waziri wa kilimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    Kwa wenzetu ukiskika na tuhuma za hongo tu unahukumiwa kifo ila bongo hata mwenye tuhuma za kulawiti anaweza tolewa siku hiyo hiyo aliyoshtakiwa

    Aliyekuwa waziri wa kilimo China ahukumiwa kifo kwa kashfa za hongo Waziri wa zamani wa Kilimo wa China, Tang Renjian, amehukumiwa adhabu ya kifo iliyositishwa kwa miaka miwili, baada ya kupatikana na hatia ya kupokea hongo ya takribani Yuan milioni 268 (sawa na Dola milioni 38 za Marekani)...
  2. Dr Akili

    Hiki ndicho msingi wa mabishano kati ya Godbless Lema na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuhusu bei ya hizi ndege

    Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US...
  3. R

    Waziri Kivuli Mifugo wa ACT, Thomas Nkola aachiliwa kwa dhamana kwa tuhuma kukamshifu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

    Waziri Kivuli wa Mifugo wa ACT Wazalendo, Thomas Nkola ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa siku zisizopungua tatu kwa tuhuma za kumkashifu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe Chanzo: actwazalendo_official
  4. Just Pray

    Namibia: Waziri wa kilimo afukuzwa kazi kwa tuhuma za ubakaji msichana wa miaka 16

    Waziri wa Kilimo wa Namibia, Mac-Albert Hengari, amefukuzwa kazi baada ya kutuhumiwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 16 miaka mitano iliyopita. Kwa mujibu wa polisi, Hengari alikamatwa siku ya Jumamosi baada ya kudaiwa kujaribu kumhonga mlalamikaji, ambaye sasa ana umri wa miaka 21, ili...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Deodatus Mwanyika amuomba Rais Samia amrejeshe tena Hussein Bashe kuwa waziri wa kilimo baada ya uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge viwanda, biashara, Kilimo na Uvuvi Deodatus Mwanyika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan mara baada ya Uchaguzi Mkuu amrejeshe katika nafasi yake ya uwaziri wa Kilimo,Hussein Bashe Ili aendeleze mazuri yanayofanyika katika...
  6. blogger

    Video: Watanzania huwa mna tabia ya kusahau, Prof. Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo aliongea ukweli mchungu sakata la Sukari. Wakamuweka pembeni

    Huwa akijilipua hana breki. Hili la juzi ni kawaida yake.
  7. clinton gidioni

    Kwako waziri wa kilimo, Hussein Bashe naomba msaada wako

    Kiukweli, unatupambania sana vijana na hakika unatutakia mema. Kijana yeyote anayejitahidi kupambana lazima ataona juhudi zako. Mheshimiwa, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu, lakini nimeshindwa kufanikisha mambo kupitia fani na taaluma nilizonazo. Kwa sasa, nimeamua kuanza upya maisha yangu na...
  8. Torra Siabba

    DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  9. figganigga

    Luhaga Mpina (Mb) ataka Waziri wa Fedha na Waziri wa Kilimo wasimamishwe kazi

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni maelezo kwa Ufupi ya Mbunge Luhaga Mpina aliyo yatoa kwenye mahojiano na Waandishi wa habari wiki hii Jijini Dar Es Salaam alipokuwa akitoka Mahakamani. Pia alitoa maagizo kwa mawakili wake waiombe Mahakama Kuu ya Tanzania itoe maelekezo kwa Waziri wa Kilimo Mh...
  10. S

    Mawakili wa Mpina walivyoijibu Serikali kesi aliyomfungulia Spika, Waziri wa Kilimo

    Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina wamejibu hoja za pingamizi la Serikali katika kesi ya Kikatiba aliyoifungua dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania na wenzake wawili, kuwa pingamizi hilo halina mashiko na wakaiomba Mahakama ilitupilie mbali. Katika kesi hiyo ya Kikatiba, Mpina...
  11. JanguKamaJangu

    Mpina afungua kesi dhidi ya Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni ya kuagiza Sukari

    Mpina awafungulia kesi Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni yaliyopewa tenda ya kuagiza Sukari Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amefungua kesi mbili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya kwanza ni dhidi ya Spika ambapo anahoji juu...
  12. B

    KERO NRFA lipeni wakulima wa mahindi kwa wakati mwaka 2024/2025. Haya ni mateso na uonevu

    Habari, imekuwa tatizo, kero, usumbufu kwa wakulima wa mahindi nchini linapokuja suala la kuuza mahindi kwa wakala wa chakula NRFA kulipa fedha kwa wakati. Waziri wa kilimo katika ziara ya Mh. Rais Samia kule Sumbawanga aliahidi kuwa kupitia wakala wa chakula NRFA watanunua mahindi kwa bei ya...
  13. S

    Bashe hadi sasa bado ni Waziri wa Kilimo? maajabu ya dunia

    Tumemsikia Mpina kashfa ya kuagiza sukari kutoka nje, tumewasikia wakulima wa miwa wakimlalamikia Bashe kwa kuua kilimo chao cha miwa, tumewasikiliza wenye viwanda wakimlalamikia bashe kwa kutunga sheria ya kuua viwanda vyao, tumemsikia Mheshimiwa Rais akilalamikia suala la uagizaji sukari nje...
  14. Fall Army Worm

    Utaratibu wa kuiuzia mahindi Serikali kupitia NFRA ni mgumu sana

    Wakuu habari za siku nyingi? Bila kupoteza muda ni kwamba tunaishukuru Serikali yetu kwa kutusaidia kupata soko la mahindi lakini tunalia na NFRA.Siku ya jumanne iliyopita,tarehe 24/07/2024; Nilipeleka mahindi yangu NFRA kituo cha Kakozi,mkoa wa Songwe. Nikaelekezwa kuwa niyachekeche...
  15. FaizaFoxy

    Waziri wa Kilimo, zao la bangi ni muhimu sana kwa maendeleo ya haraka

    Mheshimiwa Hussein Bashe, natumai na Rais wetu mama Samia Suluhu Hasan na washauri wake wengine utawafikia ujumbe huu. Zao la bangi za aina tofauti tofauti (different varieties of hemp) linastawi vizuri sana Tanzania. Ni wakati muafaka, tena tumechelewa sana, kuanzisha zao la bangi kwa faida...
  16. K

    Wasiomuelewa Hussein Bashe kwenye sukari waelewe swali la Dkt.Tulia

    Kitu kitakachokumbukwa sana kwenye bunge la bajeti mwaka huu 2024 utakuwa mjadala wa sukari kati ya Mpina na Bashe. Dkt. Tulia ameuliza swali la msingi sana kuhusu muda ambao viwanda vyetu vinahitaji ili viweze kuzalisha sukari kwa utoshelevu na hatimaye bei iwe sawa na nchi zilizotuzunguka...
  17. Tlaatlaah

    Mchapakazi kijana Waziri Hussein Bashe, historia ya ushupavu Tanzania itamkumbuka

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ataandikwa kwenye kumbukumbu za historia za viongozi shupavu wa nchi hii kwa namna alivyothubutu kuchochea mageuzi na mabadiliko katika kilimo kwa bajeti ndogo tu. Kipindi hiki cha mavuno ya mazao mbalimbali nchini, kinadhihirisha uthubutu, nia na dhamira yake...
  18. K

    Napendekeza Waziri Bashe akae pembeni kwanza ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Madudu yaliyoibuliwa na Mpina yanatisha na kutukatisha tamaa na kutowaamini viongozi wetu tuliowachagua ili watatue kero zetu. Tunamtaka kwanza Bashe akae pembeni ili kupisha uchunguzi. Kuendelea kukaa kwenye ile ofisi mimi nitamshangaa sana Mteule wake. PIA SOMA - FULL TEXT: Maelezo ya...
  19. A

    Bashe yupo ukingoni, hakupaswa kupambana na wadau wa sukari

    Bashe ambaye ni Mbunge wa Nzega mjini na Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Rais Samia dalili zi wazi anaelekea kukwama. Kwa wajuzi wa mambo ya siasa watakubaliana na mimi kwenye hilo. Waziri Bashe hakupaswa kupambana na wadau wa sukari kwa aina ile ya kiburi na majivuno! Kwa kuanzia alipaswa...
  20. REJESHO HURU

    Waziri wa Kilimo haya mambo yameanza lini

    Nimeweka risiti hapa uone kibaya zaidi jambo hili linatokea Nzega hapa ndio wakulima humkumbuka Magufuli yani gunia moja linatozwa ushuru kweli yani mkulima alime mazao yake ya kula yeye na famila yake anaenda kuvuna wanasubilia njiani atozwe ushuru.
Back
Top Bottom