waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri mkuu wetu anavaa Tai ya rangi ya Bendera ya Tanzania mpaka kwenye vibao kata na Harusi jamani?

    Hayo ni maisha binafsi,waziri Mkuu anayo nafasi ya kuvaa apendavyo jamani kwa nini kila pahala anavaa na bendera ya taifa aise?
  2. Hana amani na urais wake mpaka anawakilishwa harusini? Waziri Mkuu anatakiwa kutumwa kwenye harusi?

    Tunakoelekea waziri Mkuu na Makamu watatumwa mpaka kwenye vibao kata, ili hali sio shughuli za kiserikali. Ila sishangai maana Kizimkazi festival, huwa inasababisha watumishi wa umma wote kufunga ofisi za umma na kwenda kukata viuno kule Zanzibar Kizimkazi ili mama afurahie mauno ya watumishi...
  3. Hadi leo mshahara wa katibu mkuu wa wizara ni mkubwa kuliko wa waziri?

    Baada ya uhuru ilikuwa hivyo. Anaandika hivi Nyerere katika kitabu TANU na raia mwaka 1962. "Nimetaja Mawaziri kama mfano tu. Lakini maneno haya yanawahusu Waafrika wote wenye hali nzuri. Leo Permanent Secretary Mwafrika mshahara wake ni Shs. 4,000/- kwa mwezi. Hatujali Permanent Secretary...
  4. Katika kupigwa kwa Bilioni 120 za mikopo kwa vijana chanzo ni waziri husika kukurupuka, tulizeni wenge mtapigwa mno

    Waziri wa wizara ya vijana, pole Kaka vijana wa mjini wamekuingiza chaka. Waziri wa kilimo Bashiru wewe umepigwa chenga la mwili linaitwa mwana ukome na utakomeshwa. Ila vijana wa umoja wa vijana ccm Mungu anawaona kwa ili tunawashukuru == "kuna zaidi ya bilioni 120.48 zimetolewa kwa mwaka...
  5. Donald Trump: Watu wa Marekani wakichoshwa nami, nitahamia Israeli na kuwa Waziri Mkuu wao!

    Habari zenu wana-jamvi, Kama kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kukaa kwake mbele ya mic na kamera hakuachi watu salama au bila jambo la kujadili. Safari hii amekuja na utani mwingine mzito uliowasisimua wengi kimataifa. Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni na kituo cha runinga cha Fox...
  6. O

    Watahiniwa Watatu wa KCSE Wafariki Huku Mitihani Ikiendelea, Waziri Ogamba Athibitisha

    Wizara ya Elimu nchini Kenya imethibitisha vifo vya wanafunzi watatu waliokuwa wamejiandikisha kufanya mtihani wa kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) mwaka 2026, huku wawili wakifariki kutokana na maradhi na mwingine akidaiwa kuuawa nyumbani kwao. Katika taarifa iliyotolewa Jumatano, Novemba 4...
  7. Siku chache baada ya Waziri Kadogosa kutoa maelekezo, Mitambo 41 yarejeshwa katika Mradi wa Iringa Bypass

    Agizo lililotolewa na Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, mwezi Oktoba 2026, mkoani Shinyanga, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Msalala, wilayani Kahama, limeanza kutekelezwa baada ya vifaa na mitambo ya ujenzi kuanza kurejeshwa katika maeneo ya miradi husika, hatua inayolenga kuhakikisha...
  8. F

    Nikasema Waziri wa habari,Sanaa,utamaduni na michezo ndiye ampaye Platform Sheikh Mwaipopo, nitakuwa nimekosea?

    Kiutendaji ,Waziri wa habari, utamaduni,Sanaa na michezo ndiye anayesimamia na kushauri vyombo vya habari kuripoti habari zenye kuleta tumaini ndani ya nchi ,kukemea vyombo vya habari vinavyoripoti habari zenye kutonesha vidonda vya waliouwawa Oct 29 pia ni majukumu yake kama Waziri husika...
  9. F

    Kiutendaji, Waziri Ridhwani Kikwete akiamua kutokomeza watekaji na wasiojulikana, anaweza....ila...

    Hili swalanla wasiojulikana kujiamulia watakavyo linalotuumiza vichwa, ni jambo dogo sana ikiwa Waziri Ridhwani Kikwete akiamulia kulivalia njuga. Awamu ya pili ya mzee Mwinyi marehemu, Aliinuka Mtu mmoja tokea kule Kilimanjaro aliitwa Lyatonga Mrema, alikuwa akitamka Neno, ndani ya masaa...
  10. H

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  11. Waziri mkuu Mwigulu Nchemba tuangalie mustakabali wa vijana wetu

    ▪︎ Ataka viongozi wa Afrika wazingatie uwezo mkubwa walionao vijana ▪︎ Ashawishi matumizi ya Kiswahili kwenye mikutano ya jukwaa hilo▪︎ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Afrika kwa umoja wao waangalie mustakabali wa vijana wa bara hilo kwa vile wana uwezo mkubwa licha ya...
  12. Huyu Waziri alikuwaga mtata sana....!

    Waziri wa sasa atakayethubutu kufanya hivi leo, atatekwa na kufunguliwa kesi ya UHAINI!
  13. Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Urusi na Afrika

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi. Matembezo hayo yaliyoongozwa na Rais wa Urusi Vladimir Pitin yana...
  14. HOJA Bomoabomoa ya majengo Nzega na Tabora mjini haiana afya kwa Serikali. Waziri mwenye dhamana jiandae kutumbuliwa

    Tumeona waziri mwenye dhamana masanja kadogosa kaagiza TANROAD kubomoa majengo ambayo yamepita kwenye reserve ya barabara hasa maeneo ya mjini ambapo watu wanajitafutia kipato. Ni kweli watu walikosea kujenga katika maeneo hayo kwa sasa umewapa siku saba wabomoe wenyewe na wasipofanya hivo...
  15. Waziri Homera atangaza Ugunduzi wa Gesi Asilia Wa Futi Za Ujazo Bilioni 223

    Waziri wa Nishati, Dkt. Juma Zuberi Homera, ametangaza rasmi ugunduzi mpya wa gesi asilia wenye kiasi cha futi za ujazo bilioni 223 katika Kitalu cha Mnazi Bay, mkoani Mtwara, kufuatia uchimbaji wa kisima cha utafiti cha Kasa-1X ST2. Ugunduzi huo umefanywa na Shirika la Maendeleo ya Petroli...
  16. Kwa nini Wayahudi watamchagua Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu?

    Hizi ni baadhi tu ya sababu zinazonifanya nimchague Benjamin Netanyahu: 1. Alirejesha mateka wote. 2. Alimwangamiza Nasrallah. 3. Alimwangamiza Yahya Sinwar. 4. Alimwangamiza Ismail Haniyeh. 5. Alimwangamiza Mohammed Deif. 6. Alivunja muundo wa uongozi wa Hamas na Ali waangamizwa maelfu ya...
  17. A

    KERO Waziri alisema mgao uishe; miezi 10 baadaye Kinondo bado inapewa maji kwa zamu

    Mimi ni mkazi wa Kinondo, Mabwepande. Katika eneo langu tumekaribia kutimiza wiki mbili bila maji. Kinachoumiza zaidi ni kwamba bado tunasubiri zamu, halafu hata zamu ikifika baadhi yetu hatupati huduma. DAWASA itueleze: mgao huu una mwisho lini, na maji yatafika lini kwa wale ambao zamu zao...
  18. Waziri Masauni ashiriki mkutano wa mawaziri wa Mazingira wa Afrika nchini Armenia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) ameshiriki Mkutano wa Mawaziri kutoka Barani Afrika waliokutana kujadili msimamo wa Afrika na vipaumbele vyake ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa ngazi ya juu wa Mkutano wa 17 wa Nchi...
  19. H

    Waziri Kombo na Aweso wakijipanga kabla ya mkutano wa 4 Biennale ya Luanda

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Maji Jumaa Hamidu Aweso mapema leo jijini Luanda, Angola wakijiandaa na kujipanga kushiriki Mkutano wa 4 la Biennale ya Luanda—Jukwaa la Afrika kuhusu Utamaduni wa Amani...
  20. waziri mkuu Mwigulu Nchemba arejea nchini akitokea marekani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi nchini Marekani, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Jimbo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…