waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri balozi Dkt. Pindi Chana akutana na wakuu wa Taasisi za Utalii na Maliasili

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana, Jijini Dodoma, amekutana na Menenjinenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi za Uhifadhi za Wizara ya Maliasili na Utalii kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Uhifadhi na uendelezaji wa Utalii nchini.
  2. JamiiForums Tanzania Huku mambo kero, Waziri wa Kilimo pitia hapa

    Mheshimiwa waziri wa kilimo salam, Mimi ni mkulima wa hali ya chini tu lakini kwakweli kumekuwa na kero kubwa ktk maeneo kadha kwenye vituo vya kupata mbolea kwa bei ya ruzuku. Mtu unaenda leo kutwa inaisha kwajili ya kuandikisha details halafu siku inayofuata unasimama foleni toka asubuhi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, ungeshauri nini kwa Waziri Mkuu wa Uingereza anayekuja?

    Wana JF kwa kipindi kifupi sana ( Chini ya miezi 3) tutashuhudia kiti cha waziri mku kuongoza nchi ya Wingereza-UK kimekuwa kaa la moto. Wawili tayari wamejiudhuru ( Borison na jana ameng'oka Liz Truss ) na next week anachaguliwa waziri mku mwingine wote kutoka chama tawala cha Conservative...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Sera mpya ya Elimu, nahisi inatatua matatizo binafsi ya Waziri

    Nchi yetu imefikia hatua sera ya nchi inaweza kutungwa ili kutatua matatizo ya familia ya waziri. Inasadikiwa Mungai alikuwa na watoto walioshindwa Sayansi ya sekondari, akaamua kuyaunganisha masomo. Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ilipigwa shinikizo kwa mwaka mmoja kuwapa mikopo wanafunzi...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri Mkuu Liz Truss ajiuzulu baada ya siku 45 madarakani

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022 Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na...
  6. JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri mwingine mwenye asili ya Afrika ajiuzulu huku Serikali ikionesha dalili za kuelekea kuanguka

    Suella Braveman ambae alikuwa akiongoza wizara ya mambo ya ndani amejiuzulu leo jioni baada ya kukiuka kanuni za usalama wa habari mitandaoni kwa kutumia anuani binafsi ya barua pepe badala ya anuani maalum ya serikali. Waziri huyo anadaiwa kutumia anuani binafsi kutuma taarifa nyeti katika...
  7. JamiiForums Tanzania Imekaaje Waziri Mkuu kumkaripia Daktari kwa ujenzi hafifu wa Hospitali?

    Kwanza nitangulie kusema kuwa sina chuki waka hila na mh. Waziri Mkuu Majaliwa. Waziri mkuu ndiye msimamizi wa shughuli ZOTE za kiserikali nchini. Hata hivyo hili nililolisikia kwenye vyombo vya habari ndiyo vinaelezea ukakasi wa siasa tunazojiwekea zisivyoendana na kanuni na utaratibu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tusaidie huyu kigogo wa CCM Kilosa anatuonea wananchi

    MIWA YA KIKUNDI CHETU IMECHOMWA MOTO KABLA YA MUDA WA KUVUMWA NAKUTUSABISHIA HASARA YA MAMILIONI YA SHILINGI. Huyu ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Kilosa. Ukweli ni kwamba yupo hapo kwenye uongozi siyo kwa nia ya kusaidia wananchi anaowaongoza bali ni kwa ajili ya kujilinda...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki: Bilioni 9.45 zitapelekwa Kasulu kupendezesha mji

    BILIONI 9.45 ZITAPELEKWA KASULU KUPENDEZESHA MJI: WAZIRI KAIRUKI OR -TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki amesema Serikali kupitia miradi ya kupendezesha miji (TACTIC), itapeleka shilingi bilioni 9.45 katika bajeti ya mwaka wa fedha...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania 33,000 wanakufa kila mwaka kwa Moshi wa Kupikia

    Waziri wa Nishati January Makamba ametoa takwimu hizo wakati wa Semina ya Kuwajengea Uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya Nishati Mbadala Nyumbani. Waziri Makamba ametoa taarifa hiyo akiwa nje ya nchi ambapo ametaja madhara mengine yanayosababishwa na Moshi wa Kupikia kuwa ni Watoto...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha wa Uingereza Bwana Kwasi Kwarteng amepigwa chini rasmi baada ya kuitumikia nafasi ya uwaziri kwa siku 38 tu

    Bwana Kwasi Kwarteng ameondolewa akiwa mkutanoni Washington, Marekani.
  12. JamiiForums Tanzania Raisi wa ufaransa hatofautiana na waziri wake wa ulinzi kuhusu Ukraine

    Kauli zao zatofautiana kuhusu Ukraine ikishambuliwa kwa nuclear UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments The French leader should not have revealed his hand to Russia, Ben Wallace says UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments UK defense secretary Ben Wallace ©...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha wa Uingereza, Kwasi Kwarteng ajiuzulu

    Breaking News: Waziri wa fedha wa Uingereza Kwasi Kwarteng amejiuzulu. Serikali ya Uingereza chini ya waziri mkuu Liz Truss na waziri wake wa fedha bwana Kwasi Kwateng ipo matatani kwa kushindwa kusimamia uzuri suala la uchumi. Taarifa mbalimbali zasema serikali hiyo imezidisha kiwango cha...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe, TADB wanakopesha wakulima gani?

    Habari ndugu wanajamii.Kuna benki inajiita ya kilimo tanzania hawa jamaa sijuhi wanakopesha wakulima wa nchiiii gani??Au ipo kisiasa na kimtego kuadaa wananchii. Ukienda pale watakwambia uende kwenye benki za biashara kwamba wanamakubaliano nao kukopesha wakulima na Wafugaji.Lakini kule benki...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri anaunda tume kuchunguza 'kufeli' kwa wanasheria, mbona CPA na PSPTB wanafeli pia?

    Tunaweza kujadili miaka yote juu ya professional bodies mbali mbali lakini kuna mambo mengi yaliyojificha ndani yake. Sehemu kubwa hii ni biashara kwa wachache. Mitihani ya CPA watahiniwa wamekuwa wakifeli kila mwaka kwa wingi. Hata matokeo yake mengi huwa ni ya kupanga tu! Rushwa kibao! Leo...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu Waziri Mchengerwa atafanya tufungiwe na FIFA

    Kiukweli naona hisia za team yake ya Yanga kuwa mguu ndani nje zimemchanganya sana, haswa ukichukulia Simba ilifanya vizuri ugenini. Kauli alizozitoa jana ukitafakari unaona ni hasira tu, sasa ma hasira yake kuna mambo anataka alazimishe Simba wafanye ku share mipango yao na Yanga, au kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Waziri wa Fedha aelezea sakata la Mbunge Toufky Turky, asema amekamilisha kulipa ushuru wa Marcedes Benz G Wagon, ampongeza

    Baada ya awali kuelezwa kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ipo mbioni kuuza mali za Mbunge Toufky Turky ambaye ni Mfanyabiashara aliyedaiwa kushindwa kulipa ushuru wa Gari aina ya Marcedes Benz G Wagon aliloliingiza Nchini Januari 2022, fafanuzi umetolewa. Waziri wa Fedha na Mipango wa...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa unavyosema Simba na Yanga sasa 'zitaitii' Serikali unajielewa Wewe?

    Hivi hapo Wizarani Kwako hakuna Watendaji waliokuzidi Akili ambazo huna ili wawe Wanakusaidia Kiushauri na usiwe Unakurupuka Kimaongezi? Waziri Mchengerwa nani alikudanganya kuwa Vilabu vya Simba na Yanga vinamilikiwa na vinasimamiwa na Serikali yako mpaka leo katika Hafla ya Kuwopongeza Tembo...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa, Yanga SC ingeifunga Al Hilal FC juzi haya 'Mapovu' yako ya leo ungeyatoa?

    Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC. Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa acha kutufokea wanamichezo wa Tanzania

    Leo ni mara ya pili GENTAMYCINE nakuona kila ukipewa nafasi ya kuhutubia katika hafla za kimichezo huwa unapenda mno kufoka na kutufokea wanamichezo wa Tanzania. Hiyo wizara wamepita watu (Mawaziri) wazuri kukuzidi na kufanikiwa kwa utendaji wao kiufanisi na hakuna hata siku moja waliwahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…