waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Waandishi wa Habari - Dodoma, Mei 22, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=EK3rdU5HqhE Ndugu wanahabari, miongoni mwa majukumu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni kuliwezesha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Taasisi nyingine zilizopo chini ya Wizara kutekeleza majukumu yake ipasavyo ambayo ni: ulinzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena Tax: Walitaka kujipenyeza nchini kuleta vurugu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt. Stergomena Tax amesema kuwa kumekuwa na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ya kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi nyingine. Dkt. Stergomena ameyasema hayo leo, Mei 22, 2025, jijini Dodoma wakati...
  3. JamiiForums Tanzania DRC: waziri wa shelia kikaangoni

    Mahakama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewasilisha rasmi malalamiko katika Bunge la Kitaifa likitaka kuondolewa kinga kwa Constant Mutamba, Waziri wa Sheria ili apandishwe kizimbani. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, ombi hili linalenga kuruhusu kufunguliwa kwa mashauri ya kisheria...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Aongoza Kikoa cha Kimkakati wa Kiuchumi wa Nchi Kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)

    WAZIRI MAVUNDE AONGOZA KIKAO CHA KIMKAKATI WA KIUCHUMI WA NCHI KUPITIA SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO) ▪️Lengo ni kuiwezesha Taifa Kushiriki kikamilifu katika uvunaji Rasilimali Madimi kupitia uwekezaji Mkubwa wa STAMICO ▪️STAMICO kuweka nguvu kubwa katika madini mkakati na adimu...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mazingira wa Norway ateta na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Hamad Masauni

    Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andreas Bjelland Eriksen - Waziri wa Hali ya Hewa na Mazingira wa Norway. Mazungumzo hayo yalilenga ushiriki wa Tanzania katika COP30 na majadiliano kuhusu taka za Plastiki, yalifanyika katika Ofisi...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel aruhusu tena misaada kupelekwa Gaza

    Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni. Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri kasema ukarabati wa uwanja haukubusisha eneo la kuchezea, haufai kwa mvua

    CAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berkane ni sawa kabisa maana hata waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati unaofanywa hauhusishi pitch, hivyo ni kweli haufai kuchezea wakati wa mvua kama ambavyo haukufaa wakati wa mechi na al masry baada ya mvua kunyesha. Full stop
  8. JamiiForums Tanzania Ukisikiliza maneno ya Nape, DC Longido, Polepole na sasa Naibu Waziri Sangu lazima ukubali No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania.

    Baada ya kusikiliza clip ya maongezi ya Naibu Waziri wa Utumishi Bw. Deus Sangu ambaye pia ni mbunge wa CCM jimbo la kwela, na zile nyingine za Nape, DC Longido na Humprey Polepole kuhusu CCM wanavyoshinda uchaguzi utakubaliana na mimi kuwa No Reform No Election ni mpango wa Mungu kuikomboa...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa: Watumiaji wa Intaneti wamefikia Milioni 49.3 kutoka Milioni 37

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari , Jerry Silaa amesema Watumiaji wa intaneti nchini wameongezeka kutoka milioni 37.3 April, 2024 hadi milioni 49.3 April, 2025 sawa na ongezeko la asilimia 32.3. Waziri Silaa amesema hayo leo May 16,2025 wakati akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya: Busara inatumika, Mgonjwa mwenye uwezo analipa Hospitali za Serikali

    Akijibu hoja za Wabunge walioeleza kuwa kuna Wajawazito wengi na Watoto chini ya umri wa miaka mitano wamekuwa wakilipiishwa fedha katika Hospitali za Serikali kinyume na maelekezo ya Serikali, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati busara inatumika licha ya uwepo wa Sheria...
  11. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Simiyu NRNE: Waziri wa madini anatokea Dodoma, hii imekaaje?

    Salaam! Hii nimeipata kwenye hotuba ya CHADEMA mkoani Simiyu kwenye operation ya NRNE kwamba Waziri wa madini atokea Dododomma kusiko na madini yoyote zaidi ya kilimo Cha karanga. Haya ameyasemea Simiyu kanda ya Ziwa, Ndugu Deo Mahilinya, Amedai Tanga kuna mawaziri watano, iweje kanda ya Ziwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe Jijini Abidjan

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan. Waziri Mkuu...
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwananidi: Serikali kuwasajili bodaboda rasmi kuwawezesha kiuchumi

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake Jinsia na Makundi Maalum Mwananidi Ali Khamis amesema Serikali imeanzisha mchakato wa kuwasajili madereva wa vyombo vya magurudumu mawili, maarufu kama bodaboda, katika mfumo maalum ili waingizwe katika utaratibu rasmi kwa ajili ya kuwawezesha...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda na Biashara, Jaffo anazungumza Waandishi wa Habari jijini Dodoma, Mei 15, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=wGZzLWb4Xeo Mkutano wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Waandishi wa Habari wa Jijini Dodoma kueleza mafanikio ya Miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt Samia Suluhu Hassan.
  15. JamiiForums Tanzania Mpina amvaa Waziri Jafo Bungeni: Wizara ifutwe, bidhaa Feki zimejaa, ni huzuni!

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameibua taharuki bungeni leo Mei 14, 2025, baada ya kumvaa vikali Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara hiyo. Mpina amesema wizara hiyo imekuwa ikishindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo, hususan katika...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Ummy Nderiananga azindua miradi ya Kiuchumi ya wenye Ulemavu

    Na Mwandishi Wetu- Dar es Salaam. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amezindua miradi ya kiuchumi ambayo iko chini ya Shirika lisilo la Kiserikali la Strategic Alternative Learning Technique (SALT), inayohudumiwa na vijana wenye changamoto za...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Diaspora ni Tanzania ambaye ameukana Uraia wake, kama hajaukana huyo ni Mtanzania tu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amechanganua Mtu ambaye anastahili kutambulika kuwa ni Diaspora kwa mujibu wa Sheria za Tanzania. Amesema Mtanzania yeyote ambaye yupo nje ya mipaka akiwa na Passport huyo ni Mtanzania kama wengine lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni tukumbushane kuna waziri wa nishati alitoa maelezo Tanesco kusambaza nyaya nchini ya ardhi sio misitimu.

    Tanesco wanaproject nyingi kama za kununua umeme ethiopia na mengine. Kuna project ilitokaga na waziri fulani sikumbuki alikazia kuwa dar umeme usambazwe chini ya ardhi. Sasa ni kawa na waza hivi yale mafuriko ya dar,mabomba ya maji yana pasuka ovyo. Kwa mvua hizi DAR mngechezea shoti za...
  19. JamiiForums Tanzania WAZIRI KOMBO AWASILI KAMPALA

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mjumbe maalum, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Kampala Uganda na kupokelewa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Meja Jenerali Paul Simuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe...
  20. JamiiForums Tanzania Wekeni mbele maslahi ya taifa - Waziri Kombo

    WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara na kuwasihi wafanyakazi wa Wizara kuweka mbele maslahi ya Taifa. Mhe. Waziri Kombo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…