waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Tetesi: Waziri wa Mambo ya Ndani (Simbachawene) yasemekana aliandika barua ya kujiuzulu

    Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo. Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza. Polepole alitoa barua...
  2. K

    Makonda haruhusiwi kuingia USA-World cup hata kama waziri

    Makonda haruhusiwi kuingia USA-World cup hata kama waziri The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of...
  3. K

    Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!!

    Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!! Mapolisi sasa wa juu wanajiona wanamzidi mpaka waziri!! wameshanusa damu sasa wanajiona kama Simba
  4. Makonda kuteuliwa kuwa waziri wa habari maana yake ni moja tu

    Uhuru wa habari utazidi kuminywa.. Vyombo vitazidi kuminywa na mateso yatazidi zaidi.. Maana ya kumteua ni moja tu.. Kumaliza yale yote yaliyobaki... Kumbuka huyu ni mpenda Sifa yaani hapo Dully Sykes akajifunze.. Kwa hiyo tutegemee sana wimbo wa mama this ... Mama that.. Uzuri ni kwamba hata...
  5. R

    Waziri Mkuu wa Ivory Coast ajiuzulu

    Rais wa Côte d'Ivoire, Alassane Ouattara, amekubali kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Robert Beugre Mambe pamoja na serikali yake siku ya Jumatano, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais. Hatua hiyo inafungua njia ya kuundwa kwa serikali mpya kufuatia uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27...
  6. Tumeona 2008 Waziri Mkuu akijiuzulu, je inaweza tokea Makamu wa Rais Tanzania akajiuzulu?

    Swali tu wananchi wanaomba sana uwajibikaji katika kila sekta, je inaweza tokea makamu wa rais akajiuzulu? Uwajibikaji si dalili ya udhaifu, bali ni hatua ya kwanza ya upendo baada ya kushindwa. Na hili Mara zote viongozi wa Afrika uwa wanashindwa, Kwa ka skendo fulan nimepata ! Je yawezekana...
  7. Dr.Slaa: Msemaji wa Wakatoliki feki aliwahi kucheza deal na Waziri Mkuu wa sasa

    Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa waliwahi kucheza deal na Mwigulu Nchemba kuisingizia ugaidi Chadema. Dr. Slaa amesema...
  8. Waziri Mkuu Nchemba, hazungumzi na watanzania, anazungumza na CHADEMA

    Kila nikimsikiliza akiwa jukwaani nakuja kufahamu kwamba Waziri Mkuu anahutubia kwa mipasho mikali sana huku akiwajibu CHADEMA, ni kama vile haelewi madai ya CHADEMA au anafanya makusudi. Kama ilivyo kawaida yake tangu huko alipotoka. Huyu ni MUHAFIDHINA. Wakati nchi imevimba kwa yaliyotokea ya...
  9. Mlio karibu na Waziri Mkuu mwambieni ajitahidi kuacha kuropoka anaaibisha kiti chake

  10. Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

    Wewe kataa kwenda Ubalozi. Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani). Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako. Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa umeamua kujiuzulu. Tangu umefika ofisi kuu, umesababisha ujinga mwingi sana nchini. Umeumiza wengi...
  11. H

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  12. Maagizo ya Waziri Mkuu kutaka UKOO MZIMA kukamatwa kwa makosa ya ndugu yao si sahihi kisheria!

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo. Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Justine Masejo, kijana huyo apatikanae na ikiwezekana ukoo...
  13. Waziri Joel Nanauka vitabu vyako na kuongea kwako sasa hivi ungemzidi Modewiji kwa utajiri ila sivyo ndivyo

    Mimi navyo fahamu,watu ambao wameshafika kuandika vitabu wanauwezo wa maarifa kuyatumia. Ila hapa tanzania ni tofauti asilimia kubwa mfano Yeriko nyerere hata ujasusi wenyewe hawezi. Sasa huyu bwana Joel ni maneno mengi unaweza kusema jamaa anaweza maisha yake binafsi kumbe sio bora hata...
  14. Waziri Nanauka: Serikali kuanzisha kampuni laki moja na ajira Milioni moja

    Serikali imetangaza mpango wa kuanzisha Youth Special Economic Zones (YSEZ) utakaotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa lengo la kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa uzalishaji na utengenezaji badala ya uchumi wa usambazaji na uuzaji pekee. Akizungumza kuhusu mpango huo...
  15. WAZIRI WA ELIMU CHUKUA TAHADHARI SEKONDARI YA BEATRICE SHELUKINDO YA KILINDI

    Mh. Pamoja na kwamba kuna usemi: don't judge book by its cover, uhalisia ni kwamba wakati mwingine umbile la nje la kitabu linaakisi yaliyo ndani. Kwa binadamu mavazi yako yanaakisi hadhi yako, kwa vitu kama magari, simu, nyumba nk. Umbo la nje linaakisi hali ya ubora iliyop ndani ya vitu...
  16. Penye miti hakuna wajenzi kwa nini serikali ya CCM inataka wasio umuhimu wakati tuna mtu Malisa GJ anaweza kuwa chachu waziri wa vijana na wananchi

    Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi. Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15. Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
  17. Ushauri wa bure kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso, acha kulialia! Chukua mawili matatu kutoka katika nondo hizi

    Mie hapa New York pana kaubaridi (nyuzi joto kama 6 hivi si haba) na nimekula pilau ya Xmas ambayo kapika shemeji /wifi yenu alifundishwa na mama mkwe wake kupika pilau ya maana. Wakati huohuo nimeweka ile muziki ya Bongo Classics nakula muziki taratibu kushusha msosi. Lakini hapohapo nafikiria...
  18. MAMA NAIBU WAZIRI MKUU NAOMBA APEWE HUYU

    mtu pekee anae aminiwa na vijana KWA Sasa ni MIKA CHAVALA basi kama haiwezekani maana si mwanachama wa chama Fulani basi APEWE hata unaibu wa wizara ya vijana.
  19. Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

    Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare. Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna. Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais...
  20. BAKWATA mbona mnachelewa kumjibu msomi, jaji na Waziri mkuu staafu, Mzee Warioba

    Assalam Alyekum! Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba. Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru Njoo mpe majibu huyu Mzee Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…