waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Azindua Rasmi Shughuli za Uchimbaji Madini PORCUPINE NORTH - Chunya, Mbeya

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA RASMI SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI PORCUPINE NORTH - CHUNYA MBEYA ▪️Ni Leseni Hodhi zilizorudi Serikalini baada ya kumalizika kesi na wawekezaji ▪️Mapato ya Serikali kuongezeka kupitia mrabaha na kodi mbalimbali ▪️ Waziri Mavunde asisitiza kuongeza utafiti zaidi ili...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035)

    Tanzania itaandika historia nyingine kwa kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035). Asante kamati kuu.. **Tunajivunia utaifa wetu
  3. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Israel akitoa maelezo yanayojiri huko Gaza

    Sasa tunapitia Ukanda wa Gaza, na tunaongeza shinikizo hatua kwa hatua, kuteka maeneo na kuwaondoa magaidi." https://x.com/vividprowess/status/1907465451640115531?s=61
  4. K

    JamiiForums Tanzania Namuulizia aliyekuwa Waziri wa mkapa, Basili Mramba yuko wapi?

    Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe, Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
  5. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Vijana Botswana (Pichani)

    Wafahamu mawaziri Vijana nchini Botswana. Bado tunatafuta mchawi?
  6. JamiiForums Tanzania Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

    Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia. Haya ni matukio machache...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nitafutieni waziri yeyote kwenye serikali ya Marekani ambaye jina linaanza na Profesa

    Nitafutieni kiongozi yeyote wa Serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor fulani kama utapata! Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa Professor tena! Professor kabudi na Tibaijuka wasingetakiwa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa madini: Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni ianze utekelezaji wake mara moja

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameagiza Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni kuanza utekelezaji wake mara moja ili kuchochea ukuaji wa sekta na kuleta manufaa kwa taifa kwa ujumla na kutimiza azma ya Serikali kutoa leseni hizo. Mavunde ametoa maagizo...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth Ajichora Tatoo ya Neno Kafir kwa Kiarab

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenye utata Pete Hegseth amejichora tatoo ya neno Kafir kwa kiarab kwenye mkono wake wa kulia. Akimaanisha yeye hamuamini Allah Pete anajulikana kwa kupenda kwake tatoo ambazo amejichora kwenye mwili wake. Lakini tatoo aliyojichora karibuni ya neno Kafir kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Aina hii ya Nidhamu mbovu na ya Kishamba ya Mashabiki wa Yanga SC kuwa nje Uwanja wa Taifa huku Waziri Kabudi akiwa na Kikao Kizito inaitwaje?

    Na wenye Akili tunajua tu kuwa ni Injinia Hersi (Rais wa Yanga SC) ndiyo Kawaleta hapo kwa Makusudi na Kimkakati zaidi.
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Sitaki kusikia mtu anaambiwa akanunue dawa nje ya hospitali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku tabia ya waganga katika hospitali za serikali kuwaandikia wagonjwa dawa na kuwaelekeza kununua dawa hizo katika maduka ya dawa ya watu binafsi wakati Serikali imetoa dawa za kutosha kwenye zahati,vituo vya afya na hospitali za Wilaya. Ametoa marufuku...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri mlevi wa ulinzi wa Marekani ajisahau na kuvujisha kwa mwandishi habari mipango ya kivita kwa Yemen kupitia WhatsApp!

    Raia wa Marekani wamepigwa na butwaa baada ya mwandishi wa gazeti la Atlantic ambaye ni mhariri kudai aliungwa kimakosa na waziri wa Ulinzi wa US katika group la WhatsApp lilikouwa likijadili mipango ya mashambulizi kwa Houthi huko Yemen. Group hilo la WhatsApp lilijumuisha viongozi wakubwa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Klabu ya Singida Black Stars yamtangaza Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Mlezi wao

    Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi. Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga...
  14. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI

    Naomba kutoa ushauri wangu kwa waziri wa Mifugo na Uvuvi kuhusu upungufu wa samaki ziwa victoria , Tanganyika na ziwa Nyasa . 1. Umuhimu wa uvuvi. Kama tunavyofahamu uvuvi ni biashara kubwa sana kwa wakazi wa pembezoni mwa maziwa yote makuu , nchi zingine hadi kwenye mito, Tanzania tuna bahati...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea nakala ya Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Uturuki nchini

    WAZIRI KOMBO APOKEA NAKALA YA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA UTURUKI NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. H.E...
  16. JamiiForums Tanzania Mnahangaika sana na Speculations zenu ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi ama kumbadilisha au kumtumbua Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba

    Na sababu Kubwa ninaijua Mimi na nadhani hata hapa JamiiForums nilishawahi kuisema. Fanyeni Kazi msipoteze muda.
  17. JamiiForums Tanzania Stahiki za Waziri Mkuu mstaafu

    Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo, **Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi. Mengineyo 1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani), 2. Ulinzi (mpaka kifo), 3. Gari na dereva...
  18. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Deus Sangu: Usimamizi mbovu wa Rasilimali Watu unasababisha kushuka kwa utendaji kazi katika Taasisi za Umma

    NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, amewataka maofisa utumishi na wakurugenzi wa taasisi za umma kuhakikisha wanawajibika ipasavyo katika kuhudumia watumishi na kuacha uzembe na usumbufu wanaposhughulikia changamoto zao. Akizungumza leo...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mavunde aagiza Mradi wa Kabanga Nickel kutekelezwa kwa wakati

    WAZIRI MAVUNDE AAGIZA MRADI WA KABANGA NICKEL KUTEKELEZWA KWA WAKATI Serikali kupitia Wizara ya Madini imeiagiza Kampuni ya ya uchimbaji wa Madini ya Tembo Nickel Corporation LTD kuhakikisha inatekeleza kwa wakati mradi wa Kabanga Nickel Project ambao unalenga uchimbaji wa Madini ya Nikeli na...
  20. JamiiForums Tanzania Swali kwa Waziri wa Katiba na Sheria: Nani amechakachua ibara ya 3(1) ya Katiba ya Kiswahili ya Tanzania ya 1977?

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro Mheshimiwa Waziri, Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao za kidini. Nataka kulipinga ombi hili kwa kutumia hoja inayosindikizwa na ushahidi usiokanushika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…