Raisi wa ufaransa hatofautiana na waziri wake wa ulinzi kuhusu Ukraine

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Kauli zao zatofautiana kuhusu Ukraine ikishambuliwa kwa nuclear

UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments

The French leader should not have revealed his hand to Russia, Ben Wallace says
UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments
UK defense secretary Ben Wallace © AFP / Justin Tallis
President Emmanuel Macron revealed too much when he said France would not respond to the use of nuclear weapons by Russia in Ukraine with its own arsenal of nukes, British defense secretary, Ben Wallace has said.

Macron pointed out in an interview on Wednesday that his country’s nuclear doctrine “rests on the fundamental interests of the nation. They are defined clearly and wouldn’t be directly affected at all if, for example, there was a ballistic nuclear attack in Ukraine, in the region.” The French leader also tweeted on the same day that France does “not want a world war.”

Wallace was asked about the French president’s comments as he attended a meeting of NATO ministers in Brussels on Thursday. “It reveals President Macron’s hand,” he said.

“Our view is if Russia were to use a nuclear weapon, there would be severe consequences for Russia,” the defense secretary explained.

Unnamed NATO officials also told The Telegraph newspaper that Macron’s words threatened the “principles of deterrence.” The sources pointed out that “we don’t go into details on scenarios.”

Macron outlines stance on use of nukes against Russia READ MORE Macron outlines stance on use of nukes against Russia
During the event in Brussels, NATO Secretary General Jens Stoltenberg reiterated that “[Russia’s President] Putin knows that if he uses a nuclear weapon in Ukraine, it will have severe consequences for Russia,” without expanding on what they might be.

US President Joe Biden said earlier this week that it would be “irresponsible” for him to discuss his response in case Russia decides to nuke Ukraine. US national security adviser, Jake Sullivan warned in September that such a development would have “catastrophic consequences” for Moscow.

What The Telegraph described as a “nuclear war of words” between Russia and the West started last month after Putin vowed that Moscow would use “all the means” at its disposal if Russian territorial integrity was threatened. The statement was interpreted by the US and its allies as a “veiled threat”
 
Simple tu,amtemeshe bungo.

Hakumsikia sa100 akiwataka mawaziri kutekeleza yale waliyokubaliana kwenye vikao vya baraza na kwamba asitokee wa kwenda tofauti na maamuzi?
 
Putin hawezi kutumia nyuklia hata wanajeshi wake hawawezi kukubali ujinga huo maanake hata wenyewe hawatakuwa salama. Nyuklia haijui mmiliki wake.
 
NATO walishasema wazi kwamba Putin akitumia nyuklia wao hawatajibu kwa nyuklia bali Kwa convectional force ambapo watashambulia majeshi ya Urusi yaliyo kwenye ardhi ya Ukraine.
 
NATO walishasema wazi kwamba Putin akitumia nyuklia wao hawatajibu kwa nyuklia bali Kwa convectional force ambapo watashambulia majeshi ya Urusi yaliyo kwenye ardhi ya Ukraine.
kitu kama hicho hakipo, NATO hawawezi ingiza majeshi ya nchi wanachama kama anaeshambuliwa sio mwanachama!

alafu lazima mjue, NATO haina jeshi ila nchi washirika ndio zenye majeshi, na ili hayo majeshi yaingie vitani dhidi ya adui ni lazima wote wapige kura ya kukubali (soma article 5 &3)......

ndio mana walipoenda libya, Iraq na kwingine, mostly ni UK,US &France na sio NATO wote.......
 
14 October 2022
Berlin, Germany

EU Official : Russian army will be 'annihilated' if Putin uses nuclear weapons

Any use of nuclear weapons by Russia against Ukraine would lead to its forces being annihilated, the EU's foreign policy chief Josep Borrell said .
Source : CNN
 
NATO walishasema wazi kwamba Putin akitumia nyuklia wao hawatajibu kwa nyuklia bali Kwa convectional force ambapo watashambulia majeshi ya Urusi yaliyo kwenye ardhi ya Ukraine.
Umemsikia waziri wa ulinzi wa Marekani leo?

Amesema kamwe hawatakuja kuingilia moja kwa moja vita nchini Ukraine hata ifike kiwango gani.
 
Umemsikia waziri wa ulinzi wa Marekani leo?

Amesema kamwe hawatakuja kuingilia moja kwa moja vita nchini Ukraine hata ifike kiwango gani.
Hizo ni porojo za kutoka masjid. Russia ameambiwa atumie Tactical Nukes aone hasara yake, "The entire Russian force in Ukraine will be annihilated." Sijui kama unaelewa maana yake.
 
Hizo ni porojo za kutoka masjid. Russia ameambiwa atumie Tactical Nukes aone hasara yake, "The entire Russian force in Ukraine will be annihilated." Sijui kama unaelewa maana yake.
Hapo russia atakuwa anawaangalia Tu?itatumwa tsar moja kwanza
 
Mbona kuna ukakasi kwenye report....

Kichwa cha habari kinasema Rais wa ufaransa na waziri wake.

Habari yenyewe inasema UK secretary general vs Macron.
Au UK imegeuzwa ufaransa na mimi sina habari...??
 
Hizo ni porojo za kutoka masjid. Russia ameambiwa atumie Tactical Nukes aone hasara yake, "The entire Russian force in Ukraine will be annihilated." Sijui kama unaelewa maana yake.
mnavo sogeza magoli!!!
mara urusi akiishambulia ukraine atakiona jamaa kaingia hatuoni lolote...
sasahivi akitumia nukes ataangamizwa.... jamaa anatamba tu sasahivi Katuma jeshi lake beralus kuongeza usalama ili ikitokea NATO wakajichanga ya awarekebishe vizuri...
 
Back
Top Bottom