waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Silaa ameweka jiwe la msingi Shule ya Sekondari Sekoutoure iliyogharimu zaidi ya Shilingi bilioni moja

    Waziri Habari, Mawasiliano na Teknilojia ya Habari, Jerry William Silaa ameweka jiwe la msingi Shule Mpya ya Sekondari Sekoutoure iloyopo Kata ya Ilongero Wilaya ya Singida kuashiria uzinduzi rasmi wa shule hiyo ambayo ujenzi wake umegharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi bilioni moja. Shule...
  2. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Wajasiriamali Wapewe Elimu ya Kurasimisha Biashara

    NAIBU WAZIRI KIGAHE: WAJASIRIAMALI WAPEWE ELIMU YA KURASIMISHA BIASHARA Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amezitaka mamlaka za Serikali zinazosimamia sekta ya biashara nchini kutoa huduma bora na kuwalea wajasiriamali ili waweze kufanya uzalishaji wenye tija na kuongeza...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima, wanafunzi kufukuzwa shule sababu ya picha za utupu siyo suluhisho na haiwasaidii, wanatakiwa kupewa mwongozo na kuelewa athari zake

    Waziri Dkt. Gwajima D salam, Moja ya tukio kubwa wiki hii ni suala la wanafunzi zaidi 100 kukutwa na simu shuleni na baadhi yao kufukuzwa baada ya kupiga picha za utupu na picha hizo kusambaa. Katika kushughulika na suala hili busara inahitajika zaidi kuliko kukurupuka. Kwanza tuelewe hawa na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Marekani yamkumba ya vishindo vya wakoma, Hezbollah wakifanya yao Tell Aviv!

    Haya yamewakuta waziri Blinken na ujumbe wake walipokuwa Israel: Ataamini huyu kuwa Nasrallah, Haniyeh au Sinwar ni marehemu? https://m.youtube.com/watch?v=sG0ss7AfVvM Ama kweli vishindo vya wakoma viliwakimbiza washami!
  5. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi Yoav Gallant asema baada ya kuipiga Iran dunia itaelewa mchakato wa maandalizi na mafunzo namna ulivofanywa na IDF

    Wadau hamjamboni nyote? Mjisomee wenyewe hapo chini kwa kimombo: Gallant at IAF base: After we strike in Iran, world will understand all our training By Emanuel Fabian Follow and Agencies Today, 5:19 pm Defense Minister Yoav Gallant on Wednesday told pilots and air crews at an airforce base...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwa huu utitiri wa ajali Hayati Magufuli aliwahi kumtumbua Waziri

    Nakumbuka Magufuli aliwahi kupewa maneno magumu sana baada ya ajali kuongozana kwa wingi. Unaweza usione mantiki ya uamuzi ule lakini ukweli ni kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uongozi unaolegalega na ajali ambazo zinaondoa maisha ya watu kila siku. Inaniuma sana kusikia karibia kila...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola Apia, Samoa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 49 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaoendelea Apia, Samoa kuanzia Oktoba 21 hadi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba Kabudi atokomea kusiko julikana katikati ya mahojiano na Sauti ya Ujerumani DW

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi hivi karibuni alikuwa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha DW ambapo katika mahojiano Kabudi na mtangazaji Sudi walizungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea Tanzania kabla ya Waziri huyo kuondoka mwishoni mwa mahojiano hayo bila kuaga...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

    https://www.youtube.com/live/iqytGMZ2IcA?si=lDqC4sL9BZTHvY1J Muhtasari wa matokeo ya uandikishaji Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura. Hii ni sawa na asilimia 94.83 ya lengo la kuandikisha watu 32,987,579, ambapo wanaume ni takribani 15,236,772 sawa na asilimia...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Azindua Magari 25 ya Tume ya Madini

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI 25 YA TUME YA MADINI Ikiwa ni mkakati wa kuimarisha usimamizi katika Sekta ya Madini hasa kwenye ukusanyaji wa maduhuli, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amezindua magari mapya 25 kwa ajili ya kusambazwa kwenye Ofisi za Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa sambamba...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni akabidhi magari 77 kwa Jeshi la Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelikabidhi Jeshi la Polisi magari 77 kwa ajili kurahisha utekelezaji wa majukumu yake ya kusimamia usalama wa raia na mali zao ikiwa ni mwendelezo jitihada za Serikali kulifanya Jeshi hilo kuwa la kisasa lenye vifaa, na weledi wa kuzuia...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Mwanaidi Khamis: Tuondokane na matumizi ya nishati isiyo safi kulinda afya zetu

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Khamis ametoa rai kwa jamii kuondokana na matumizi ya nishati zisizo safi ili kulinda afya zao. Khamis ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akihamasisha wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi na kuanza...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Israel awataka wapiganaji wa Hamas kunyoosha mikono juu na kujisalimisha na kuwaachia huru Mateka

    Wadau hamjamboni nyote? Hamas nyoosheni mikono mjisalimishe! Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: --- Gallant calls on Hamas fighters to surrender, release hostages following Sinwar killing Defense Minister Yoav Gallant calls on Hamas fighters to release the hostages and surrender following...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Mchengerwa atangaza tarehe ya Ukomo kwa Viongozi wa Serikali za Mitaa, watakiwa kukabidhi nyaraka za ofisi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza rasmi tarehe ya ukomo wa viongozi wa mamlaka za Serikali za Mitaa ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa. Hatua hii inakuja kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu. Mchengerwa amesisitiza kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil yuko sahihi, kwanini Waziri Jr Shemtembo hakucheza?

    Tumefika hapo tulipofika kwa kuwatumia wachezaji wetu wa ndani akina Shemtembo, kwanini kocha alibadili gear angani akaacha kuwatumia? Wachezaji wa nje wana miguu ya pesa, wanawaza timu zao zinazowapa fedha. Wachezaji wa ndani wanajituma sana ili waende kucheza nje, lakini wale wa nje...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete azindua zoezi la kupandisha Mwenge wa uhuru mlima Kilimanjaro kama ilivyoelekezwa na rais Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara na pia itaendelea kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Bashungwa aongoza uhamasishaji Wananchi wa Karagwe kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameongoza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuendelea kujitokeza katika vituo vya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura ili waweze kutimiza haki yao kikatiba ya kushiriki katika uchaguzi...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Mchengerwa: Hakuna Uthibitisho wa madai ya Uandikishaji Wanafunzi Kupiga Kura

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa ameeleza kuwa hajapata uthibitisho wa madai kuwa kuna vituo vya Uandikishaji Wapiga Kura nchini vimeandikisha baadhi ya watu (Wanafunzi) ambao hawajakidhi vigezo kikanuni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Akizungumza na waandishi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Je waziri mkuu ni wa Muungano au Tanganyika?

    “ Kadri tunavyozidi kuishi ndivyo tujitahidi kupunguza uongo tuliomezeshwa kwa muda mrefu sasa. Kwa mfano kuna ofisi inayoitwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli tunaye mtu kama huyo, au tuliye naye ni Waziri Mkuu wa Tanganyika au? Tufikiri kidogo, tutaona.” -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…