waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uongo Wa Vipimo Vya Corona Tanzania: Kwanini Waziri Mkuu Na Waziri Wa Afya wasijiuzulu?

    Leo Rais wa Tanzania amehutubia taifa na kusema, utaratibu mzima wa upimaji na utoaji majibu ya vipimo kwa wahisiwa wa ugonjwa wa COVID-19 hapa Tanzania yamezungukwa na uongo, ujanja ujanja na ulaghai mkubwa. Hivyo takwimu zote za COVID-19 hapa Tanzania zilizotolewa na Waziri Mkuu au Waziri wa...
  2. JamiiForums Tanzania Russian Prime Minister Mishustin tests positive for coronavirus as national total tops 100,000 cases

    Waziri mkuu wa Urusi Mikhail Mishustin amesema amekutwa na #CoronaVirus amesema anapaswa kujitenga ili kuwaokoa wengine Waziri huyo ameshauri naibu wake, Andrey Belousov kukaimu nafasi ya uwazirii mkuu Hadi sasa Urusi ina jumla ya visa 106,498 na wameripoti vifo 1,073 === Russian Prime...
  3. JamiiForums Tanzania COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480. Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia ofisi ya Waziri Mkuu yatoa njia za kujikinga na COVID-19

    Hivi ndio namna ya Tanzania kupambana na corona
  5. E

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu: Tukiongeza haya tutazuia maambukizi zaidi

    Mh. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. K.Majaliwa (MB) Binafsi ninatambua jitihada kubwa sana ambazo Serikali imekuwa ikifanya tangu kutokea kwa mlipuko wa COVID-19 duniani na hata baada ya kuanza kupata kesi hapa nchini. Serikali chini ya uratibu wako ukishirikiana na Mh. Ummy...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tumesitisha Sunday school na Madrasa, tulichoruhusu ni Ibada tu tena zifanyike kwa muda mfupi kisha waumini waondoke

    Waziri mkuu mh Kassim Majaliwa amesema kuna taarifa kuwa baada ya masomo kusitishwa kwa sababu ya Covid 19 watoto hao sasa wamekuwa wakienda makanisani na misikitini kwa ajili ya kujinza. Mh Majaliwa amesisitiza kuwa alipokutana na maaskofu na mashehe walikubaliana kusitisha Huduma nyingine...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wadau Wamkabidhi Waziri Mkuu Sh. Bil 6.226 Kukabili Corona

    Wadau Wamkabidhi Waziri Mkuu Sh. Bil 6.226 Kukabili CoronaWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea kutoka kwa wadau msaada wa fedha pamoja na vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) wenye thamani ya sh. bilioni 6.226...
  8. JamiiForums Tanzania Japan: Waziri Mkuu, Shinzo Abe atangaza hali ya dharura kwa mwezi mmoja

    Waziri Mkuu Shinzo Abe ametangaza hali ya dharura kwa muda wa mwezi mmoja katika Mji Mkuu wa wa Japan, Tokyo pamoja na miji mingie sita ya Osaka, Kanagawa, Saitama, Chiba, Hyogo na Fukuoka Abe amesema Japana itakuwa na mkakati tofauti na nchi za Ulaya. Ameeleza kuwa ali ya dharura iliyotangazwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apelekwa chumba cha watu mahututi ICU

    Gazeti la Evening Standard linaripoti kuwa wazir mkuu Boris Johnson amehamishiwa ICU baada ya hali yake kiafya kuzorota. Prime Minister Boris Johnson has been moved to intensive care after his coronavirus symptoms worsened, Downing Street has confirmed. Hili janga la Korona linazidi kuitikisa...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza apelekwa hospitali kutokana na kutoonesha dalili za kupona Corona kwenye Karantini ya nyumbani

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amelazwa hospitalini ili kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu. Katika taarifa kutoka kwa ofisi yake siku ya Jumapili, Aprili 5, kiongozi huyo bado anaonyesha dalili za virusi vya corona siku kumi baada ya kuthibitishwa kuwa na virusi hivyo. Waziri Mkuu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa atembelea vituo vya kuhudumia wagonjwa wa corona ikiwemo Kibaha

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Hospitali ya Wilaya ya Kibaha iliyotengwa kwa ajili ya kuwahudumia watu watakaogundulika na kuwa na maambukizi ya COVID19 ni kituo cha tatu Vituo vingine ni Temeke Isolation and Treatment Centre, Treatment Centre karibu na Hospitali ya Mloganzila...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu: Mtu yoyote atakayetoa taarifa za Corona zaidi ya waziri wa afya na viongozi wakuu wa nchi atakamatwa na polisi

    Mh Kassim Majaliwa amesema ni waziri wa afya pekee mh Ummy Mwalimu ndiye atakayekuwa akitoa taarifa za Corona nchini. Mh Majaliwa amesema itakapolazimu zaidi basi ama yeye Waziri mkuu, Makamu wa Rais au Rais Magufuli ndio watakaozungumza na si vinginevyo. Waziri mkuu amesisitiza kuwa mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apata maambukizi ya CoronaVirus

    Prime Minister Boris Johnson has tested positive for coronavirus, Downing Street has said. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Waziri huyo amethibitisha kuwa na maambukizi huku akiwa na dalili za kawaida za #Covid_19 Amesema yupo karantini na ataendelea kuwa kiongozi wa Serikali katika kupambana...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atangaza kamati 3 zilizoundwa na Serikali kukabiliana na Corona Virus

    Waziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona. Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu. Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi. Kamati ya tatu ni ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aainisha utoaji taarifa rasmi za coronavirus

    March 21, 2020 MAJALIWA - Wapotosha kuhusu Corona kukiona Published on 21 Mar 2020 Waziri mkuu, Kassim Majaliwa ameonya juu ya upotoshwaji na utoaji holela wa taarifa kuhusu ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababisha na virusi vya corona (COVID 19) unaofanywa na watu mbalimbali nchini. Amesema...
  16. JamiiForums Tanzania Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

    KUJIKINGA NA #CORONAVIRUS: SHULE ZAFUNGWA KWA SIKU 30 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 zimefungwa kwa siku 30 kuanzia leo Machi 17, 2020 Amesema, Serikali itafanya marekebisho ya ratiba ya Kidato cha 6, wanaotarajiwa kufanya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mfugale awavimbia Waziri Mkuu na Waziri wa Ujenzi kwa kivuli cha Rais Magufuli?

    Siku kadhaa zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwamba kutokana na meneja wa Tanroads wa Morogoro Godwin Andalwisye kufanya uzembe wa kutoyafanyia ukaguzi madaraja ya barabara ya Morogoro hadi Dodoma na kusababisha uvunjikaji wa daraja, basi aondolewe mara moja Morogoro na...
  18. JamiiForums Tanzania Sudani: Waziri Mkuu Abdalla Hamdok anusurika kifo

    Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok amenusurika kifo kufuatia jaribio la mauaji lililotekelezwa mapema leo asubuhi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum. Taarifa kutoka shirika la habari la Taifa hilo imeeleza kuwa Hamdok amepelekwa kwenye eneo salama baada ya mlipuko huo uliolenga msafara...
  19. JamiiForums Tanzania Meneja wa TANROADS nchini asema daraja la Kiyegeya limekatika kwa uchakavu. Je, Waziri Mkuu kumuondoa Meneja TANROADS-Morogoro alimuonea?

    Wakati meneja wa Tanroads mkoani Morogoro, Godfrey Andalwisye akiondolewa kwa madai ya kutokagua miundombinu, mtendaji mkuu wa taasisi hiyo, Patrick Mfugale amesema barabara ya Morogoro-Dodoma ni chakavu kwa kuwa imejengwa muda mrefu. Kauli hiyo ya Mfugale imekuja siku moja baada ya Waziri Mkuu...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza Mweka Hazina wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga achunguzwe

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Bibi Judica Omari achunguze utendaji kazi wa Mweka Hazina wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga, Bibi Juan Mening. Amesema hajaridhishwa na utendaji wake kwa kuwa ameshindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato na hata hicho kidogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…