waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Uingereza atimuliwa kazi kwa tuhuma za ushoga!!!

    Conor Burns, kushoto, akiwa na Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu Uingereza. Waziri wa Biashara, Conor Burns wa Uingereza ambaye vile vile nalikuwa Chief Whip wa chama chake cha Conservatives, katimuliwa kazi. Kisa na mkasa inaelekea alianza kumtongoza mwanaume mwenziwe akiwa amelewa katika...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Tabaka la elimu Tanzania litatumaliza, Rais, Waziri wa Elimu tufanyeni jambo hili kwa kasi laweza saidia

    Ndugu wanaJF na Watanzania kwa ujumla amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja KWa imani yake. Husika na mada tajwa hapo juu, Matabaka ya elimu Tanzania limekua zimwi linaloendelea kututafuna Kama watanzania hasa kwa vijana wetu katika level tofauti za elimu nchini hasa huku chini kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas mkiacha 'Usiasa' na 'Usisiemu' wenu Timu za Taifa zitafanya vizuri Kimataifa

    Kilichotokea huko mkiwa na Timu hiyo ya Walemavu ndiyo kile kile kiliwatokeeni hata kwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars na Kushindwa kufanya vyema na Mimi huyu huyu GENTAMYCINE niliwaonyeni hapa hapa JamiiForums kuwa acheni kuingiza Siasa na Usisiemu Michezoni hamkunisikia. Juzi baada ya Timu hii...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa alivyoanza kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa ameripoti rasmi Wizarani na kulakiwa na Watumishi wa Wizara, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe. Mapokezi hayo yamefanyika tarehe 04 Oktoba, 2022, mbele ya Jengo Kuu eneo la Mtumba. Mara baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Innocent Bashungwa ni Mtu kazi au bahati tu?

    Na Charles William Innocent Bashungwa amekua waziri katika wizara nyingi sana ndani ya muda mfupi, kutoka 2018 - 2022 amekua waziri katika wizara 6 tofauti. 2018 Rais Magufuli alianza kwa kumteua kuwa Naibu Waziri wa Kilimo, mwaka 2019 akamteua kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, kisha 2020...
  6. JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa TAMISEMI, Angellah Kairuki

    Ndugu mheshimiwa hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa TAMISEMI. Umepata cheo hiki wakati ambao vijana walioajiriwa mwezi wa saba mwaka huu wa 2022 wakiwa wanalalamika kila upande wa hili taifa kuwa wamedhulumiwa hela zao za kujikimu. Zipo wilaya zimewapunja waajiriwa kiasi Kikubwa kweli...
  7. JamiiForums Tanzania Jicho la Mwewe: Kufukuzwa kazi kwa Balozi Mulamula ni matokeo ya ziara za Rais nchi za nje

    Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

    Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu tusamehe bure, kumbe tozo ni maamuzi ya serikali si yako wewe kama waziri

    Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa. Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kairuki anakuwaje Waziri wakati hajaapishwa Bungeni?

    Hii ni sawa wajameni? si alitakiwa aapishwe bungeni kuwa mbunge kwanza ndipo aape kuwa waziri/ au kuna shortcut? Yaani kwa wenzetu kenya hata mawaziri, IGP etc wakichaguliwa na RAIS wanatakiwa wapitishwe na bunge ila hapa kwetu mambo ni zigzag tukubali tu TZ kwa sasa imekuwa comedy sana
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

    Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi. Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Tanzania akutana na Shaka Hamdu Shaka bonanza la NMB, wakabidhiwa hundi ya TZS 600M

    Summary, SHAKA ASHIRIKI MBIO ZA NMB Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi tarehe 01 Oktoba, 2022 amekuwa sehemu ya mamia ya washiriki katika mbio za NMB zilizofanyika viwanja vya Leaders Kinondoni, Dar es Salaam. Kauli mbiu katika mbio...
  13. 4

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu nataka majibu katika mambo haya

    Waziri utukufu wa mungu ukawe juu yako, na nakupa pole na majukum yako kwa mbali sana maana ni kazi yako na ujira unalipwa hufanyi bure. Naja kwenye dhumuni la andiko hili, moja kwa moja maana u waziri mwenye dhamana kwa hili. Ndugu waziri chini ya wizara yako vipo vitengo vingi ambavyo kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Bima ya Afya haitolazimishwa wala kukamata watu

    Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo leo ikiwa ni siku chache baada ya Serikali kuwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni na kueleza kuwa hakuna mtu atakayepigwa faini kwa kutokuwa na Bima hiyo. Amesema lengo la serikali ni kuwapunguzia mzigo wananchi kwenye matibabu na si lazima...
  15. JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu wote wapo nje ya nchi?

    Habari za sasa wanajamii , natumai ni nzuri. Nilikuwa na maswali kadhaa kuhusu ziara za viongozi wetu wakuu wa nchi wa tatu (Rais, Makamu wa Rais, na Waziri mkuu) 1. Je ziara za viongozi wetu hawa kwa mataifa waliyo enda kuzuru zitatamatika lini kwa kila mmoja? 2. Kulikuwa na umuhimu gani kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia fukuza waziri mambo ya ndani, naibu wake na Igp kwa mauji yaliyofanyika Serengeti.Fanya kama alivyofanya Nyerere

  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kuelekea Japan!

    Huku bei za bidhaa zikizidi kupanda, tozo nazo kila mahali; cha kushangaza ni kwamba, hakuna jitihada zozote zinazooneshwa na viongozi wa serikali kuu katika kubana matumizi! Ziara na misafara imekuwa mingi na ya kila siku. Ni kweli hatuwezi kuwa sawa kiuchumi, lakini angalau zionekane jitihada...
  18. JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta EACOP toka Uganda lazima lijengwe

    Big Up Mheshimiwa Cassim Majaliwa Kassim, Waziri Mkuu wa JMT. Suala la bomba la mafuta toka Uganda kuelekea Tanga, inapitia kwa umbali mrefu zaidi nchini Tanzania. Uchumi wa Tanzania utafaidika sana na ujenzi wa bomba hili, kwani kuna wananchi watafaidika moja kwa moja kwa kupata kazi na...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama kiokoe Chuo cha Utumishi wa Umma

    Mheshimiwa waziri Mhagama , kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni mwanamama shupavu ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini. Nikiwa kama mdau mkubwa wa utumishi wa umma naomba kuelekeza kwako kilio change cha kukuomba...
  20. JamiiForums Tanzania China: Waziri wa zamani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kosa la kupokea rushwa

    Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma. Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika. Pamoja na hukumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…