waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Tumepata kibali cha kuajiri watumishi 570 TANESCO kwa mwaka 2024/25

    "Hoja nyingine imekuwa ni upungufu wa wafanyakazi ambayo Waheshimiwa wabunge wameeleza, nataka nitoe tu taarifa kuwa tumepata kibali cha kuajiri watumishi 570 kwa mwaka 2024/25, utaratibu unakamilishwa, watumishi hao waweze kupangiwa majukumu yao. Serikali pia imepanga kuajiri watumishi wengine...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli Pamoja na kuwa Waziri ila watoto wake wote aliwasomesha primary Kayumba. mzee aligoma Jesca kusoma shule za Mabasi ya njano

    Habari wadau. Interview ya mtoto wa magufuli na millard ayo, imeeleza mengi. Binti wa Magufuli amesema baba yao akiwa waziri toka wanazaliwa bado aligoma kabisa watoto wake wote kwenda kuwasomesha kwenye shule za msingi za english medium. Na akawapeleka shule za msingi za Serikali, maarufu...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu: Shetani anatufundisha kubadili mawe kuwa mkate, Waziri baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa kumi, mabasi 100

    "Tunafundishwa daima na shetani kubadili mawe kuwa mkate, wewe ni waziri katika nchi badili mawe haya kuwa mkate, kweli waziri huyu baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa 10, ana mabasi 100. Na nyie vijana wangu chochote utakachokipata, kama viongozi na hata kama ni waumini shetani yupo nyuma...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: Waandishi wa habari msilemazwe na kufubaa na teknolojia, ya akili mnemba

    "Nawaonea wivu kwasababu sisi tulikuwa tunatuma habari kwa simu. Baadaye zikaja teknolojia nyingine. Ninyi mmepiga hatua lakini hata nyie msilemazwe na kufubaa na teknolojia, hata hii akili mnemba imeundwa na binadamu na inachukua maudhui kutoka kwa watu. Nawashukuru wadau wote na mliotoka nje...
  5. JamiiForums Tanzania Namibia: Waziri wa kilimo afukuzwa kazi kwa tuhuma za ubakaji msichana wa miaka 16

    Waziri wa Kilimo wa Namibia, Mac-Albert Hengari, amefukuzwa kazi baada ya kutuhumiwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 16 miaka mitano iliyopita. Kwa mujibu wa polisi, Hengari alikamatwa siku ya Jumamosi baada ya kudaiwa kujaribu kumhonga mlalamikaji, ambaye sasa ana umri wa miaka 21, ili...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwenye Siku ya Kumbukumbu ya Holocaust:

    "Ikiwa Iran itatushinda - nchi za Magharibi ndizo zitafuatia. Baada ya Oct 07,20203 Israeli haitaruhusu tena madhara kwa Wayahudi na wala Hatutasamehe kwa yeyote aakayejaribu kutushambulia. Hatutasahau utawala wa Ayatollah lazima uanguke siyo baadaye bali ni Sasa!!.
  7. JamiiForums Tanzania Bunge Live Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu

    Wanabodi Naangalia Bunge Live kupitia TBC Asubuhi ya Leo, Maswali ya Papo kwa Papo na Waziri Mkuu- Watch https://www.youtube.com/live/Q2K-fa_9lmQ?si=Y9V-RXLXorXsgR5P Paskali
  8. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde aelekeza kupitiwa upya utaratibu wa malipo ya mrabaha kwa madini ya metali

    Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya kihistoria kwa kufikia mchango wa asilimia 10.1 katika Pato la Taifa mwaka 2024, ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya lengo lililowekwa kwenye Sera ya Madini ya mwaka 2009 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa maji msilikubali hili.

    Najua mko kwenye maandalizi ya kuitembelea wilaya ya Monduli,lakini kwa haya wanayofanyiwa wakaaji wa eneo la Mto wa Mbu (Kigongoni) si haki wala halal. 1. Watu wenu wanapewa maji kama msaada utadhani wapo jangwani. 2.Campsite nyingi kule ziwani zinatumia maji bila kufungiwa meter na hii ndo...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aelekeza kufanyika utafiti wa kina wa upatikanaji wa maji Dodoma Jiji

    Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa Wizara ya Maji kuhakikisha wanaongeza nguvu ya utafiti wa kina wa maji katika Jiji la Dodoma ili kusaidia upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa Jiji la Dodoma. Waziri Aweso ameyasema hayo leo wakati akikagua miradi ya maji wa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi Ndejembi: Nyumba iliyojengwa kimakosa Iyumbu ivunjwe

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuchukua hatua za haraka za kuvunja nyumba iliyojengwa kimakosa katika kiwanja namba 1/31 kilichopo Block D, Iyumbu North jijini humo. Waziri Ndejembi ametoa agizo...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso Aelekeza Kufanyika Utafiti wa Kina wa Upatikanaji wa Maji Dodoma Jiji

    WAZIRI AWESO AELEKEZA KUFANYIKA UTAFITI WA KINA WA UPATIKANAJI WA MAJI DODOMA JIJI ▪️Aagiza kuongezwa mitambo zaidi ya uchimbaji visima Dodoma Jiji ▪️Akagua miradi ya Maji eneo la Nala na Nkuhungu ▪️Miradi ya visima vinavyochimbwa kuzalisha maji lita 32m ▪️Hatua hizi kupunguza ukali wa mgao...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir anaapa kupambana

    Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir anaapa kupambana na uamuzi wa Israeli wa kutaka kurejesha msaada kwa Gaza, akiita "kosa la kihistoria." Anasema, "Maadamu mateka wetu wanakufa wakiwa kwenye Mahandaki, hakuna sababu ya pun je ya chakula au msaada kuingia Gaza," akiwataka Netanyahu na...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akagua athari za Mvua Lindi, atoa maelekezo kwa Mameneja wa TANROADS nchini

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) wote nchini kuhakikisha wanakagua vipenyo vya makalvati na madaraja yote katika maeneo yao kabla na baada ya msimu wa mvua ili kujiridhisha kama vinapitisha maji kwa urahisi bila kuathiri barabara. Majaliwa...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu atembelea wanajeshi wake huko Gaza

    Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI leo hii kaamua kuwa te Bełda wanajeshi wake walioko huko Gaza aliambatana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Mkuu wa Majeshi wa Israel na kuwatia moyo kwa kuwaambia kuwa wako huko kwa ajili ya kulinda Taifa lao na wako huko ili...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini Uturuki

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Uturuki. Katika ziara hiyo ameshiriki Mkutano wa 4 wa Diplomasia wa Antalya (Antalya Diplomacy Forum - ADF2025) na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu Serikalini...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Aingilia Kati Utekelezaji wa Miradi ya CSR Mkoani Geita

    WAZIRI MAVUNDE AINGILIA KATI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR MKOANI GEITA ▪️Ataka taarifa kamili ndani ya siku tatu ya mpango wa utekelezaji CSR ▪️Miradi ya 2018-2021 kukamilishwa ▪️Fedha zilizotengwa na GGM kwa miradi kutumika zote ▪️RC Shigela ahimiza ushirikiano wa karibu wa GGM na Serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Naona kama ni fedheha kwa msomi kukaa bungeni muhula mzima bila kuteuliwa waziri japo sio lazima wala muhimu na jimboni pakiwa pakavu tu hakuna kitu

    Yaani watu wa kawaida tu bungeni wanafanya kazi nzuri kwenye majimbo yao, wanafanya kazi nzuri wanapopewa dhamani serikali kuu, wanahamishwa kutoka wizara moja kwenda nyingine, huku wasomi na ubobevu wao wakishindwa hata kua na ushawishi wa kua wenyevikiti wa kamati za bunge, na jimboni pake...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Gwajima azindua Mahabusu ya Watoto Mtwara, atoa rai kwa viongozi na Mahakama kulinda Haki za Watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mahabusu ya Watoto Mkoani Mtwara, na kueleza kwamba dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kulinda haki za watoto na kuimarisha mfumo wa haki jinai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…