waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

    Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake. Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
  2. J

    Waziri Jaffo hao Wakurugenzi walikuwa wanasimamia uchaguzi, huo ushuru wangekusanya muda gani? Usiwafute kazi tafadhali!

    Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi. Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure. Kwa...
  3. Rais nakuomba umteue Joseph Kasheku Msukuma awe Waziri

    Baada ya kuchoka na blaa blaa nyingi za hawa watu wanaojiita wasomi (wenye degrees, masters,PhD na maprofessa) naleta ombi kwako Mh Rais JPM umfikirie bwana Joseph Kasheku Msukuma kwenye nafasi ya uwaziri licha ya Elimu yake ya darasa la saba. Kama mtu aliyekwenda darasani kabisa anashindwa...
  4. PUBLIC RELATIONS: Waziri Kabudi alikosea kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiJorums. Waziri Kabudi alikosea sana kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory Gwanda. Alipaswa kukubali kwamba ni kweli alikufa ndani ya mawazo, akili pamoja na mioyo ya wanaharakati. Ninajua fika baada ya kuandika thread hii kuna watu...
  5. M

    Rais Magufuli hakuvunja Katiba kuwateua Prof. Kabudi na Mpango kuwa Mawaziri kabla ya kumuapisha Waziri Mkuu. Zitto ndiye alifaulu kupotosha umma

    _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ TITLE: KATIBA HAIMLAZIMISHI RAIS KUSHAURIWA ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 DATE: December 16, 2020 NEWSPAPER: RAIA MWEMA, pg. 19 _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ Tarehe 12/11/2020 Rais John Magufuli...
  6. U

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akagua na kuridhishwa na Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi, Mwanza

    Ujenzi wa mradi huo mkubwa wa kimkakati unagharamiwa fedha za ndani tshs Bilioni 700. Daraja hilo lina urefu wa kilometa 3.2 na ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi
  7. C

    Waziri Kaleman ifumue TANESCO Kyela ni kero na aibu kwa nchi

    Mheshimiwa waziri kyela hakuna umeme ni mwezi sasa, wanakata saa 12 asubuhi kila siku na kurudisha saa 3 usiku, watu wanahamasishwa wanunue generator na sola power, hii ni hujuma fumua uongozi wa Tanesco kyela,tunakuomba mheshimiwa waziri tunajua wewe ni mchapa kazi ila hawa watu wanakuangusha
  8. Waziri Mkuu Majaliwa: Walionunua magari ya kifahari kwa fedha za walipakodi nawapa siku 7 za kujieleza

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo (Alhamisi, Desemba 17, 2020) kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ya ununuzi wa magari Ofisi ya Waziri Mkuu na wakurugenzi wa Jiji la Mwanza, Halmashauri ya wilaya ya Chato, Msalala na Kahama wajieleze kwa...
  9. B

    Waziri wa TAMISEMI wakatazeni wanao tuchangisha pesa za ujenzi wa shule ndege mnazo panga kununua zinatosha watosha

    Leo nimepigiwa simu eti kamati inaomba nichangie pesa za simenti au matofali ili wafanikishe kujenga vyumba vya madarasa, mimi kama mdau wanahitaji mchango wangu. Kama mwana JF hata mmoja haja hamasishwa au kufuatwa nyumbani basi subirini ni mkakati wanakuja. Kusema ukweli nimewapa lugha...
  10. Waziri Mwanasheria Kabudi tusaidie, toa Elimu ya Haki yetu Kisheria

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa, Wilaya au mtu yoyote yule apige viboko Mtanzania mwingine ? Nani anampa hiyo haki, kwa Sheria gani ? Waziri Kabudi tuokoe hapa kujua haki zetu, Mkuu wa Mkoa akinipiga kibogo niende wapi kushitaki ? Tafadhali Waziri Kabudi ongea na mshua, tunadhalilishwa sana na weusi...
  11. Watumishi 22 TRA kuchunguzwa, madai kubambikia watu kodi yatajwa

    Waziri wa Fedha, usiwatoe kafara watendaji wako. Wewe ndiye chanzo cha mayowe ya kodi kandamizi kwa wafanyabiashara Ndugu zangu wanabodi, huwa napenda sana kuishi kwa kujifunza kutoka kwenye hotuba za viongozi na kupitia hotuba hizo huwa nanyakuwa baadhi ya mambo ambayo kwangu ninayoyaona...
  12. D

    Waziri Lukuvi tembelea maeneo ya Dar es Salaam, kuna viwanja vingi havijaendelezwa

    Naongelea maeneo ya Goba, Bunju, Madale, Mabwepande, Kigamboni n.k Watu wameweka maeneo makubwa yamekuwa mapori. Wengi uwezo wa kujenga hawana sababu walishastaafu na kuuza hawataki. Wazee hawa wana street mipango mingi ila fedha hawana sasa maeneo yao yamebaki mazalia ya nyoka na kenge na...
  13. Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa, nikupongeze pia kwa kuimudu vema wizara yako kwani unamsaidia vema mh Rais wetu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli. Niende sasa kwenye mada yangu lengo kubwa ni kutaka kujua hivi unajua kwamba Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino Zainab Kishegwe...
  14. D

    Waziri Mpango umenena kuhusu Mamlaka ya Mapato Tanzania

    Nimemsikiliza Waziri Mpango wakati akiongea na maafisa wa TRA nchini kuhusu kukusanya kodi na kufikia lengo la tr.2. Nimependa na kuafiki kwa vile miradi mingi itakamilika kwa fedha ya ndani. Kitu ambacho amewaasa maafisa hao wazingatie ni kukusanya kodi kwa weledi, uaminifu na kwa hekima na...
  15. Waziri wa Madini amvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya kwa utoroshaji madini

    Waziri wa Madini Dotto Biteko, amemvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya, na kuwasimamisha kazi wafanyakazi watatu huku pia akifuta leseni za wachimbaji mbalimbali ambao wamevunja taratibu Sababu imeelezwa kuwa ni utoroshwaji wa madinI uliokuwa ukifanyika
  16. J

    Freeman Mbowe anatosha kuwa Waziri wa viwanda na biashara, ni mtu wa mikakati anayejua mahitaji ya soko kwa wakati!

    Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana Mh Freeman Mbowe. Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana". Nawatakia Sabato yenye baraka. Maendeleo hayana vyama!
  17. V

    Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

    Tiririkeni ya kutoka moyoni
  18. Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

    Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe. Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee) Makonda...
  19. Prof. Manya aapishwa kuwa Naibu waziri wa Madini. Rais Magufuli ataka wachezaji waliochaguliwa wakachape kazi kwani ana 'Reserve' wengi

    Profesa Shukrani Elisha Manya, ameapishwa kuwa Naibu Waziri wa Madini, baada ya Francis Kumba Ndulane kushindwa kuapa na kuteuliwa mwingine Manya ni mbunge wa kuteuliwa aliyeapishwa masaa machache yaliyopita katika viwanja vya bunge na Spika wa Bunge. Job Ndugai Kassim Majaliwa amuambia rais...
  20. J

    Hotuba ya Mkurugenzi wa Kinga; Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee, Siku ya Maadhimisho ya Mtoto Njiti, tarehe 17 Novemba 2020

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…