji JWaziri ni Jumaa aAweso na Naibu waziri ni Kundo Andrew Mathew
  2. PostGE2025 Nini sababu ya Makonda kuwekwa Naibu wa pili katika Wizara ya utamaduni?

    Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili? Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa? Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje Wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
  3. PostGE2025 Mchengerewa ateuliwa kuwa waziri wa Afya

    Wizara ya Afya Waziri ni Mheshimiwa Muhammad Omar Nchengerwa na Naibu Waziri wake ni Mheshimiwa Dkt. Florence George Samizi.
  4. PostGE2025 Joel Nanauka ateuliwa kuwa Waziri wa Vijana

    Wizara ya vijana itakua chini ya ofisi ya Rais hivyo Nanauka hatokuwa na msaidizi
  5. PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

    Rais Samia akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino - Novemba 17, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27 na naibu mawaziri 29 aliowatangaza leo tarehe 17 Novemba, 2025 kama ifuatavyo:- 1. Ofisi ya Rais -...
  6. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amkatalia Waziri Mkuu wa Norway kutembelea Israel

    Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu alikataa ombi la Waziri Mkuu wa Norway kuzuru Israel - na ndivyo ilivyo. Norway iliunga mkono mashtaka ya ICC dhidi ya Israel, ilitambua taifa la Palestina, na kiongozi wao hata alihudhuria tukio la kupinga Uzayuni la Kristallnacht. Israel haina nafasi...
  7. PostGE2025 Je, waziri mkuu anajikomba kujifanya anatembelea hospitali kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi

    je, waziri mkuu haramu anajikomba kijifanya anatembelea hospital kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi. Mimi nafikiri huu ndio mwisho wake hawezi kutembelea wananchi uso kwa uso nchi imeshagawanyika hii. Hayupo na hata kuwepo mtu atakaye kuwa na ubavu wakuingia mitaani kwa watu ambao...
  8. WAZIRI MKUU MWIGULU AFIKA na MKEWE KANISANI USHARIKA WA KISASA DODOMA na ULINZI MKALI - AFIKISHA SALAMU za RAIS SAMIA AMANI

    WAZIRI MKUU MWIGULU AFIKA na MKEWE KANISANI na ULINZI MKALI - AFIKISHA SALAMU za RAIS SAMIA AMANI...cc; BAKARI MAHUNDU https://youtu.be/wEZdUyMljiQ?si=f7KAhBCRRdLsfD70
  9. PostGE2025 Tutajarajie nini kwenye hotuba ya Rais Samia leo akifungua bunge na kumwapisha waziri mkuu mpya

    Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police, Vyombo vya...
  10. D

    PostGE2025 Safisha safisha Ngorongoro Awamu ya II: Makonda kupewa Maliasili na Utalii

    Mpango wa muda mrefu ni Makonda kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Kupelekwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na baadaye “kutengenezwa” kuwa Mbunge wa Arusha haikuwa bahati mbaya. Niwape tu taarifa Wamasai hasa wale mliokuwa mkifika kula nyama za Makonda kwenye matamasha yake: Inakuja...
  11. Majukumu ya Waziri Mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameyaweka wazi majukumu makubwa ya Waziri Mkuu wa Tanzania kama yanavyoelezwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majukumu hayo na mengine ndiyo yanayotarajiwa kutekelezwa na Dkt. Mwigulu Nchemba aliyeteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  12. PostGE2025 Nini maana ya kuwa na waziri mkuu pamoja na makamu wa Rais?

    Kuna maana gani ya kuwa na waziri mkuu ambae anakuwa appointed na president, wakati huo huo tuna vice president ambae pia anaingia kitini kupitia ticket ya rais. It's useless to have the PM as the head of the government, being appointed by an individual (President). It's even foolish to have...
  13. Yupi waziri mkuu ajaye?

  14. LIVE BUNGENI: UTEUZI WA WAZIRI MKUU MPYA, RAIS SAMIA KUHUTUBIA LEO

    https://www.youtube.com/live/HC9UL5gBJzE?si=xsGjR6En5h3eFIvJ
  15. R

    Waziri Mkuu Musalia Mudavadi aonya Wakenya kuvuka mipaka kushiriki siasa za nchi jirani

    Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru wanaoufurahia nyumbani, hususan uhuru wa kujieleza, haupo kila mahali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
  16. PostGE2025 Tulia kuanza kupata mafao kama Spika Mstaafu, sasa ni mbunge na bado hajateuliwa kuwa Waziri! Halafu bado kuna mtu hataki mabadiliko!

    Spika mpya akipatakana na kuapishwa Tulia Ackson atakuwa Spika Mstaafu. Tulia ataanza kula mafao yake halali kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Kustaafu kwa Watumishi wa Kisiasa sura ya 225 [The Political Service Retirement Benefits Act (Cap. 225)]. Mafao hayo yanajumuisha: Kiinua mgongo ambacho...
  17. L

    Huyu Hapa Ndiye Waziri Mkuu Mpya Atakayeteuliwa Na Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Najua wengi wenu mnajiuliza maswali juu ya nani atakuwa waziri Mkuu Mpya wa Tanzania. Najua mna kiu kubwa sana kutokana na umuhimu na unyeti wa nafasi hiyo kiutendaji na kiutawala ndani ya serikali yoyote ile Duniani. Kwanza ifahamike ya Kuwa waziri Mkuu kikatiba...
  18. GE2025 Waziri Kombo: Dar es Salaam ni shwari, kuna amani

    Mheshimiwa Kombo kathibitisha Dar es Salaam ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida kabla ya saa 12 jioni. Kuhusu internet ni kuwa itarudishwa kesho. Alihojiwa na BBC. Hakika mama anaupiga mwingi.
  19. M

    GE2025 Thabit Kombo: Mpaka sasa hakuna matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29. Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna...
  20. Uliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Muda wako umekoma jana Kikatiba. Koma kuongelea mambo ya Tanganyika!

    Wewe Kombo, unawasiliana na Mataifa ya Nje na wawakilishi kama nani? Kwa mujibu wa Katiba hii hii muda wako wa Uwaziri umekoma jana siku ya Uchaguzi na sasa wewe ni raia wa kawaida tu JWTZ tunaomba mumuweke ndani huyu mshenzi fisadi ndugu yake na Samia Thabit Kombo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…