waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Nimefuatilia ziara ya waziri Gwajima mikoani, kiukweli madudu ni mengi. Yule Ummy alikuwa anapiga siasa tu!

    Kila eneo analopita waziri wa afya Dkt. Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk. Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!? Chapa kazi...
  2. Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

    Salaam wakuu, Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu...
  3. J

    Dkt. Kigwangalla amuomba Rais Magufuli kutolea kauli ombi walilompelekea Waziri Bashe, lakini Bashe apangua hoja kwa data!

    Leo Rais Magufuli amesimama katika mji wa Puge na kumtaka mbunge wa Nzega vijijini kuelezea matatizo ya jimbo hilo. Ndipo alisimama mh Kigwangalla na kusema wao walipeleka ombi la kujengewa scheme ya umwagiliaji kwa naibu waziri wa kilimo mh Bashe lakini kwa kuwa Rais Magufuli yupo jimboni hapo...
  4. Waziri wa Elimu, Waziri wa OR- TAMISEMI na Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) watumbueni Wakuu wa shule za sekondari mijini

    Ndugu wana Jf ,habari za wakati huu na hongereni kwa kuuona mwaka mpya 2021.Nami pia ninawatakieni kheri ya mwaka huu! Hili ni chapisho langu la kwanza kwa mwaka huu 2021 tangu nilipoonekana humu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Kama mada yangu inavyojibeba kupitia jina lake,ningependa...
  5. J

    Waziri Mwambe: Mafuta ya kula yako ya kutosha upandaji bei umesababishwa na kupanda production cost huko nje!

    Waziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote. Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara wanapandisha bei lakini taarifa za awali ni huenda gharama za uzalishaji huko nje zimepanda. Chanzo...
  6. Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona

    Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango, amewataka watumishi wa wizara hiyo kuchukua tahadhari zote kuhusu ugonjwa wa corona, licha ya kukiri kuwa Tanzania haina maambukizi ya virusi hivyo kwa sasa. Dk Mpango alitoa kauli hiyo jana wakati akifungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa Wizara...
  7. N

    TANZIA Gregory Teu aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mbunge wa Mpwapwa, afariki dunia

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mpwapwa 2010- 2015 , Naibu waziri wa fedha, Naibu waziri wa viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika serikali ya awamu ya nne na mwenyekiti wa bodi ya KADCO Mh. Gregory Teu afariki Dunia leo hii. Taarifa zaidi: Mpwapwa. Mbunge wa zamani wa Mpwapwa...
  8. Q

    Waziri Jafo apendekeza Stendi mpya ya Mbezi ipewe jina la Dkt. John Magufuli

    Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amesema kutokana na stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis kuwa na hadhi ya kimataifa, anapendekeza ipewe jina la Dkt. John Magufuli kama sehemu ya shukrani na kuthamini jitihada alizofanya, ambapo amesema atamuomba Rais aridhie ombi hilo. ============ Waziri...
  9. J

    Rais wa Ethiopia awasili Chato mkoani Geita. Rais Magufuli aahaidi kuwaachia wahamiaji haramu 1789 kutoka Ethiopia bila masharti

    Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato. Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua. Rais Zewde anakuwa kiongozi wa tatu wa kimataifa kufika nchini kukutana na Rais Magufuli kwa mazungumzo kwa mwaka huu 2021, aliyefungua pazia ni waziri wa...
  10. F

    BRELA ( Business Registration and Licensing Agency) kuna matatizo makubwa! Waziri wa Viwanda na Biashara tunakuomba uingilie kati haraka!

    Matumizi ya teknolojia yanapochukua nafasi kila mtu anategemea ufanisi kuongezeka! Hii imekuwa kinyume kabisa kwa BRELA, inaumiza, kuleta hasira na hasara sana kwa Wafanyabiashara. Mwaka jana mwezi wa nne 2020 nilianza mchakato wa kuhuisha taarifa za kampuni yangu ili kuomba leseni za...
  11. Kwa Waziri wa Mambo ya ndani, RPC & RTO Mwanza: Kwanini vijana wenu (Traffic Police) wanatubambakia faini madereva bila kujua..?

    Hii siyo haki na kamwe siyo halali hata kidogo. Sisemi kwamba madereva hawafanyi makosa ya usalama barabarani, yanafanyika lakini hata hivyo siku hizi kwa kiasi kikubwa madereva wengi wanajitahidi kuwa makini. Hili hata mimi nakubali. Hii haijaja hivihivi bali ni kwa sababu idara ya Polisi -...
  12. K

    Jafo aagiza walimu wapya walipwe Fedha za kujikimu ndani ya siku 7

    Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
  13. Marekani yapata Waziri wa Ulinzi wa kwanza mweusi

    WASHINGTON – The Senate on Friday confirmed Lloyd Austin as the nation's first Black defense secretary, the second nominee of President Joe Biden to be confirmed by the chamber. Austin is a retired four-star Army general who will be the first Black secretary of defense. He was the first Black...
  14. Mongolia: Waziri Mkuu na Waziri wa Afya wajiuzulu baada ya Maandamano makubwa kufanyika

    Waziri Mkuu wa Mongolia Khurelsukh Ukhnaa amewasilisha barua ya kujiuzulu mbele ya Bunge leo kufuatia maandamano ya umma kulaani jinsi serikali yake inavyoshughulika janga la virusi vya Corona. Shirika la Habari la Taifa limeripoti kuwa Ukhnaa amesema anachukua uamuzi huo kama sehemu ya...
  15. Naibu Waziri wa Habari aagiza washindi wa Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Magufuli kwa gharama za Serikali

    Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa gharama za serikali. Ameyasema hayo alipokuwa anapokea tuzo ya juu ya Kiswahili ya Shaaban Robert...
  16. Waziri Jafo atoa wiki 2 kwa Uongozi wa Dodoma kuifanyia ukarabati Shule ya Msingi Nkuhungu na kuhakikisha inafikisha ufaulu wa asilimia 100

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameliagiza Jiji la Dodoma chini ya Mkurugenzi wake Joseph Mafuru kuifanyia ukarabati Shule ya Msingi Nkuhungu pamoja na kuhakikisha inafikisha ufaulu wa asilimia 100 kwenye matokeo ya mitihani ya darasa la nne. Jafo ametoa kauli hiyo leo...
  17. F

    Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima anafanya kazi nzuri. Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake

    Binafsi sina chama cha siasa na sijawahi kuwa mshabiki wa chama chochote cha siasa katika maisha yangu yote. Naomba niseme yafuatayo, kwanza sina chuki na kiongozi wowote wa aidha CCM au CHADEMA au chama chochote cha siasa. Nimefuatilia ziara na ufanyaji kazi wa waziri wa Afya Dr. Dorothy...
  18. K

    Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

    Tahadhima kwenu wajumbe wa bodi huru! Kwa muda sasa nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu Waziri huyu toka alipoteuliwa na Rais Magufuli kuwa Waziri wa Afya. Namzungumzia Dk. Dorothy Gwajima. Kila ofisi zilizochini yake anapoingia huwadhalilisha sana madaktari wenzake. Dk. Gwajima anamtazama kila...
  19. Waziri wa Afya, Dkt. Gwajima aagiza tathmini kufanyika katika miradi ya Sekta ya Afya

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na watoto, Dk Doroth Gwajima ameagiza Wakala wa Majengo Nchini (TBA) kushirikiana na Ofi si za waganga wakuu wa mikoa kufanya tathmini ya miradi yote kwenye sekta ya afya na kumpelekea taarifa ili kudhibiti ubadhirifu wa fedha za miradi. Dk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…