waziri wa elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Waziri wa Elimu nchini afghanistan atangaza rasmi marufuku ya utoaji wa elimu kwa wanawake

  2. Mtemi mpambalioto

    WAZIRI WA ELIMU Prof Mkenda naomba upige marufuku watoto kwenda Shule Jumamosi

    Hii tabia imekithiri inatutesa sana wazazi maana unakuta mtoto ni STD 4 au STD 7 shule wanajipangia utaratibu wa kuwafundisha mpaka JUMAMOSI hii inatutesa sana wazazi maana heka heka utafikiti na sie tunasoma Waziri Mkenda piga marufuku hii hali haijalishi Shule ya Serikali au PRIVATE tena huku...
  3. kamili

    WAZIRI WA ELIMU CHUKUA TAHADHARI SEKONDARI YA BEATRICE SHELUKINDO YA KILINDI

    Mh. Pamoja na kwamba kuna usemi: don't judge book by its cover, uhalisia ni kwamba wakati mwingine umbile la nje la kitabu linaakisi yaliyo ndani. Kwa binadamu mavazi yako yanaakisi hadhi yako, kwa vitu kama magari, simu, nyumba nk. Umbo la nje linaakisi hali ya ubora iliyop ndani ya vitu...
  4. Damaso

    Uchambuzi: Kwanini Wanu Hafidh Ameir Hakupaswa kuwa Naibu Waziri wa Elimu

    Katika taifa ambalo linahitaji kufanya maamuzi magumu na sahihi kuhusu mustakabali wake, hakuna eneo nyeti kama elimu. Elimu ni injini, ni mapafu, ni moyo unaosukuma damu ya maendeleo. Taifa lisilo na mfumo madhubuti wa elimu ni sawa na kutembea gizani bila dira. Ndiyo maana uteuzi wa viongozi...
  5. Just Pray

    PostGE2025 Waziri Mkenda na Wanu, wasisitiza kuendeleza mageuzi sekta ya elimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, pamoja na Naibu Waziri, Wanu Hafidh Ameir, wamesisitiza dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita kuendeleza mageuzi makubwa katika sekta ya elimu nchini. Akizungumza mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara tarehe 18 Novemba 2025...
  6. R

    PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

    Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021. She graduated in law in 2018 from the online Open...
  7. Sifi Leo

    DOKEZO Proffesa Mkenda, waziri wa elimu ingilia kati hii shule ya msingi St Marks ya Kongowe. Tafadhali na hata St Methew msingi

    Proffesa Mkeda natumah ujambo na UNAENDELEA vizuri na majukumu Yako kampeni kwa lengo la kulinja taifa Mh Proffesa MKENDA tunaamini serikali ya Tanzania iliporuhusu wawekezaji binafsi katika sector ya elimu haikuwafanya wawe juu ya Sheria au wavunje Sheria za nchi hii Hasa katika sector ya...
  8. R

    DOKEZO Waziri wa Elimu liangalie hili, vinginevyo watoto waliosoma shule za kata watabaki kuwa wasindikizaji

    Waziri wa Elimu Kaka yangu Profesa Adolf Mkenda, naandika haya kukujuza haya. Vyuo vya kati vilikuwa kimbilio letu la watoto wanaosoma shule za kata, shule ambazo wanafunzi wanaweza kumaliza mwaka bila kuwa na Mwalimu wa Hesabu, Physics nk. Kwasasa wazazi wengi hawawapeleki watoto wao high...
  9. T

    Maoni Juu ya Hoja ya Waziri wa Elimu Prof. Mkenda — Tusipokuwa Makini, Vijana Wetu Watakuwa wa Soko la Ndani Pekee

    Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, Kwa heshima na taadhima, tunapenda kutoa maoni yetu kuhusu baadhi ya maeneo muhimu katika hotuba na maamuzi yako kuhusiana na elimu ya juu—hasa kuhusu hatua ya kusimamisha baadhi ya kozi katika vyuo vikuu kama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)...
  10. R

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amemfuta kazi Waziri wa Elimu ya Juu kwa tuhuma za Matumizi mabaya ya Madaraka

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemvua wadhifa Waziri wa Elimu ya Juu, Nobuhle Nkabane, kufuatia tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka zilizotolewa na mshirika mkuu wa muungano wa serikali, chama cha Democratic Alliance (DA). Taarifa hiyo imetolewa Jumatatu na ofisi ya rais, ikiwa ni...
  11. M

    DOKEZO Serikali imeshindwa kusimamia syllabus na mihula ya shule: Shule binafsi zina mihula na likizo zao

    WAZIRI WA ELIMU PAMOJA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA ELIMU WAMESHINDWA KUSIMAMIA SYLLABUS NA MIHULA YA SHULE: SHULE BINAFSI ZINA MIHULA NA LIKIZO ZAO TOFAUTI Katika suala hili msomaji zingatia haya: Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) ina jukumu la kutafsiri kwa vitendo Sera za Serikali kuhusu Elimu...
  12. Roving Journalist

    Waziri wa Elimu amtangaza Dkt. Mpango kuwa Mgeni Rasmi Tuzo za Taifa za Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, itakayofanyika Aprili 13, 2025 Jijini Dar es Salaam. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf...
  13. Mindyou

    Waziri wa Elimu Adolf Mkenda: VETA na elimu ya ujuzi ni njia ya kujihakikishia kwamba tutaweza kuhimili ongezeko la watu

    Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Serikali imeamua kuwekeza katika elimu ya mafunzo na ufundi stadi (VETA) ili kuweza kuongeza ajira nchini kwa miaka ijayo kwani elimu hiyo itasaidia katika kuhimili ongezeko la watu. Prof Mkenda amezungumza hayo mkoani Morogoro...
  14. M

    PSRS NA WAZIRI WA ELIMU HOI...!

    Asha kuum! Si matusi... Niwapongeze PSRS na wizara inayohusu mambo ya elimu kwa ugunduzi huu wa usaili kwa kada ya uwalimu kwa hakika tunaweza kupata walimu bora kama mnavyo jinadi kwenye majukwaa. Usahili wa walimu umefanyika na unendelea kufanyika kwa malengo yale yale ya Prof. Mkenda ila...
  15. milele amina

    Waziri wa Elimu Adolf Mkenda pole sana Kwa msiba wa mama Yako Mzazi

    Pole sana sana kwa msiba mkubwa. Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu!
  16. Mindyou

    Waziri wa Elimu ataka shule ya Baobab kuchunguzwa kisa video chafu zilizosambaa

    Wakuu, Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekonolojia, Dkt. Adolf Mkenda amesema wizara hiyo itatuma timu ya wataalam Shule ya Sekondari Baobab iliyopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kuchunguza kwa kina sakata la video zinazosambaa mtandaoni ambazo ni kinyume na maadili ya Kitanzania. Soma pia...
  17. Muwa mtamu

    Waziri wa elimu Mkenda; Makongoro high school huko Bunda haina matron walimu wa kiume wanaingia mabweni ya wanafunzi kidato cha 5 na 6

    Mheshimiwa waziri wa elimu. Kama ilivyokawaida kwa kila shule ya bweni lazima pawepo na matron ambaye majukumu yake makuu; 1. Kutunza nidhamu bwenini 2. Usalama wa wasichana na mengineyo. Shule iliyotajwa hapo juu Makongoro high school iliyopo Nyamiswa bunda, Mkoa wa Mara, haina matron badala...
  18. L

    Shule ya msingi Mseta ipangiwe matumizi mengine baada ya kufungwa tokea mwaka 2012 kwa kukosa wanafunzi

    Shule ya Msingi Mseta iliyopo wilaya ya Rombo Kata ya Kirwa Keni Kijiji cha Kirwa Imefungwa toka mwaka 2012 kwa kukosa wanafunzi, Shule hii ipo katika Mazingira mazuri na ina majengo ya fedha za Serikali mazuri na yanayofaa kutumika. Mimi kama mdau nimeona kama Shule ilifungwa kwa tatizo la...
  19. Kekule Wa Benzene Ring

    Je, Utumishi Wanaenda Kinyume na Maagizo ya Waziri Wa Elimu na Rais Kwenye Suala la Ajira za Ualimu?

    Wakuu Habari! Naomba nisiwachoshe niende kwenye MAADA moja Kwa moja. Leo Utumishi Kupitia kurasa zao za kijamii wametoa Tarehe za usaili Kwajili ya waalimu. Chakushangaza ni kama wanaenda kinyume na maono na maagizo ya waziri wa Elimu Prof. Adolf mkenda. Waziri Kwa kutumia AKILI Zake kubwa...
  20. Roving Journalist

    Waziri wa Elimu ziarani Mkoani Njombe kwa ajili ya kukagua miradi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewataka Watanzania kujivunia kwa maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali zinazogusa wananchi moja kwa moja. Akizungumza na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Njombe, Septemba 20, 2024 wakati wa ziara ya kukagua miradi ya...
Back
Top Bottom