waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Waziri Kombo: Dar es Salaam ni shwari, kuna amani

    Mheshimiwa Kombo kathibitisha Dar es Salaam ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida kabla ya saa 12 jioni. Kuhusu internet ni kuwa itarudishwa kesho. Alihojiwa na BBC. Hakika mama anaupiga mwingi.
  2. M

    GE2025 Thabit Kombo: Mpaka sasa hakuna matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29. Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna...
  3. Uliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Muda wako umekoma jana Kikatiba. Koma kuongelea mambo ya Tanganyika!

    Wewe Kombo, unawasiliana na Mataifa ya Nje na wawakilishi kama nani? Kwa mujibu wa Katiba hii hii muda wako wa Uwaziri umekoma jana siku ya Uchaguzi na sasa wewe ni raia wa kawaida tu JWTZ tunaomba mumuweke ndani huyu mshenzi fisadi ndugu yake na Samia Thabit Kombo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...
  4. Musk amtolea povu waziri wa uchukuzi US kufuatia mpango wa serikali ya Trump kui-DOGE na kuindoa NASA kuwa shirika huru

    Elon Musk amewatolea povu waziri wa uchukuzi wa Marekani Sean Duffy na serikali ya Trump kufuatia mpango kutaka kuiweka NASA chini ya waziri wa uchukuzi au kama mojawapo ya wizara tofauti na ilivyo sasa kama shirika huru linalojitegemea. Waziri huyo wa uchukuzi amesema pia SpaceX inafanya kazi...
  5. Wabunge nchini Israel wakaidi agilo la waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza na West-Bank (Judea & Samaria )

    Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim Goldberg/Flash90) Katika hali ya aibu kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wabunge wa mrengo wa...
  6. Waziri wa Ulinzi wa Houthi, Mohammed Nasser al-Atifi anapumulia mashine

    Tovuti ya Yemeni "Defense Line," ambayo inapinga Houthis, iliripoti usiku kucha ikinukuu vyanzo vyake kwamba Waziri wa Ulinzi wa Houthi, Mohammed Nasser al-Atifi, amelazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya sana baada ya kujeruhiwa katika shambulizi la Israeli mwishoni mwa Agosti uliolenga...
  7. W

    Waziri Gwajima ampatia cheti mwanaume aliyekimbiwa na mkewe siku ya harusi

    Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na makundi maalumu, Doroth Gwajima ametoa cheti kwa mwanaumea aliyekimbiwa na mkewe siku ya harusi kutambua mchango wake na uvumilivu wake siku ya tukio. Vipi wakuu mngekuwa nyinyi mngeweza kuvumilia...
  8. Waziri wa Afya Marekani aibua madai mapya ya kutahiri kuchochea usonji(autism)

    RFK Jr adai vijana wanaotahiriwa hasa wakiwa wadogo wengi wanakuwa katika hatari ya kupata usonji.
  9. C

    Bunge lilipovunjwa Spika, Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge

    Mara tu ya Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 2025, Mawaziri wote pamoja na Spika walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge. Hii ya watu kukiita Spika, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu mpaka Oktoba 2025 imekaaje. Serikali mpya itaundwa baada ya uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025. Ambapo Rais...
  10. Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla of Gaza:!!

    Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla wa Gaza: Msafara amabao walikuwa wanajidai eti wanapeleka misaada Gaza waziri Itamar Ben-Gvir amesema watu hao wanapaswa kufa maana wanashirikiana na magaidi wa awasaidie ili waendeleze UGAIDI wao. “Hao Wote ni...
  11. Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa kulitambua rasmi taifa la Palestina

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa Uingereza kulitambua rasmi taifa la Palestina zaidi ya miaka 100 baada ya Azimio la Balfour kuunga mkono "kuanzishwa kwa makazi ya kitaifa ya Wayahudi nchini Palestina", na miaka 77 baada ya kuundwa kwa taifa la Israel chini ya Mamlaka...
  12. Dr Dotto Biteko - Waziri Mkuu Mteule makini

    Asanteni Bukombe , asanteni CCM. Jembe tunatamba nalo.
  13. K

    DOKEZO NACTVET katibu mtendaji hafanyi kazi, watumishi pia hawafanyi kazi kazi kupiga stori na kuombana rushwa Waziri mwenye dhamana shughulikia hili

    Katibu mtendaji hafanyi hatimizi wajibu wake kimegeuka kijiwe cha kupiga soga na kuombana rushwa bila kutekeleza majukumu yake. Hii Nactvet makao makuu ya Dodoma mnashindwaje kumaliza shida za wanaohusika, kazi ni kuombana posho mnashindwa kumsaidia raisi katika kuwatumikia wananchi. Kazi...
  14. Albania yateua Waziri aliyetengenezwa Kwa AI kupambana na Ufisadi

    Albania imeweka rekodi ya dunia kwa kuwa nchi ya kwanza kuteua waziri aliyeundwa kwa akili bandia (AI), siyo waziri wa teknolojia ya AI, bali waziri halisi wa kidijitali, aliyeundwa kwa misimbo na kuendeshwa na mfumo wa kisasa wa akili bandia. Jina lake ni Diella, linalomaanisha ‘mwanga wa jua’...
  15. Netanyahu: Tunakwenda Kutimiza ahadi yetu kwamba hakutakuwa na Taifa la Palestina eneo hili ni letu

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, siku ya Alhamisi alisema kuwa "hakutakuwa na taifa la Palestina." Alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake katika makazi ya Maale Adumim yaliyoko katika Ukanda wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. Netanyahu alisaini rasmi hati ya kuidhinisha ujenzi wa...
  16. Video: Waziri wa Afya wa Sweden aanguka live akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari

    Hii kitu nimewaza kama ingekuwa bongo nadhani leo kuna baa zingeuza sana pombe maana watu wangefanya sherehe Sasa hapa nimeshindwa kuelewa shida ni nini? Au alikuwa ana changamoto gani ya afya Kuna mbaba mmoja badala ya kumsaidia mgonjwa kawahi kamera yake kupiga picha
  17. Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu Kwa Magaidi wa Hamas!!

    Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu: Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya. Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la Mawaziri la Usalama: 1. Mateka wote waachiliwe . 2. Hamas wanyang’anywe silaha. 3. Ukanda usiwe na...
  18. U

    Serikali ya DR Congo imetangaza rasmi kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yote yanayodhibitiwa na waasi AFC/M23

    Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo." Hatua hii inaathiri moja...
  19. Mama Mkwe ni Rais wa Nchi, yeye kama Mume ni Waziri wa Wizara kubwa kuliko zote, Mke wake naye anaenda kupata Ubunge.

    Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea? ======================================== Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
  20. S

    Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

    Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…