waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  2. Kifo cha Rais Mkapa: Burundi yatangaza siku 3 za maombolezo kuanzia leo. Waziri Mkuu wake afika kuhudhuria msiba

    Serikali ya Burundi imetangaza siku 3 za maombolezo kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa. Kwa siku zote tatu Bendera zitapepea nusu mlingoti ikiwa ni kuanzia leo, jumatatu.
  3. T

    Madagascar: Mfumo wa Huduma za Afya waelemewa na wagonjwa wa Corona, hospitali za Umma zimejaa

    Taarifa ni kuwa mfumo wa Huduma za Afya nchini Madagascar umeelemewa na wagonjwa, hospitali zote zimejaa wagonjwa, hali ni mbaya. Serikali imeomba msaada wa mashine zaidi ya 1,000 za kupumulia. Hospitali zinapokea wagonjwa mahututi pekee kwa sababu wagonjwa wakejaa. Organic Covid imegonga...
  4. Ni lini Serikali ya Tanzania kupitia Waziri Kabudi itaanza Kutusambazia Watanzania Dawa zinazoponya CORONA kutoka Madagascar?

    Madagascar imeanza kuhaha kutafuta misaada toka Mashirika na Taasisi za Afya za Kimataifa kukabiliana na kuenea kwa kasi kwa wagonjwa wa Corona katika wiki za hivi karibuni. ITV Tanzania Kuna Watu walikuwa ' wanamshutumu ' mno Rais wa Marekani Trump alipotudharau na kutudihaki Waafrika wakati...
  5. Paul Makonda kuwa Waziri wa Mambo ya ndani mwaka 2020 - 2025?

    Naanza kwa kuwambumbusha jinsi Mh. Makonda alivyofanikiwa kuhakikisha Dar ni shwari na Salama. Mh. Makonda kwa wasiomjua ni memba wa TISS na amefanikiwa kuwa karibu na viongozi waandamizi wa vyombo vya ulizi na usalama kwa miaka hii mitano. Wote tunajua juhudi zake ndizo zilimpa promotion...
  6. Stiegler’s Gorge yaanza kwa kasi

    WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa megawati 2,115 kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Ru ji (Stiegler’s Gorge) umean- za kwa kasi kubwa. Amesema mradi huo unaotekelezwa na Kampuni ya ubia ya Arab Contractors na Elsewedy Electric za Misri umeanza...
  7. T

    Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

    Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa? Kairuki ndani ya miaka 3: Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Octoba 2017- Waziri wa Madini...
  8. N

    Rais Magufuli, usikubali huu mtego wa huyu waziri; atakuwa anatumiwa na mabeberu

    Inaonekana anatumiwa na mabeberu kukushushia credibillity kwa wanyonge. Wewe ushafanya utafiti kabla ya maamuzi kwamba tunaweza KULIPA, KUSAFIRISHA AU KUBANGUA KOROSHO WENYEWE Ulisema, hela tayari zipo benki ya wakulima, zishaingizwa. Ulisema ikibidi wanjeshi hata kwa meno watabangua. Nchi...
  9. Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station kuondoka na Waziri January Makamba

    Heshima kwenu wakuu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, huenda akatumbuliwa kutokana na kuwa kikwazo katika Ujenzi wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station. Inasemekana January Makamba kaunda tume ya Wataalam wa kuchunguza athari...
  10. Waziri wa Nishati aridhishwa na kazi ya ujenzi wa njia ya umeme kuelekea Stiegler's Gorge

    Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameeleza kuridhishwa kwake na kazi ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha Umeme wa msongo wa kV 33 inayojengwa kuelekea eneo litakalotumika kuzalisha Umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge). Dkt. Kalemani aliyasema hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…