waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama kiokoe Chuo cha Utumishi wa Umma

    Mheshimiwa waziri Mhagama , kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni mwanamama shupavu ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini. Nikiwa kama mdau mkubwa wa utumishi wa umma naomba kuelekeza kwako kilio change cha kukuomba...
  2. JamiiForums Tanzania China: Waziri wa zamani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kosa la kupokea rushwa

    Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma. Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika. Pamoja na hukumu...
  3. JamiiForums Tanzania Noti yako ya kwanza kutumia ilikuwa na saini ya Gavana yupi?

    Wakati unaanza kupata ufahamu wa kujua noti za Tanzania na kuzitumia, zilikuwa na saini ya gavana yupi?
  4. JamiiForums Tanzania Nani kamuelewa Mwigulu baada ya kuhojiwa na spika Tulia kupitia jibu hili?

  5. JamiiForums Tanzania Japan: Raia ajichoma moto akipinga mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe

    Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Serikali ya Japan inatarajiwa kutumia Dola Milioni 11.4 (Tsh. Bilioni 26) katika...
  6. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  7. JamiiForums Tanzania Kikwete amekutana na Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Je atatutetea Bomba la Mafuta la Uganda - Tanga?

    Salaam Wakuu, Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga...
  8. JamiiForums Tanzania Australia: Mtoto wa Waziri Mkuu asomewa mashitaka 17 Mahakamani

    Ratu Meli Bainimarama, 36, ambaye ni Mtoto pekee wa Waziri Mkuu wa Fiji, Frank Bainimarama anakabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia alizofanya akiwa Nchini Australia. Ratu amefunguliwa mashitaka 17 ikiwa ni pamoja na kutukana, kushambulia, kukaba koo na kuharibu mali, matukio...
  9. JamiiForums Tanzania Sindi Mzamo: Rais Samia ni Champion wa Utali Afrika, aungwe Mkono

    Sindi Mzamo, Rais wa circle of global business women (CGBW), amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu ni Champion wa Utalii Afrika aungwe mkono. Aliyasema hayo jijini Johannesburg Afrika kusini wakati akihutubia Mkutano wa Wanawake katika Utalii Kusini mwa Afrika (WITSA). Alisema Rais Samia...
  10. JamiiForums Tanzania Kwako Waziri mwenye sura nzuri Hussein Bashe;Benk ya Kilimanjaro cooperative Bank ibadili jina itapokelewa vyema mikoa ya kagera Mbeya Mwanza la sivyo

    Nikili wazi Mimi ni mdau mkubwa wa masuala ya kiushirika, kwani ni miongoni mwa vijana tulio zaliwa na kuona kabisa jinsi ambavyo bibi zangu walivyopanga foleni kwenye maduka ya ushirika kununua unga wa njano! Pamoja na hayo, lazima nikili yakuwa Kwa miaka takribani sita Sasa nimekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali haitabadili miaka ya Wanajeshi kuoa na kuolewa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Dkt. Stragomena Tax, ameliambia Bunge kuwa kwa sasa utaratibu wa miaka 6 utabakia kama ulivyo kutokana na misingi iliyowekwa kwa ajili ya kuwaandaa Askari hao kulinda nchi. Dkt. Stragomena amesema Askari wapya wanaojiunga na Jeshi wanabakia kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Abdallah Ulega: Madai ya Samaki kuhifadhiwa kwa maji ya maiti ni hisia tu

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Hamis Ulega amesema suala la maji ya kuoshea maiti kudaiwa kutumika kuhifadhia Samaki halina uhakika na kwamba ni hisia tu. Akijibu swali Bungeni kuhusu taarifa hizo ambapo inadaiwa matumizi ya maji hayo yanasababisha Saratani kwa walaji, amesema “Siyo...
  13. JamiiForums Tanzania Mchengerwa ni aina ya Waziri wa kipekee, tuache kumchafua

    Robert Mutabingwa - Kawe Tar 8 Jan ,2022. Rais Samia alipombadilisha wizara Mchengerwa kutoka Utumishi kuja Michezo (Wizara anayo hudumu kwa sasa); zaidi ya 85% ya watumishi wa umma ni wapenda maendeleo na wazalendo. Tulilia na kulalamika juu ya uamuzi huu na kujaribu kupaza sauti...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Waziri wa Fedha ana taarifa bei za vyakula hazishikiki huko masokoni?

    Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa. Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa. Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu wagawie fedha za tozo Walimu Hassanal Damji Bagamoyo wajenge choo

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wasaidie mgao wa fedha za tozo ulizokusanya walimu wa Sekondari ya Hassanal Damji waweze kujenga vyoo waondokane na aibu hii kubwa. Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya...
  16. JamiiForums Tanzania Naibu waziri wa maji, Mhandisi Marryprisca Mahundi ni Kiongozi shupavu mfano wa kuigwa

    Wanajamiiforum habari, Kama kuna viongozi wenye karama ya uongozi duniani ni pamoja Mwanamama Mhandisi Marryprisca Mahundi, Kwanza amejishusha, anafanya kazi bila kuchoka pamoja na Jografia ya nchi yetu lakini bado hachoki kupambanua taifa lake Tanzania. Zaidi Ni kiongozi anayependa kusikiliza...
  17. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

    Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya. Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Musoma: Raia wawatuhumu TRA kugonga raia wakiwa wanafukuza magendo

    Musoma, Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara Wakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata mawe na majabali ya (mawe) kote nchini yaandikwa mwigulu rais ktk ya kampeni za urais 2015. Baada ya sofa hizo waelezea fani na kamatakamata...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu simamia watu wa TCU, wanaelekea kuharibu mfumo wa elimu ya juu

    Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa TCU na hasa baada ya Magufuli (RIP) kuwapokonya kazi ya kudahili wanafunzi waliyojipachika. Kwa ufupi hapo Magufuli alishauriwa vizuri maana walishaanza kufanya biashara na vyuo vikuu na hasa vyuo binafsi (private). Sasa yaonekana hawana mwongozo wa kazi zao...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu awaagiza TRA kuweka mabango mipakani

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ameiagiza Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kuweka mabango hasa katika maeneo ya mipakani mwa nchi jirani kuelezea bidhaa ambazo zinapaswa kutozwa ushuru na zisizotakiwa kutozwa. Mwigulu ametoa agizo hilo leo Septemba 11, 2022 katika mji wa Sirari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…